pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Bado hamjasema maamaeh. Hatushuki kilelenihadi ligi iishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka upo kundi la wasemao Simba inabebwa NBCPL 😂Refa ni mpuuzi, mpira wa kwanza tu ambao kipa Metacha aliruka na wachezaji wa Simba na waka msukuma ilitakiwa apulize filimbi, haikutakiwa ata yule kipa kuruka Tena na kuchezewa faul kabla Kibu ajafunga.
Yaani Refa alikua akitengeneza mazingira Magumu kwa Singida bila sababu.
Mpira ulio tolewa Kona na Hamza refa msaidizi anaweka goal kick, Maarufu Chakei anamuuliza refa msaidizi kwanini haikua Kona?
Refa wa Kati ana mchapa Yellow, Ni mambo ya ajabu kabisa.
Ww ulitaka asukumwe na upepoRefa ndiye aliye kamia mechi kwa maamuzi ya upendeleo.
Kipa anasukumwa Goli linafungwa na analikubali.
Faul anaziona za upande mmoja, Off side za upande mmoja.
Kwa ujumla hii ni mechi ya tatu mfulululizo refa anaibuka Man of the match.
Wewe uliangalia mechi ipi? Bao ni mbili,goli la Kibu hatujui refa wenu huyo amelikataa kwa kigezo gani,mpaka sasa sielewi.Makosa kweli yalikuwepo ndio na yaliiathiri Simba pia.Kuna red card walitakiwa Wapate mapema tu na ni refa huyo huyo akainyima Simba haki yake.Refa ndiye aliye kamia mechi kwa maamuzi ya upendeleo.
Kipa anasukumwa Goli linafungwa na analikubali.
Faul anaziona za upande mmoja, Off side za upande mmoja.
Kwa ujumla hii ni mechi ya tatu mfulululizo refa anaibuka Man of the match.
Kipa anasubiri mpira kama anasubiri embe alafu alitaka Striker amuangalie tu asiruke?.Nimeshangaa refa kalikataa goli la pili la simba maana kipa hajasukumwa na hakuruka
Ikiuma chomoaRefa ndiye aliye kamia mechi kwa maamuzi ya upendeleo.
Kipa anasukumwa Goli linafungwa na analikubali.
Faul anaziona za upande mmoja, Off side za upande mmoja.
Kwa ujumla hii ni mechi ya tatu mfulululizo refa anaibuka Man of the match.