Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mwingulu Mchemba kiongozi wa Yanga. Unafichua nini bwanaMil 50 na kiongozi mmoja wa Serikali.
Refa ni mpuuzi, mpira wa kwanza tu ambao kipa Metacha aliruka na wachezaji wa Simba na waka msukuma ilitakiwa apulize filimbi, haikutakiwa ata yule kipa kuruka Tena na kuchezewa faul kabla Kibu ajafunga.Nimeshangaa refa kalikataa goli la pili la simba maana kipa hajasukumwa na hakuruka
Mweee mbona hela ndogo hiyo kwa mechi kubwa...mzigo ulitakiwa uwe mil 200. Sasa 50mil ata mie ningekuwa mchezaji naona aliyehaidi hayupo serious
Wakati mwingine ahadi huongeza molari
[/QUOT]Kwani ni Hamas hao ndiyo wawe na morari
Presha itakuua mkuu. Kapigwa baba na mtoto mkubwa kwenye familia , sasa hivi ni mwendo milio tu.Refa ni mpuuzi, mpira wa kwanza tu ambao kipa Metacha aliruka na wachezaji wa Simba na waka msukuma ilitakiwa apulize filimbi, haikutakiwa ata yule kipa kuruka Tena na kuchezewa faul kabla Kibu ajafunga.
Yaani Refa alikua akitengeneza mazingira Magumu kwa Singida bila sababu.
Mpira ulio tolewa Kona na Hamza refa msaidizi anaweka goal kick, Maarufu Chakei anamuuliza refa msaidizi kwanini haikua Kona?
Refa wa Kati ana mchapa Yellow, Ni mambo ya ajabu kabisa.
Nunua Tv kubwa na Ya kisasa Yenye Picha Angavu huo Ndo Ushauri Wangu .Refa ndiye aliye kamia mechi kwa maamuzi ya upendeleo.
Kipa anasukumwa Goli linafungwa na analikubali.
Faul anaziona za upande mmoja, Off side za upande mmoja.
Kwa ujumla hii ni mechi ya tatu mfulululizo refa anaibuka Man of the match.
Yanga mwenzangu. Kipa hakusukumwa. Tuangalie mpira kimichezo siyo kishabiki.goal la Simba ni halali kabisa halina shida. Tuache ushabiki maandazi. Najua utaniita mkia.i dont care tuseme ukweli tu.Refa ndiye aliye kamia mechi kwa maamuzi ya upendeleo.
Kipa anasukumwa Goli linafungwa na analikubali.
Faul anaziona za upande mmoja, Off side za upande mmoja.
Kwa ujumla hii ni mechi ya tatu mfulululizo refa anaibuka Man of the match.
Umenifanya Nionekane Mwehu mbele za Watu Kwa vile nimecheka mpaka Machozi yamenitoka.
Kausha..... Jamaa wameniangusha sana. Game tulishaimaliza. Na kuna njia Simba walitonywa wasipite hao mbwa. Ila wamecheza vizuri ingawa kuna goal mbili tumewakosa kosa.Rejea post yako ya asubuhi 😂
Siku Ingine Ingia na Sare Zako za Urefa Ukiona Anazingua Unaingia Uwanjani Unampora Filimbi Unachezesha Wewe Sawa Mwanangu?Refa ni mpuuzi, mpira wa kwanza tu ambao kipa Metacha aliruka na wachezaji wa Simba na waka msukuma ilitakiwa apulize filimbi, haikutakiwa ata yule kipa kuruka Tena na kuchezewa faul kabla Kibu ajafunga.
Yaani Refa alikua akitengeneza mazingira Magumu kwa Singida bila sababu.
Mpira ulio tolewa Kona na Hamza refa msaidizi anaweka goal kick, Maarufu Chakei anamuuliza refa msaidizi kwanini haikua Kona?
Refa wa Kati ana mchapa Yellow, Ni mambo ya ajabu kabisa.
Bacca anamagori manne yapitie yote vzr afu reply post yanguRefa ndiye aliye kamia mechi kwa maamuzi ya upendeleo.
Kipa anasukumwa Goli linafungwa na analikubali.
Faul anaziona za upande mmoja, Off side za upande mmoja.
Kwa ujumla hii ni mechi ya tatu mfulululizo refa anaibuka Man of the match.
Wauane kabisa sio shida zetu😂😂😂Ngoja wakanyangane point 3 zilishabebwa
Vyovyote iwavyo, Singida kushinda mbele ya simba ni ngumuNadhani tunapotaka kuifunga simba sasa tuache kuwajaza ujinga wachezaji. Leo singida walipania sana game. Wakapoteza concentration wakabaki kucheza kwa nguvu bila maarifa.
Angalau kipindi cha pili walitulia kidogo kuliko mwanzo. Nadhani tuwe tunawaacha wacheze kwa mipango ya kocha. Hii game imeniuma sana. Huu upuuzi wa kuwaahidi wachezaji unaondoa utulivu na wachezaji hawachezi kwa akili. Wanatumia nguvu na kukamia.
Singida ilipaswa iizuie Simba. Leo hata draw ingekuwa byeee... Ujinga umekuwa kwa wachezaji kukamia sana na kutwa kulalamika. Wakajitoa mchezoni wenyewe.
Waliahidiwa na Uto kupitia Kwa huyo kiongoziMil 50 na kiongozi mmoja wa Serikali.