Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Si lazima watii amri kutoka juu, wameamua tu kutii.Mkuu
lazima watii Amri kutoka juu, Wananchi wanashangaa kuona Wanajeshi wanafanya dolia na wengi wapo Lindo sheli kule Zanzibar ndiyo mfumo wao unayoyaona yana endelea kufanywa na wana jeshi wetu ndiyo yanafanyika kule Zanzibar, Jiulize Hussein Mwinyi kashinda na hakuna vulugulu lakini wanajeshi walikua wana Linda Sehemu za public na kwenye maduka, kule Zanzibar wanajeshi kulinda mitaani ni kawaida tokea Zamani, ndiyo Maana huyu Mama alivyowaingiza Wazanzibar kwenye mifumo ya Tanganyika wakaleta utaratibu wao kutoka Zanzibar wa kuwatoa kambini wanajeshi na kuwamwaga bara barani.
Huyu Mama alichojichanganya kuingiza mifumo ya Serikali ya Zanzibar kwenye Serikali ya Tanganyika, Mifumo ya Zanzibar ndiyo imemleta matatizo, Mifumo ya Tanganyika ukiipeleka Zanzibar utafanikiwa kuongoza kwasababu kule Wananchi wa kule wapo Nyuma kwenye Maendeleo ya Elimu na uwajibikaji makazini
Unajua kuna Polisi walikataa kuua watu October 29 na mpaka sasa wameacha kazi ya u Polisi?