Kuahidi hizi teams pesa kunasababisha wapoteze attention. Hii game Singida walikamia sana wakaacha kucheza mpira

Bila shaka upo kundi la wasemao Simba inabebwa NBCPL 😂
 
Attachments

  • 1735414366967.jpg
    219.5 KB · Views: 4
Leo singida hawajatupa game ngumu kama nilivyodhani, dk 30 za mwanzo tumewapelekea sana moto tukawalazimisha wabakie nyuma second half tulivyowaachia mpira wao still hawakuwa threat kwetu.

Nadhani walikamia sana na walikuwa wanacheza huku wakiwaza hela zaidi kuliko kukosantreti ni namna gani wanamzuia simba na wanashinda.

Sbs sio hatari hivo kama nilivyowadhania wa kawaida tu. Hii ilikuwa game ngumu sana kwetu na hatujapoteza i think hatutapoteza mpaka ligi iishe.

Kuhusu nzi wa kijani msimu huu wao ndo watatukabidhi kombe.

"SIMBA BINGWA"

"UBAYA UBWELA"
 
Refa ndiye aliye kamia mechi kwa maamuzi ya upendeleo.
Kipa anasukumwa Goli linafungwa na analikubali.
Faul anaziona za upande mmoja, Off side za upande mmoja.

Kwa ujumla hii ni mechi ya tatu mfulululizo refa anaibuka Man of the match.
Ww ulitaka asukumwe na upepo
 
Refa ndiye aliye kamia mechi kwa maamuzi ya upendeleo.
Kipa anasukumwa Goli linafungwa na analikubali.
Faul anaziona za upande mmoja, Off side za upande mmoja.

Kwa ujumla hii ni mechi ya tatu mfulululizo refa anaibuka Man of the match.
Wewe uliangalia mechi ipi? Bao ni mbili,goli la Kibu hatujui refa wenu huyo amelikataa kwa kigezo gani,mpaka sasa sielewi.Makosa kweli yalikuwepo ndio na yaliiathiri Simba pia.Kuna red card walitakiwa Wapate mapema tu na ni refa huyo huyo akainyima Simba haki yake.
 
Refa ndiye aliye kamia mechi kwa maamuzi ya upendeleo.
Kipa anasukumwa Goli linafungwa na analikubali.
Faul anaziona za upande mmoja, Off side za upande mmoja.

Kwa ujumla hii ni mechi ya tatu mfulululizo refa anaibuka Man of the match.
Ikiuma chomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…