Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

Niliishi Zanzibar miaka kumi nilichojifunza siasa zao na Uongozi wao wa Serikali upo tofauti na Tanganyika. Utofauti huku Tanganyika tulishazoea Kuwasema Viongozi wetu wa kitaifa tukiwa kwenye vijiwe vya kahawa au Sehemu za wazi mfano Jioni kwenye viwanja vya mpira wananchi tuna jadili Maswala ya nchi bila kuuliza Itikadi ya vyama wala Dini na hakuna mtu atakufaya nyumbani kukuchukua na kwenda kukuua.
Zanzibar ni tofauti kabisa wao wana Dunia yao.

Kule ukiisema CCM na Serikali yake tu ujue Usiku unafatwa unachukuliwa unaenda kuuwawa na hakuna mtu yoyote atakaepaza sauti kama huku Tanganyika na kule hakuna ofisi za haki za binadamu wala wana harakati, kule hakuna kulalamika na kumsema kiongozi yani ata ukiwa una msema Kiongozi na upo uswahili bado unafatwa na unauliwa, Zanzibar ni ngumu kuona Viongozi wastaafu wakitoa maoni yao, kule Zanzibar raia wengi wanapotezwa na Serikali na wananchi hawana sehemu pakusemea, na wanajuana ukiripoti tukio la utekaji tu unafatwa Nyumbani, yani kule anayeweza kuisema serikali ni Kiongozi wa upinzani tu tena ni wale wa ngazi za juu wanaofahamika nchi nzima

Sasa huyu Samia kaleta tabia ya kule Zanzibar ya kuteka na kuua ata muuza maji na karanga sokoni anayemkosoa yani utekaji wake umeshuka mpaka ngazi za chini kwenye kata, yami muuza chips, Miwa, Muuza genge, Kinyonzi nao wanatekwa wakati mfumo huu haukuwepo Tulishazoe kusikia wanaotekwa ni watu wa juu pekee. Ndiyo maana Samia ameonekana anateka na kuua watu wengi kuliko Wenzake walio mtangulia, Wenzake walikua hawateki vijana wa kwenye vijiwe vya kahawa na wauza Maduka kariakoo. Sasa yeye Mkaanga Samaki akimkosoa mara nyingi anatuma watu wanaenda kumteka.
IMG_2644.jpeg
 
Kule ndiyo hatari mkuu kule hakuna pakusemea kule hakuna wanaharakati wala mashirika ya haki za binadamu, na kule vyombo ya habari vinamilikiwa na dola, yani kule kugumu, kuanzisha media lazima uwe CCM, we ujiulizi kwanini Wapemba wamewekeza Tanganyiika.
Tuseme hilo ni kweli.

Swali linakuja.

Je, watu mamilioni wote hawa wa Tanganyika, wamekubali vipi kuletewa siasa za kigeni ambazo si zao zikafanya yote hayo?

Hawa wakuu wa polisi, usalama, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, watendaji wa serikalini, wote ni wazanzibari nao?

Wameruhusuje siasa hizi kuendelea Tanzania?
 
Jamaa hoja zako zinasikitisha.

Wangekuwa wamekubali, ungewaona kwenye mapamabano kila siku??
 
Mkuu
Tuseme hilo ni kweli.

Swali linakuja.

Je, watu mamilioni wote hawa wa Tanganyika, wamekubali vipi kuletewa siasa za kigeni ambazo si zao zikafanya yote hayo?

Hawa wakuu wa polisi, usalama, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, watendaji wa serikalini, wote ni wazanzibari nao?

Wameruhusuje siasa hizi kuendelea Tanzania?
lazima watii Amri kutoka juu, Wananchi wanashangaa kuona Wanajeshi wanafanya dolia na wengi wapo Lindo sheli kule Zanzibar ndiyo mfumo wao unayoyaona yana endelea kufanywa na wana jeshi wetu ndiyo yanafanyika kule Zanzibar, Jiulize Hussein Mwinyi kashinda na hakuna vulugulu lakini wanajeshi walikua wana Linda Sehemu za public na kwenye maduka, kule Zanzibar wanajeshi kulinda mitaani ni kawaida tokea Zamani, ndiyo Maana huyu Mama alivyowaingiza Wazanzibar kwenye mifumo ya Tanganyika wakaleta utaratibu wao kutoka Zanzibar wa kuwatoa kambini wanajeshi na kuwamwaga bara barani.
Huyu Mama alichojichanganya kuingiza mifumo ya Serikali ya Zanzibar kwenye Serikali ya Tanganyika, Mifumo ya Zanzibar ndiyo imemleta matatizo, Mifumo ya Tanganyika ukiipeleka Zanzibar utafanikiwa kuongoza kwasababu kule Wananchi wa kule wapo Nyuma kwenye Maendeleo ya Elimu na uwajibikaji makazini
 
Niliishi Zanzibar miaka kumi nilichojifunza siasa zao na Uongozi wao wa Serikali upo tofauti na Tanganyika. Utofauti huku Tanganyika tulishazoea Kuwasema Viongozi wetu wa kitaifa tukiwa kwenye vijiwe vya kahawa au Sehemu za wazi mfano Jioni kwenye viwanja vya mpira wananchi tuna jadili Maswala ya nchi bila kuuliza Itikadi ya vyama wala Dini na hakuna mtu atakufaya nyumbani kukuchukua na kwenda kukuua.
Zanzibar ni tofauti kabisa wao wana Dunia yao.

Kule ukiisema CCM na Serikali yake tu ujue Usiku unafatwa unachukuliwa unaenda kuuwawa na hakuna mtu yoyote atakaepaza sauti kama huku Tanganyika na kule hakuna ofisi za haki za binadamu wala wana harakati, kule hakuna kulalamika na kumsema kiongozi yani ata ukiwa una msema Kiongozi na upo uswahili bado unafatwa na unauliwa, Zanzibar ni ngumu kuona Viongozi wastaafu wakitoa maoni yao, kule Zanzibar raia wengi wanapotezwa na Serikali na wananchi hawana sehemu pakusemea, na wanajuana ukiripoti tukio la utekaji tu unafatwa Nyumbani, yani kule anayeweza kuisema serikali ni Kiongozi wa upinzani tu tena ni wale wa ngazi za juu wanaofahamika nchi nzima

Sasa huyu Samia kaleta tabia ya kule Zanzibar ya kuteka na kuua ata muuza maji na karanga sokoni anayemkosoa yani utekaji wake umeshuka mpaka ngazi za chini kwenye kata, yami muuza chips, Miwa, Muuza genge, Kinyonzi nao wanatekwa wakati mfumo huu haukuwepo Tulishazoe kusikia wanaotekwa ni watu wa juu pekee. Ndiyo maana Samia ameonekana anateka na kuua watu wengi kuliko Wenzake walio mtangulia, Wenzake walikua hawateki vijana wa kwenye vijiwe vya kahawa na wauza Maduka kariakoo. Sasa yeye Mkaanga Samaki akimkosoa mara nyingi anatuma watu wanaenda kumteka.
Ni kweli Samia anafanya hivyo, ila haya kayaiga kwa Magufuli, weka maelezo yako kwa usahihi.
 
Mimi sio Mzanzibar ila nishawahi kukaa Zanzibar kwa kipindi fulani nasema hivi acha uongo, eti Zanzibar raia wengi wanapotezwa na serikali na hawana pakusemea? toka lini Zanzibar kulikuwa na masuala ya watu kuuliwa ovyo na kutekwa? Ushawahi kusikia mwanasiasa wa upinzani Zanzibar ameuliwa au ametekwa? miongoni mwa watu wastaarabu sana ni wazanzibari kuanzia viongozi wao mpaka raia wakawaida hawana mambo ya kijinga ya kuuana hovyo.
 
View: https://youtu.be/HxhQsqOlugM?si=b1g_6CklUvx4r2VW
 
Wadanganye wasiojua
 
Ni kweli Samia anafanya hivyo, ila haya kayaiga kwa Magufuli, weka maelezo yako kwa usahihi.
Hapana hajaiga kwa magufuli yeye kayatoa Zanzibar, Siasa Za Zanzibar we huzijui tu kule kugumu yani kule ukiisema vibaya CCM una uliwa yani unafatwa yumbani unachukuliwa yani hapo umeisema CCM, Huku Tanganyika ni tofauti unaweza kwenda kwe Tawi la mtaa unaipoishi ukwaambia nyinyi Mafisadi wezi na wasikuuwe na Mkaa mkapiga stori na ata ukiende Serikaliza Mitaa ukimkuta Mwenyekiti ni CCM na wewe Chadema utapwea huduma na mtaongea siasa bila chuki, sasa kule Zanzibar nitofauti yani ukijaribu kukosoa CCM unauwawa, na kule wenyeviti wa Serikali za Mitaa wanawaita mashea wanateuliwa na Mkuu wa mkoa kule hakuna uchaguzi wa wenye viti wa vijiji wala Serikali za mitaa, yani ukienda kupata huduma ya barua ya Mwenyekiti wa mtaa kama wewe ni Mpinzani au Mzazi wako yupo upinza hupewei huduma, na kingine kule mfano John Heche au Mnyika au Mpina wangekua Wazanzibar basi ndugu zao wadogo zao wasinge ajiliwa Serikalini kwasababu ya ndugu zao ni Upinzani. Tofauti na Tanganyika leo hii Jonh Heche au Tudu lissu wadogo zao wakiomba kazi Serikalni kama wana sifa wanaajiliwa.
 
Samia yeye mpaka wauza chips yani utekaji wake umetelemka chini, Wenzake waliishia kwa watu wa juu, Samia anateka wananchi ambao hawajawahi ata kupanda ndege, Mimi Mzee wangu alikua anamtukana Magufuli kwasabu hakuwaongezea Pension kwa zaidi ya miaka 4 na tena alikua ana Mtukana hadhara mtaani na Usalama wa Taifa wanasikia lakini sijawahi kuona Mzer wangu akifatwa Nyumbani na kutekwa. Mzee wangu angekua bado tupo hai na angemsema Samia naamini lazima angetekwa.
Huyo jamaa kiranga kakurupuka tu kukujibu si ajabu hata uzi hajausoma akakimbilia kucomment tu.

Unachokisema ni kweli na hata mimi nimewahi kuwaambia watu mara kibaoa.

Ni kweli utekaji kwa wakosoaji haujaanzia kwa samia, ila samia utekaji wake umezidi na umekuwa wa kipumbavu mno maana anateka hata watu ambao hawana impact kwenye utawala wake dhalimu.

Magufuli alikuwa anateka watu ambao ni real threat wa utawala wake, na mara nyingi tuliona akideal sana na wapinzani tena wale wenye ushawishi na nguvu.

Raia wa kawaida tulimkosoa sana mwendazake bila kuwa na hofu yoyote ile, maana hatukuwa na significant threat kwa utawala wake wa kibabe, na ndio maana hata kelele za kukemea utekaji hazikuwa nyingi kama kipindi hiki.

Haya njoo kwa hiki kimama cha kizanzibari, yaani kinateka mpaka vijana wa miaka 17 wanaoshinda Tik-tok ambao hata sio potential threat kwa utawala wake wa kiimla ovyo sana huyu mwanamke..,

..yaani imefika stage eti kuna kitengo maalumu kabisa cha polisi wa kufanya doria mtandaoni wakifuatilia comments za watu wanaomtukana raisi kwenye page mbali mbali kisha wana watrace locations zao na kwenda kuwateka serious?

Huyu mzanzibari hakufaa kabisa kuongoza hata mtaa tu hapa Tanganyika, basi tu yuko pale kwa sababu ya kuendekeza tamaa ya fedha kwa watanganyika wenzetu wenye nafasi.
 
Kifupi ni kwamba jamii yetu imegawamyika katika makundi matatu ccm na wanufaika,upinzani na wananchi wa kawaida sasa Magu alivyokuja alidili na upinzani na kuonyesha kwa vitendo yuko na wananchi wa kawaida.Hii ikafanya upinzani wakawa wanakosoa serikali kimpango wao raia wakawaida hawakua na huo muda na ndio maana yaliitishwa maandamano chungu mzima na hayakua na muitiko.
Huyu maza yeye alikuja kwa mtindo wa tofauti akajifanya anawapenda wapinzani na maridhiano bahati mbaya upinzani feki wa Mbowe ukang'oka maana yake ni kwamba wapinzani wa kweli walitaka maridhiano ambayo yangewafanya kuingia ikulu tu(tume huru)hapa ndio mtiti ukaanza.Wapinzani wakamkataa maza na wale raia wakawaida aliowapuuza toka mwanzo nao wakamkataa.
Mwisho wa siku akajikuta ameunganisha wapinzani na wananchi wa kawaida ambao walikua hawavutiwi sana na siasa isipokua walikua wanahitaji tu mambo yao kadhaa yaende
Tunayoona sasa ndio hilo bomu la muungano wa wapinzani na wananchi wa kawaida,upande wa mama ambebaki yeye na wanufaika wake tu.
Mwamba umeelezea vizuri sana, unafaa kula kitengo pale VOA news uwe una chambua siasa za afrika,
 
Lakini haya mambo mbona yalianza hata kabla ya Samia kuwa rais?

Magufuli alipoteza watu sana pia, naye ni Mzanzibari?
Watu gani hao ambao jpm aliwapoteza .... jpm alikuwa anatengenezewa fitina na wanamtandao wao ndiyo waliokuwa wanapoteza watu...mfano kamili usio na shaka ni Ben saa8
 
Ni kweli watu walikua hofu ya kuongea lakini siyo watu wa ngazi za chini kabisa mbona kwenye vijiwe watu walikua wanaongea mitaani, watu walikua na hofu ya kuongea ni wale watu wakubwa lakini siyo wananchi wa chini, Mzee wanfu alikua anamsema vibaya Magufuli kisa hajaongeza pension tena alikua anamtukana mtaani na siyo kijiji mjini kabisa na Usalama wa Taifa wapo wanamsikia lakini sijawahi kuona wakimfata na kuobdoka nae kusikojulikana, Samia ilitakiwa awapuuze baadhi ya vijana mfano .dude agempuuza tu na asingekua ana msikiliza maneno yake kwasababu Mdude hana uwezo wowote wa kumsogelea Rais wa kumtetemesha.
Kweli hapo alipo mleta Mzanzibar kuwa Mshauri wake wa Siasa ndipo alipo bugi, Siasa za Tanganyika na Zanzibar ni vitu viwili tofauti, kule Zanzibar mpaka leo hii uhajiliwi Serikali mpaka uwe CCM na Wazai wako wanafatliiwa je ni CCM au wapinzani wakigundua Baba yako labda kwa mfano Chadema upewi Ajira, na vijana wote wanaoinga jeshi kutoka Zanzibar lazima wapitie kwenye Matawi ya CCM yani kama kijana anataka kujiunga na Jkt au Polisi nafasi zinatangazwa CCM, tofauti na huku Tanganyika nafasi za kwenda Jkt au polsi zinatangazwa kwa Mkuu wa mkoa na Makao makuu ya polsi.
Ndiyo maana nasema yalianza kipindi hicho ila labda siyo kwa ukubwa uliofikia sasa. Nakumbuka vizuri tu hofu ilivyokuwa imetanda kipindi cha Magufuli. Samia ameendeleza pale pale alipoishia na kupanua operation zaidi.

CCM wamekuwa wanaenda hatua kwa hatua kuminya uhuru wa kuongea na kuchagua viongozi, na kila wanachofanikiwa kukifanya wanakazia hapo na kuongeza kingine.
 
Mimi sio Mzanzibar ila nishawahi kukaa Zanzibar kwa kipindi fulani nasema hivi acha uongo, eti Zanzibar raia wengi wanapotezwa na serikali na hawana pakusemea? toka lini Zanzibar kulikuwa na masuala ya watu kuuliwa ovyo na kutekwa? Ushawahi kusikia mwanasiasa wa upinzani Zanzibar ameuliwa au ametekwa? miongoni mwa watu wastaarabu sana ni wazanzibari kuanzia viongozi wao mpaka raia wakawaida hawana mambo ya kijinga ya kuuana hovyo.
We unawajua Mazombi kikosi kinaitwa Kvz kikosi cha valantee wana kombati sasa wewe ukienda Zanzibar jaribu kuikosoa CCM na Serikali yake halafu wakusikie CCM, Kingine unasema Wazanzibar wastaarabu mtu mstaarabu anaweza kutoa Ajira kwa vijana ambao wazazi wao ni CCM tu yani unamnyima kijana Ajira ya Serikali kwasababu wazaz wake wapo kwenye Chama cha Upinzani?
 
Watu gani hao ambao jpm aliwapoteza .... jpm alikuwa anatengenezewa fitina na wanamtandao wao ndiyo waliokuwa wanapoteza watu...mfano kamili usio na shaka ni Ben saa8
Utetezi huo hauna mashiko. Nyie ndiyo mpaka leo mnataka kutuaminisha shambulio la Lissu lina mkono wa CHADEMA wenyewe.
 
Huyo jamaa kiranga kakurupuka tu kukujibu si ajabu hata uzi hajausoma akakimbilia kucomment tu.

Unachokisema ni kweli na hata mimi nimewahi kuwaambia watu mara kibaoa.

Ni kweli utekaji kwa wakosoaji haujaanzia kwa samia, ila samia utekaji wake umezidi na umekuwa wa kipumbavu mno maana anateka hata watu ambao hawana impact kwenye utawala wake dhalimu.

Magufuli alikuwa anateka watu ambao ni real threat wa utawala wake, na mara nyingi tuliona akideal sana na wapinzani tena wale wenye ushawishi na nguvu.

Raia wa kawaida tulimkosoa sana mwendazake bila kuwa na hofu yoyote ile, maana hatukuwa na significant threat kwa utawala wake wa kibabe, na ndio maana hata kelele za kukemea utekaji hazikuwa nyingi kama kipindi hiki.

Haya njoo kwa hiki kimama cha kizanzibari, yaani kinateka mpaka vijana wa miaka 17 wanaoshinda Tik-tok ambao hata sio potential threat kwa utawala wake wa kiimla ovyo sana huyu mwanamke..,

..yaani imefika stage eti kuna kitengo maalumu kabisa cha polisi wa kufanya doria mtandaoni wakifuatilia comments za watu wanaomtukana raisi kwenye page mbali mbali kisha wana watrace locations zao na kwenda kuwateka serious?

Huyu mzanzibari hakufaa kabisa kuongoza hata mtaa tu hapa Tanganyika, basi tu yuko pale kwa sababu ya kuendekeza tamaa ya fedha kwa watanganyika wenzetu wenye nafasi.
Ndiyo Maana Magufuli alipoona Mambo yazidi kuwa Magunu ikabidi aforesaid kuwanunua wa Bunge wa Upinzani na kuunga juhudi, Sasa huyu Mama anateka mpaka watoto wasiojua lolote.
 
Hapana hajaiga kwa magufuli yeye kayatoa Zanzibar, Siasa Za Zanzibar we huzijui tu kule kugumu yani kule ukiisema vibaya CCM una uliwa yani unafatwa yumbani unachukuliwa yani hapo umeisema CCM, Huku Tanganyika ni tofauti unaweza kwenda kwe Tawi la mtaa unaipoishi ukwaambia nyinyi Mafisadi wezi na wasikuuwe na Mkaa mkapiga stori na ata ukiende Serikaliza Mitaa ukimkuta Mwenyekiti ni CCM na wewe Chadema utapwea huduma na mtaongea siasa bila chuki, sasa kule Zanzibar nitofauti yani ukijaribu kukosoa CCM unauwawa, na kule wenyeviti wa Serikali za Mitaa wanawaita mashea wanateuliwa na Mkuu wa mkoa kule hakuna uchaguzi wa wenye viti wa vijiji wala Serikali za mitaa, yani ukienda kupata huduma ya barua ya Mwenyekiti wa mtaa kama wewe ni Mpinzani au Mzazi wako yupo upinza hupewei huduma, na kingine kule mfano John Heche au Mnyika au Mpina wangekua Wazanzibar basi ndugu zao wadogo zao wasinge ajiliwa Serikalini kwasababu ya ndugu zao ni Upinzani. Tofauti na Tanganyika leo hii Jonh Heche au Tudu lissu wadogo zao wakiomba kazi Serikalni kama wana sifa wanaajiliwa.

Huyo jamaa kiranga kakurupuka tu kukujibu si ajabu hata uzi hajausoma akakimbilia kucomment tu.

Unachokisema ni kweli na hata mimi nimewahi kuwaambia watu mara kibaoa.

Ni kweli utekaji kwa wakosoaji haujaanzia kwa samia, ila samia utekaji wake umezidi na umekuwa wa kipumbavu mno maana anateka hata watu ambao hawana impact kwenye utawala wake dhalimu.

Magufuli alikuwa anateka watu ambao ni real threat wa utawala wake, na mara nyingi tuliona akideal sana na wapinzani tena wale wenye ushawishi na nguvu.

Raia wa kawaida tulimkosoa sana mwendazake bila kuwa na hofu yoyote ile, maana hatukuwa na significant threat kwa utawala wake wa kibabe, na ndio maana hata kelele za kukemea utekaji hazikuwa nyingi kama kipindi hiki.

Haya njoo kwa hiki kimama cha kizanzibari, yaani kinateka mpaka vijana wa miaka 17 wanaoshinda Tik-tok ambao hata sio potential threat kwa utawala wake wa kiimla ovyo sana huyu mwanamke..,

..yaani imefika stage eti kuna kitengo maalumu kabisa cha polisi wa kufanya doria mtandaoni wakifuatilia comments za watu wanaomtukana raisi kwenye page mbali mbali kisha wana watrace locations zao na kwenda kuwateka serious?

Huyu mzanzibari hakufaa kabisa kuongoza hata mtaa tu hapa Tanganyika, basi tu yuko pale kwa sababu ya kuendekeza tamaa ya fedha kwa watanganyika wenzetu wenye nafasi.
CCM wamekuwa wanaminya uhuru wa kujieleza na kuchagua viongozi hatua kwa hatua. Na kila hatua wanayofanya, watu wanaona haina madhara, kumbe madhara yake yanakuja kuonekana baadae kwa sababu yanajenga mazoea.

Chaguzi mbili zilizopita za serikali ya mitaa zilikuwa za hovyo na wapinzani walienguliwa nchi nzima, watu hawakuona madhara yake. Uchaguzi mkuu wa 2020, matokeo ya jimbo kwa jimbo ya Urais hayakuwekwa popote, watu wakaona ni jambo la kawaida pamoja na kina Lissu kupiga kelele. Walikuwa wanajenga "precedence" ndiyo tumefika uchaguzi kama huu wa 2025.

Sheria nyingi za mitandao, za vyombo vya habari, nk. zote hizo zilikuwa zinatengeneza mazingira ya total control, hamkuona madhara yake hadi imekuwa too late.

Utekaji hata kama haukuwa wa kiwango kikubwa, lakini ulijenga uhalali wa kufanyika kwa sababu watu waliuhusisha na CHADEMA kumbe mlengwa hakuwa mwanachama wa CHADEMA. Leo hii hata CCM wenyewe wanaweza kutekwa na kupotezwa.
 
Back
Top Bottom