Mbunge Taifa
Member
- Nov 29, 2025
- 26
- 103
Lakini haya mambo mbona yalianza hata kabla ya Samia kuwa rais?Niliishi Zanzibar miaka kumi nilichojifunza siasa zao na Uongozi wao wa Serikali upo tofauti na Tanganyika. Utofauti huku Tanganyika tulishazoea Kuwasema Viongozi wetu wa kitaifa tukiwa kwenye vijiwe vya kahawa au Sehemu za wazi mfano Jioni kwenye viwanja vya mpira wananchi tuna jadili Maswala ya nchi bila kuuliza Itikadi ya vyama wala Dini na hakuna mtu atakufaya nyumbani kukuchukua na kwenda kukuua.
Zanzibar ni tofauti kabisa wao wana Dunia yao.
Kule ukiisema CCM na Serikali yake tu ujue Usiku unafatwa unachukuliwa unaenda kuuwawa na hakuna mtu yoyote atakaepaza sauti kama huku Tanganyika na kule hakuna ofisi za haki za binadamu wala wana harakati, kule hakuna kulalamika na kumsema kiongozi yani ata ukiwa una msema Kiongozi na upo uswahili bado unafatwa na unauliwa, Zanzibar ni ngumu kuona Viongozi wastaafu wakitoa maoni yao, kule Zanzibar raia wengi wanapotezwa na Serikali na wananchi hawana sehemu pakusemea, na wanajuana ukiripoti tukio la utekaji tu unafatwa Nyumbani, yani kule anayeweza kuisema serikali ni Kiongozi wa upinzani tu tena ni wale wa ngazi za juu wanaofahamika nchi nzima
Sasa huyu Samia kaleta tabia ya kule Zanzibar ya kuteka na kuua ata muuza maji na karanga sokoni anayemkosoa yani utekaji wake umeshuka mpaka ngazi za chini kwenye kata, yami muuza chips, Miwa, Muuza genge, Kinyonzi nao wanatekwa wakati mfumo huu haukuwepo Tulishazoe kusikia wanaotekwa ni watu wa juu pekee. Ndiyo maana Samia ameonekana anateka na kuua watu wengi kuliko Wenzake walio mtangulia, Wenzake walikua hawateki vijana wa kwenye vijiwe vya kahawa na wauza Maduka kariakoo. Sasa yeye Mkaanga Samaki akimkosoa mara nyingi anatuma watu wanaenda kumteka.
...Magufuli alipoteza watu sana pia, naye ni Mzanzibari?
Hayo mambo hayajaanza kipindi cha Samia.Niliishi Zanzibar miaka kumi nilichojifunza siasa zao na Uongozi wao wa Serikali upo tofauti na Tanganyika. Utofauti huku Tanganyika tulishazoea Kuwasema Viongozi wetu wa kitaifa tukiwa kwenye vijiwe vya kahawa au Sehemu za wazi mfano Jioni kwenye viwanja vya mpira wananchi tuna jadili Maswala ya nchi bila kuuliza Itikadi ya vyama wala Dini na hakuna mtu atakufaya nyumbani kukuchukua na kwenda kukuua.
Zanzibar ni tofauti kabisa wao wana Dunia yao.
Kule ukiisema CCM na Serikali yake tu ujue Usiku unafatwa unachukuliwa unaenda kuuwawa na hakuna mtu yoyote atakaepaza sauti kama huku Tanganyika na kule hakuna ofisi za haki za binadamu wala wana harakati, kule hakuna kulalamika na kumsema kiongozi yani ata ukiwa una msema Kiongozi na upo uswahili bado unafatwa na unauliwa, Zanzibar ni ngumu kuona Viongozi wastaafu wakitoa maoni yao, kule Zanzibar raia wengi wanapotezwa na Serikali na wananchi hawana sehemu pakusemea, na wanajuana ukiripoti tukio la utekaji tu unafatwa Nyumbani, yani kule anayeweza kuisema serikali ni Kiongozi wa upinzani tu tena ni wale wa ngazi za juu wanaofahamika nchi nzima
Sasa huyu Samia kaleta tabia ya kule Zanzibar ya kuteka na kuua ata muuza maji na karanga sokoni anayemkosoa yani utekaji wake umeshuka mpaka ngazi za chini kwenye kata, yami muuza chips, Miwa, Muuza genge, Kinyonzi nao wanatekwa wakati mfumo huu haukuwepo Tulishazoe kusikia wanaotekwa ni watu wa juu pekee. Ndiyo maana Samia ameonekana anateka na kuua watu wengi kuliko Wenzake walio mtangulia, Wenzake walikua hawateki vijana wa kwenye vijiwe vya kahawa na wauza Maduka kariakoo. Sasa yeye Mkaanga Samaki akimkosoa mara nyingi anatuma watu wanaenda kumteka.
Samia yeye mpaka wauza chips yani utekaji wake umetelemka chini, Wenzake waliishia kwa watu wa juu, Samia anateka wananchi ambao hawajawahi ata kupanda ndege, Mimi Mzee wangu alikua anamtukana Magufuli kwasabu hakuwaongezea Pension kwa zaidi ya miaka 4 na tena alikua ana Mtukana hadhara mtaani na Usalama wa Taifa wanasikia lakini sijawahi kuona Mzer wangu akifatwa Nyumbani na kutekwa. Mzee wangu angekua bado tupo hai na angemsema Samia naamini lazima angetekwa.Lakini haya mambo mbona yalianza hata kabla ya Samia kuwa rais?
Magufuli alipoteza watu sana pia, naye ni Mzanzibari?
Samia kazidi lakin pia ana nuksi na kimaviLakini haya mambo mbona yalianza hata kabla ya Samia kuwa rais?
Magufuli alipoteza watu sana pia, naye ni Mzanzibari?
Kundi la watekaji lilikuwepo tangu enzi za Magufuli.Lakini haya mambo mbona yalianza hata kabla ya Samia kuwa rais?
Magufuli alipoteza watu sana pia, naye ni Mzanzibari?
Ni kweli, Samia utekaji wake kaushusha mpaka chini yani ata Fundi baiskeli na Mpika chips anatekwa, basi angekua Anadarko walikuo kwenye mzunguko wake na watu wa kati sasa yeye kashuka mpaka ngazi ya chini kabisa, Mfano Mdude kamteka wanini Sasa Mtu kama Mdude ana madhara gani? yeye aoni Magufuli alimuweka Ndani.Hayo mambo hayajaanza kipindi cha Samia.
Sasa Samia akikwambia mwalimu wake ni Magufuli ila yeye Samia kafanya haya zaidi ya Mwalimu wake tu, na kwamba alikuwapo rais Mzanzibafi Ali Hassan Mwinyi hakufanya utekaji hivi utasemaje?Samia yeye mpaka wauza chips yani utekaji wake umetelemka chini, Wenzake waliishia kwa watu wa juu, Samia anateka wananchi ambao hawajawahi ata kupanda ndege, Mimi Mzee wangu alikua anamtukana Magufuli kwasabu hakuwaongezea Pension kwa zaidi ya miaka 4 na tena alikua ana Mtukana hadhara mtaani na Usalama wa Taifa wanasikia lakini sijawahi kuona Mzer wangu akifatwa Nyumbani na kutekwa. Mzee wangu angekua bado tupo hai na angemsema Samia naamini lazima angetekwa.
Samia kazidi kwa sababu kaanzia alipoishia Magufuli au kwa sababu ni Mzanzibari?Samia kazidi lakin pia ana nuksi na kimavi
We Inaonekana una umri mkubwa ubongo wa mende unauhakika utekaji umeanzia Kwa magufuliSasa Samia akikwambia mwalimu wake ni Magufuli ila yeye Samia kafanya haya zaidi ya Mwalimu wake tu, na kwamba alikuwapo rais Mzanzibafi Ali Hassan Mwinyi hakufanya utekaji hivi utasemaje?
Ni kweli Kwasababu kule Zanzibar wanaishi kwa kubaguana tofauti na Wananchi wa Tanganyiika, Kule Zanzibar kuna Mitaa Wanaishi wapinzani tupu na kuna mitaa wanaishi CCM tupu, Mfano Mwananyara mpaka Kinondoni wanaishi Chadema, Sinza, Wanaishi CCM yani ndivyo wanavyoishi kule Zanzibar. Ndiyo Maandamamo ya Tarehe 29 Maaskari waliotoka Zanzibar walikua wanaua Raia hovyo mitaani wakijua ni mitaa ya wapinzani kumbe ni tofauti Tanyanyika hakuna Mitaa wala Mikoa ya wapinzani ndiyo maana vifo hivi Vimeumiza wana CCM, watoto wao wameuliwa, Serikali ya CCM imeua watoto wao kwa kuzani inauwa wapinzani Samia hajui Kama vijana waKitanganyika Wazazi wao ni CCm. Tofauti na kwao Zanzibar kule kwa Zanzibar Wazazi wakiwa CCM na Watoto mnakua CCM na Wazazi wakiwa Upinzani na watotowanakua wapinzani.Kundi la watekaji lilikuwepo tangu enzi za Magufuli.
Ila kilichomsaidia kidogo Magufuli, alikuwa na Msingi.
- Kudhalilisha matajiri na wahuni
- Kujiegemeza kwa wanyonge
- Kujiegemeza kanda ya Ziwa.
Samia yeye ,kwanza hana akili, halafu akaenda Zanzibar akalileta Haji Omar Kheir kama Mshauri wa Rais siasa, ambalo lilikuwa kiongozi wa Janjaweed na utekaji Zanzibar.
Sasa ikawa hakuna akili inatumika, zaidi ya UTEKAJI ma MAUAJI ya wazi wazi.
Leo ukiuliza kundi gani liko na Samia, ni hakuna.
Hakuna mtu anavaa nguo ya CCM mtaani, na yeye mwenyewe anajificha Jeshini.
Haamini watu mpaka jeshini kwenye vyeo kaweka wengi wenye asili ya Zanzibar wako karibu naye.
Labda hata Mdude ni mwanasiasa.Ni kweli, Samia utekaji wake kaushusha mpaka chini yani ata Fundi baiskeli na Mpika chips anatekwa, basi angekua Anadarko walikuo kwenye mzunguko wake na watu wa kati sasa yeye kashuka mpaka ngazi ya chini kabisa, Mfano Mdude kamteka wanini Sasa Mtu kama Mdude ana madhara gani? yeye aoni Magufuli alimuweka Ndani.
Hata kipindi cha Magufuli watu walikuwa na hofu ya kuongea. Labda mnakuwa wasahaulifu ila hali hii inaenda hatua kwa hatua, haijaibuka tu ghafla. Kama sikosei, Mdude alianza kutekwa kipindi cha Magu.Ni kweli, Samia utekaji wake kaushusha mpaka chini yani ata Fundi baiskeli na Mpika chips anatekwa, basi angekua Anadarko walikuo kwenye mzunguko wake na watu wa kati sasa yeye kashuka mpaka ngazi ya chini kabisa, Mfano Mdude kamteka wanini Sasa Mtu kama Mdude ana madhara gani? yeye aoni Magufuli alimuweka Ndani.
Kule ndiyo hatari mkuu kule hakuna pakusemea kule hakuna wanaharakati wala mashirika ya haki za binadamu, na kule vyombo ya habari vinamilikiwa na dola, yani kule kugumu, kuanzisha media lazima uwe CCM, we ujiulizi kwanini Wapemba wamewekeza Tanganyiika.Samia kazidi kwa sababu kaanzia alipoishia Magufuli au kwa sababu ni Mzanzibari?
Zanzibar mbona hatusikii rais Mwinyi akiteka na kuua watu hivi na kila siku anasemwa na ACT Wazalendo?
Hata kipindi cha Magufuli watu walikuwa na hofu ya kuongea. Labda mnakuwa wasahaulifu ila hali hii inaenda hatua kwa hatua, haijaibuka tu ghafla. Kama sikosei, Mdude alianza kutekwa kipindi cha Magu.
Pia Magufuli ndiyo alianza kuvuruga hadi chaguzi za serikali za mitaa kitu ambacho hapo kabla hakikuwepo. Huo ndiyo mwanzo wa CCM kutaka kutawala nchi 100% kuanzia ngazi ya chini kabisa na kuu ya kutekana yalianzia hapo.
Mkuu ni kweliHata kipindi cha Magufuli watu walikuwa na hofu ya kuongea. Labda mnakuwa wasahaulifu ila hali hii inaenda hatua kwa hatua, haijaibuka tu ghafla. Kama sikosei, Mdude alianza kutekwa kipindi cha Magu.
Pia Magufuli ndiyo alianza kuvuruga hadi chaguzi za serikali za mitaa kitu ambacho hapo kabla hakikuwepo. Huo ndiyo mwanzo wa CCM kutaka kutawala nchi 100% kuanzia ngazi ya chini kabisa na hayo mambo ya kutekana yalianzia hapo.
Kifupi ni kwamba jamii yetu imegawamyika katika makundi matatu ccm na wanufaika,upinzani na wananchi wa kawaida sasa Magu alivyokuja alidili na upinzani na kuonyesha kwa vitendo yuko na wananchi wa kawaida.Hii ikafanya upinzani wakawa wanakosoa serikali kimpango wao raia wakawaida hawakua na huo muda na ndio maana yaliitishwa maandamano chungu mzima na hayakua na muitiko.Niliishi Zanzibar miaka kumi nilichojifunza siasa zao na Uongozi wao wa Serikali upo tofauti na Tanganyika. Utofauti huku Tanganyika tulishazoea Kuwasema Viongozi wetu wa kitaifa tukiwa kwenye vijiwe vya kahawa au Sehemu za wazi mfano Jioni kwenye viwanja vya mpira wananchi tuna jadili Maswala ya nchi bila kuuliza Itikadi ya vyama wala Dini na hakuna mtu atakufaya nyumbani kukuchukua na kwenda kukuua.
Zanzibar ni tofauti kabisa wao wana Dunia yao.
Kule ukiisema CCM na Serikali yake tu ujue Usiku unafatwa unachukuliwa unaenda kuuwawa na hakuna mtu yoyote atakaepaza sauti kama huku Tanganyika na kule hakuna ofisi za haki za binadamu wala wana harakati, kule hakuna kulalamika na kumsema kiongozi yani ata ukiwa una msema Kiongozi na upo uswahili bado unafatwa na unauliwa, Zanzibar ni ngumu kuona Viongozi wastaafu wakitoa maoni yao, kule Zanzibar raia wengi wanapotezwa na Serikali na wananchi hawana sehemu pakusemea, na wanajuana ukiripoti tukio la utekaji tu unafatwa Nyumbani, yani kule anayeweza kuisema serikali ni Kiongozi wa upinzani tu tena ni wale wa ngazi za juu wanaofahamika nchi nzima
Sasa huyu Samia kaleta tabia ya kule Zanzibar ya kuteka na kuua ata muuza maji na karanga sokoni anayemkosoa yani utekaji wake umeshuka mpaka ngazi za chini kwenye kata, yami muuza chips, Miwa, Muuza genge, Kinyonzi nao wanatekwa wakati mfumo huu haukuwepo Tulishazoe kusikia wanaotekwa ni watu wa juu pekee. Ndiyo maana Samia ameonekana anateka na kuua watu wengi kuliko Wenzake walio mtangulia, Wenzake walikua hawateki vijana wa kwenye vijiwe vya kahawa na wauza Maduka kariakoo. Sasa yeye Mkaanga Samaki akimkosoa mara nyingi anatuma watu wanaenda kumteka.
Mkuu ni kweli
Ni kweli watu walikua hofu ya kuongea lakini siyo watu wa ngazi za chini kabisa mbona kwenye vijiwe watu walikua wanaongea mitaani, watu walikua na hofu ya kuongea ni wale watu wakubwa lakini siyo wananchi wa chini, Mzee wanfu alikua anamsema vibaya Magufuli kisa hajaongeza pension tena alikua anamtukana mtaani na siyo kijiji mjini kabisa na Usalama wa Taifa wapo wanamsikia lakini sijawahi kuona wakimfata na kuobdoka nae kusikojulikana, Samia ilitakiwa awapuuze baadhi ya vijana mfano .dude agempuuza tu na asingekua ana msikiliza maneno yake kwasababu Mdude hana uwezo wowote wa kumsogelea Rais wa kumtetemesha.Hata kipindi cha Magufuli watu walikuwa na hofu ya kuongea. Labda mnakuwa wasahaulifu ila hali hii inaenda hatua kwa hatua, haijaibuka tu ghafla. Kama sikosei, Mdude alianza kutekwa kipindi cha Magu.
Pia Magufuli ndiyo alianza kuvuruga hadi chaguzi za serikali za mitaa kitu ambacho hapo kabla hakikuwepo. Huo ndiyo mwanzo wa CCM kutaka kutawala nchi 100% kuanzia ngazi ya chini kabisa na hayo mambo ya kutekana yalianzia hapo.
Kweli hapo alipo mleta Mzanzibar kuwa Mshauri wake wa Siasa ndipo alipo bugi, Siasa za Tanganyika na Zanzibar ni vitu viwili tofauti, kule Zanzibar mpaka leo hii uhajiliwi Serikali mpaka uwe CCM na Wazai wako wanafatliiwa je ni CCM au wapinzani wakigundua Baba yako labda kwa mfano Chadema upewi Ajira, na vijana wote wanaoinga jeshi kutoka Zanzibar lazima wapitie kwenye Matawi ya CCM yani kama kijana anataka kujiunga na Jkt au Polisi nafasi zinatangazwa CCM, tofauti na huku Tanganyika nafasi za kwenda Jkt au polsi zinatangazwa kwa Mkuu wa mkoa na Makao makuu ya polsi.Kundi la watekaji lilikuwepo tangu enzi za Magufuli.