Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Waliahidiwa nini na naniNadhani tunapotaka kuifunga simba sasa tuache kuwajaza ujinga wachezaji. Leo singida walipania sana game. Wakapoteza concentration wakabaki kucheza kwa nguvu bila maarifa.
Angalau kipindi cha pili walitulia kidogo kuliko mwanzo. Nadhani tuwe tunawaacha wacheze kwa mipango ya kocha. Hii game imeniuma sana. Huu upuuzi wa kuwaahidi wachezaji unaondoa utulivu na wachezaji hawachezi kwa akili. Wanatumia nguvu na kukamia.
Singida ilipaswa iizuie Simba. Leo hata draw ingekuwa byeee... Ujinga umekuwa kwa wachezaji kukamia sana na kutwa kulalamika. Wakajitoa mchezoni wenyewe.
Mil 50 na kiongozi mmoja wa Serikali.Waliahidiwa nini na nani
Wakati mwingine ahadi huongeza molariMil 50 na kiongozi mmoja wa Serikali.
Mweee mbona hela ndogo hiyo kwa mechi kubwa...mzigo ulitakiwa uwe mil 200. Sasa 50mil ata mie ningekuwa mchezaji naona aliyehaidi hayupo seriousMil 50 na kiongozi mmoja wa Serikali.
Singida wajilaumu wao wenyewe kwa maana nafasi zilipatikana za Elvis Rupia 2 za wazi na zile beki za Simba ukizipelekea moto zinajichanganya sana, wao wangetulia wangepata matokeo but walikamia na walikuwa na watu wachache kule kwenye forward line yaoNadhani tunapotaka kuifunga simba sasa tuache kuwajaza ujinga wachezaji. Leo singida walipania sana game. Wakapoteza concentration wakabaki kucheza kwa nguvu bila maarifa.
Angalau kipindi cha pili walitulia kidogo kuliko mwanzo. Nadhani tuwe tunawaacha wacheze kwa mipango ya kocha. Hii game imeniuma sana. Huu upuuzi wa kuwaahidi wachezaji unaondoa utulivu na wachezaji hawachezi kwa akili. Wanatumia nguvu na kukamia.
Singida ilipaswa iizuie Simba. Leo hata draw ingekuwa byeee... Ujinga umekuwa kwa wachezaji kukamia sana na kutwa kulalamika. Wakajitoa mchezoni wenyewe.
Rejea post yako ya asubuhi 😂Nadhani tunapotaka kuifunga simba sasa tuache kuwajaza ujinga wachezaji. Leo singida walipania sana game. Wakapoteza concentration wakabaki kucheza kwa nguvu bila maarifa.
Angalau kipindi cha pili walitulia kidogo kuliko mwanzo. Nadhani tuwe tunawaacha wacheze kwa mipango ya kocha. Hii game imeniuma sana. Huu upuuzi wa kuwaahidi wachezaji unaondoa utulivu na wachezaji hawachezi kwa akili. Wanatumia nguvu na kukamia.
Singida ilipaswa iizuie Simba. Leo hata draw ingekuwa byeee... Ujinga umekuwa kwa wachezaji kukamia sana na kutwa kulalamika. Wakajitoa mchezoni wenyewe.
🤣🤣huyu kiongozi alijua kabisa hizo ela zinabakia kwakeMil 50 na kiongozi mmoja wa Serikali.
Pesa za Yanga hizo na GSMNadhani tunapotaka kuifunga simba sasa tuache kuwajaza ujinga wachezaji. Leo singida walipania sana game. Wakapoteza concentration wakabaki kucheza kwa nguvu bila maarifa.
Angalau kipindi cha pili walitulia kidogo kuliko mwanzo. Nadhani tuwe tunawaacha wacheze kwa mipango ya kocha. Hii game imeniuma sana. Huu upuuzi wa kuwaahidi wachezaji unaondoa utulivu na wachezaji hawachezi kwa akili. Wanatumia nguvu na kukamia.
Singida ilipaswa iizuie Simba. Leo hata draw ingekuwa byeee... Ujinga umekuwa kwa wachezaji kukamia sana na kutwa kulalamika. Wakajitoa mchezoni wenyewe.
Siyo sababu timu ni mbovu, mchezaji anafika goli halafu hafungiNadhani tunapotaka kuifunga simba sasa tuache kuwajaza ujinga wachezaji. Leo singida walipania sana game. Wakapoteza concentration wakabaki kucheza kwa nguvu bila maarifa.
Angalau kipindi cha pili walitulia kidogo kuliko mwanzo. Nadhani tuwe tunawaacha wacheze kwa mipango ya kocha. Hii game imeniuma sana. Huu upuuzi wa kuwaahidi wachezaji unaondoa utulivu na wachezaji hawachezi kwa akili. Wanatumia nguvu na kukamia.
Singida ilipaswa iizuie Simba. Leo hata draw ingekuwa byeee... Ujinga umekuwa kwa wachezaji kukamia sana na kutwa kulalamika. Wakajitoa mchezoni wenyewe.
🤣🤣🤣Hata kama angesema awape 300M wasingezichukua🤣🤣huyu kiongozi alijua kabisa hizo ela zinabakia kwake
Waliendekeza migogoro tu badala ya MpiraNadhani tunapotaka kuifunga simba sasa tuache kuwajaza ujinga wachezaji. Leo singida walipania sana game. Wakapoteza concentration wakabaki kucheza kwa nguvu bila maarifa.
Angalau kipindi cha pili walitulia kidogo kuliko mwanzo. Nadhani tuwe tunawaacha wacheze kwa mipango ya kocha. Hii game imeniuma sana. Huu upuuzi wa kuwaahidi wachezaji unaondoa utulivu na wachezaji hawachezi kwa akili. Wanatumia nguvu na kukamia.
Singida ilipaswa iizuie Simba. Leo hata draw ingekuwa byeee... Ujinga umekuwa kwa wachezaji kukamia sana na kutwa kulalamika. Wakajitoa mchezoni wenyewe.
Atakuwa Mwigulu tuMil 50 na kiongozi mmoja wa Serikali.
Nimeshangaa refa kalikataa goli la pili la simba maana kipa hajasukumwa na hakurukaRefa ndiye aliye kamia mechi kwa maamuzi ya upendeleo.
Kipa anasukumwa Goli linafungwa na analikubali.
Faul anaziona za upande mmoja, Off side za upande mmoja.
Kwa ujumla hii ni mechi ya tatu mfulululizo refa anaibuka Man of the match.
Kulalamika ni mbinu ya mama mkwe wa shetani na huwa inamsaidia maana wachezaji wake ni mabingwa kucheza uhunu kwenye penalty box wakizidiwa ila hawajawahi kuadhibiwa.Nadhani tunapotaka kuifunga simba sasa tuache kuwajaza ujinga wachezaji. Leo singida walipania sana game. Wakapoteza concentration wakabaki kucheza kwa nguvu bila maarifa.