Wazungu sio maadui zetu hata uwatuhumu.Mama anataka kuwafurahisha wazungu.
Sio muda atatangaza lockdown kwa Dar ili kuwafurahisha zaidi wazungu.
Nashauri ikiwezekana aachie wafungwa wote tubakie na majengo matupu ya mahabusu.
Kama anaiba tuna kula tabu iko wapi?
Ndugu zangu mulioachiwa na DPP. Tuacheni kwanza hapa JF tumalize mjadala wa kuelimishana. Hayo matusi huku uraiani yalishapitwa na wakati. Hiki ni kipindi cha majadiliano na maelewano. Au munaona mumechelewa kutoa michango?Hayo ni majinga yamezoea utawala wa mabavu
kunyonga watu sio sawa na unavyomyongea kiuno basha wako kitandani.Huyo baba yako dikteta alipovunja katiba kwa kugoma kunyonga watu waliohukumiwa kunyongwa mbona hukumkumbusha?
You are just a sadist. Period!
Pumbavu,Kama wao ndio walikuwa wanawamwagia hao jamaa zako tindikali ndio wangepeleka ushahidi ili wafungwe, lakini mbona wameshindwa kuthibitisha?
aisee, Sasa hujui mamlaka ya Dpp??Aaah! DPP bhana! Wapi umesikia serikali inaachia watu? Ni DPP!
Jengo gani la ibada lilichomwa Moto we punguani??!Pumbavu,
kitendo cha wao kukaa lumande na kuicha nchi nzima ikiwa na amani, hakuna tindikali, hakuna majengo ya ibada kuchomwa moto, ni ushahidi tosha
Cha msingi kaeni mtulie na familia zenu, Acheni ujinga sasa, Tumezoe amaniJengo gani la ibada lilichomwa Moto we punguani??!
sema jengo ambalo lilichomwa Moto na hao masheikh wa UHAMSHO??? muda wote kwann ukupeleka ushaidi high court Hadi case inafutwa punguani weweCha msingi kaeni mtulie na familia zenu, Acheni ujinga sasa, Tumezoe amani
karibuni uraiani
Magereza si kitoto bhana, Mmekalia vya kutosha!! mnahamu tena??😛 Sina hakika!!!Udini unakusumbua kenge wewe,mna roho mbaya sana mbwa nyie
Hivi wewe si mmoja wao siyo??sema jengo ambalo lilichomwa Moto na hao masheikh wa UHAMSHO??? muda wote kwann ukupeleka ushaidi high court Hadi case inafutwa punguani wewe
Ndio Ni mmoja wa waliokubaka wewe last nightHivi wewe si mmoja wao siyo??
Mbona unakiherehere sana yakhe!!
Mkuu, tuyaache bhana haya, kwanza hayajengi, Tuachane nayo, Ila ni kweli kwamba, wakati mwingine duniani uonevu huwa hauiishi, ijapokuwa kweli na mambo maovu binadamu hutendasema jengo ambalo lilichomwa Moto na hao masheikh wa UHAMSHO??? muda wote kwann ukupeleka ushaidi high court Hadi case inafutwa punguani wewe
Sawa mkuu, Ila nadhani, haya tuyaongeoayo, hayana tija kwetu, tuachane nayo mkuu, Furaha yetu ni kuona ndugu zetu wametoka ktk sehemu mbaya, na sasa tuko nao, ni wenzetu, Watanzania wenzetu wale, hata kama walitenda ama hawakutenda, letu ni kufurahia wametoka sehemu mbayaNdio Ni mmoja wa waliokubaka wewe last night
Yes ilo ndio la msingi, wale watanzania wenzetu, serikali ilikuwa sawa kuwaweka ndani kwa maslai ya muungano wetu,Wala si kwamba walikuwa magaidi,Mkuu, tuyaache bhana haya, kwanza hayajengi, Tuachane nayo, Ila ni kweli kwamba, wakati mwingine duniani uonevu huwa hauiishi, ijapokuwa kweli na mambo maovu binadamu hutenda
Hivyo, furaha yetu ni kuwaona ndugu zetu hawa wakiwa pamoja nasi tena, tukifurahia nao tena kitaani
Sawa kabisa mkuu, Samahani bhana kwa maneno yangu machafu, samahani sana aiseeYes ilo ndio la msingi, wale watanzania wenzetu, serikali ilikuwa sawa kuwaweka ndani kwa maslai ya muungano wetu,Wala si kwamba walikuwa magaidi,
Walichokuwa wanakifanya ilikuwa Ni makosa makubwa kwa mujibu wa katiba,kwaiyo hakuna Rais ambae angekaa kimiya kwa kipindi kile asichukue hatua ,ilhali alishaapa kuulinda muungano,
Waliwekwa ndani ili wajifunze kutii mamlaka, na kwa muda waliokaa nadhani kwakuwa watu wazima washajifunza sio kila kitu cha kushupalia, vingine vina maslai ya kiusalama katika Nchi
Sio kitoto yani😅😅😅Huoni aibu kutetea ushenzi kama huo? Kumbe tunahangaika na wenye shida vichwani.
Yes ilo ndio la msingi, wale watanzania wenzetu, serikali ilikuwa sawa kuwaweka ndani kwa maslai ya muungano wetu,Wala si kwamba walikuwa magaidi,
Walichokuwa wanakifanya ilikuwa Ni makosa makubwa kwa mujibu wa katiba,kwaiyo hakuna Rais ambae angekaa kimiya kwa kipindi kile asichukue hatua ,ilhali alishaapa kuulinda muungano,
Waliwekwa ndani ili wajifunze kutii mamlaka, na kwa muda waliokaa nadhani kwakuwa watu wazima washajifunza sio kila kitu cha kushupalia, vingine vina maslai ya kiusalama katika Nchi, acha Sasa wakaungane na familia zao, na Tumuache mama aongoze Nchi kwa Haki, ili tupige hatua kimaendeleo, Taifa lenye kudumisha Haki Mungu huwa anaribariki
Marekani mpaka leo ina watu inawashikilia kwa zaidi ya miaka 10 ambao tuhuma zao hazijathibitika na wala haziwezi kuthibitika kwa kutumia mifumo ya kisheria. Lakini wanajua ni watu hatari wakiachwa waishi uraiani.Kama tuhuma zimeshindikana kuthibitika, kwa nini waendelee kushikiliwa?