Kuachia wahalifu kwa muda mfupi ni hatari inayokuja nchini

Kwa hii hofu yako wewe utakuwa ni Makonda wengi ulio wafunga sasa mtaani vipi unawaogopa? Na lazima wakulipizie kisasi! Ubaya ubaya
 
Hao ni watuhumiwa sio wahalifu, wahalifu ni waliohukumiwa na mahakama kutumikia vifungo au faini.
 
Kama serikali inao ushahidi tangu enzi za JK inashindwa nini kwa miaka yote kuufikisha mahakamani kesi iamuliwe ?
 
Huo sio ushahidi mbele ya mahakama.
Kama mkeo alikuwa anachepuka ila hukuweza kumjua mchepuko wake halafu ikatokea jirani yako amefariki na mkeo akaacha kuchepuka huwezi kusema jirani yako ndiye alikuwa anamkula mkeo kwa sababu baada ya yeye kufariki tu mkeo naye ameacha kuchepuka.
Licha ya hivyo, ulisikia tena kesi za watu kumwagiwa tindikali na makanisa kuchomwa wakati hao nduguzo wakiwa lumande?

Acha ujinga wewe, watakuwa wamejifunza
 
Chief,
nimekuomba msamaha kwa yale nilosema vibaya kwako, swala moja tu ambalo skubaliani tena na wewe, Kusema vibaya wafu,

Tulifiwa kama Taifa
 
Wasiwasi wangu ni haki haijatendeka kwa Padri aliyeuwawa huko Zanzibar.Ingekuwa ndugu zetu waislam basi wangeitisha maandamano lakini kwakuwa wakatoliki mafundisho yao yanasema akupigae kofi upande mmoja mgeuzie jingine basi tunadhulumiwa nafsi zetu.Tunaomba haki kwa padre Evarist na makanisa yaliyochomwa moto Zanzibar.Sawa tunakubali kuwa UAMSHO hawahusiki basi tunaomba kuelezwa wahusika ni nani??
 
Hivi na kwa kina Seya uliumia hivi hivi ama ni sasa hivi tu kwa huyu mama!?
 
Chief,
nimekuomba msamaha kwa yale nilosema vibaya kwako, swala moja tu ambalo skubaliani tena na wewe, Kusema vibaya wafu,

Tulifiwa kama Taifa
Ni haki yako kikatiba mkuu kutokubaliana na fikra za mwingine,
Mbona Hitra mfu lakini bado anasemwa
 
Nimeangalia unavyoshangilia kifo cha JPM na tayari unamuona Sabaya ni muhalifu na tayari unaona utatawaliwa kwa haki na Samia, nimeingiwa na wasiwasi juu ya ubinadamu wako na ufahamu wako wa mambo ya kawaida ya maisha. Natumaini hutalalama ukisikia Sabaya hakupatikana na kosa la kumtia hatiani.
 
Wasiwasi wangu ni huko wanakoenda kupimwa huwezi jua kipimo watakachopimwa wanapewa kinga gani.
Naomba niishie hapo hii serikali ina wenyewe.
 
Mama anataka kuwafurahisha wazungu.

Sio muda atatangaza lockdown kwa Dar ili kuwafurahisha zaidi wazungu.

Nashauri ikiwezekana aachie wafungwa wote tubakie na majengo matupu ya mahabusu.
Tutapata hasara majengo yetu yatapasuka nyufa.
 
Tusubiri wakapimwe kwanza watapewa kinga.
Naomba niishie hapo
[emoji3064][emoji3064][emoji15][emoji15][emoji15][emoji2815][emoji2815][emoji2815]kupimwa? Kinga?[emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Zamani Rais wa Tanzania alikuwa anapata upinzani mkubwa sana kutoka vyama vya upinzani lakini siku hizi anapata upinzani mkubwa kutoka ndani ya CCM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] mwendazake alikuwa ame brainwash watu akili zote[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Naombeni msamaha. Je, huyu anayeitwa TASK FORCE ni wa kabila la wachaga? Ni mtu mwenye tabia za kabila hilo. Kabila lenye imani kali ya Mbowe kwamba walibaguliwa na JPM. Ni kabila lililoshangilia kifo cha JPM, ni kabila linaloshangilia kukamatwa kwa Sabaya kwa kuamini aliwaonea wachaga wote. Ni kabila linalopokea matumaini kwamba Samia atawapa nafasi ya kupendeleana tena.
 
[emoji3064][emoji3064][emoji15][emoji15][emoji15][emoji2815][emoji2815][emoji2815]kupimwa? Kinga?[emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Kinga ya mwili eti kama walipatwa na madhara kabla hawajakutana na familia zao.
Hapo ndio fursa inatumiwa.
 
[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji15]
 
Binti huna adabu, mi mtu wa 50yrs ,we unaniita dogo, utaendelea kuwa kahaba Hadi unitake radhi mzee wako
50 yrs! Mbona kama mawazo ya msichana wa sekondari vile! Yale ya kuchomekea T-shirt tako moja ili lionekane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…