Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Nadhani tunapotaka kuifunga simba sasa tuache kuwajaza ujinga wachezaji. Leo singida walipania sana game. Wakapoteza concentration wakabaki kucheza kwa nguvu bila maarifa.
Angalau kipindi cha pili walitulia kidogo kuliko mwanzo. Nadhani tuwe tunawaacha wacheze kwa mipango ya kocha. Hii game imeniuma sana. Huu upuuzi wa kuwaahidi wachezaji unaondoa utulivu na wachezaji hawachezi kwa akili. Wanatumia nguvu na kukamia.
Singida ilipaswa iizuie Simba. Leo hata draw ingekuwa byeee... Ujinga umekuwa kwa wachezaji kukamia sana na kutwa kulalamika. Wakajitoa mchezoni wenyewe.