TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,465
- 3,459
Wanaoanguka chooni je!!? Maji ya kuchambia pia yanashtua moyoHiyo huwa ni stroke, pressure inaweza kuwa juu halafu ukajimwagia maji baridi. Unaambiwa uanze kujimwaGia maji miguuni kwanza kabla ya ki chwa
Uache maswali ya kejeri kama umetaka kupewa maarifa katika jambo. Kama unahisi unayo majibu si ungekaa nayo mkuu.Mkuu kwahiyo mtu akijenga choo wao wanaingia? Wanatokea wapi wakati ni vipofu ?
Ipo sana,zamani kuna mzee mmoja jirani yetu alikua vizuri tu,alianguka huko hakurudi tena.Salaam wakuu
Inamaana gani mtu akianguka chooni?
Kuna uhusiano wowote wa kichawi na mtu kuanguka chooni?
Una uhakika?Ukianguka tu huko ume dead
Mkuu kuna ubaya gani wa mimi kuuliza ili nipate majibu zaidi?Uache maswali ya kejeri kama umetaka kupewa maarifa katika jambo. Kama unahisi unayo majibu si ungekaa nayo mkuu.
Mtume (s.a.w) alisema kila unapopiga hatua tano unakutana na jini, wao wako wengi kuliko sisi na wanamaisha yao kama wewe, Majini huwa wanapatikana baharini (invisible), Na siunajua sehem kubwa ya dunia ni bahari. Kuna mvuvi aliniambia kuingia baharini kuvua kunahitaji adabu
Majini wao pia wapo wa aina mbali mbali kitabia kama sisi binadamu wapo wakorofi, wapole, wahuni, wakarimu nk.
Majini wao wana uwezo tofauti na sisi binadamu na ndio maana umewahi sikia pesa za majini, wao ndio wametoa hizo kwa masharti fulani fulani kupitia waganga na mara nyingi hayo masharti yanakuumiza hayakupi furaha sasa yale maumivu ndio furaha ya majini
Allah (s.w) kwenye Quran alisema "sikuumba majini na wanadamu isipokua waniabudu "
Uhusiano kati ya Choo na Majini sijui vizuri. Pengine chooni sio sehem twahara ndio maana wanakua na nguvu ya kukudhuru moja kwa moja endapo utapata shida huko.
We'll get better definement, let's wait and see
Hakuna ubaya mkuu wangMkuu kuna ubaya gani wa mimi kuuliza ili nipate majibu zaidi?
Umeambiwa choon wewe waleta za bafuni soma kwanza maada sio kukoment uharoHiyo huwa ni stroke, pressure inaweza kuwa juu halafu ukajimwagia maji baridi. Unaambiwa uanze kujimwaGia maji miguuni kwanza kabla ya ki chwa
Hiyo huwa ni stroke, pressure inaweza kuwa juu halafu ukajimwagia maji baridi. Unaambiwa uanze kujimwaGia maji miguuni kwanza kabla ya ki chwa
Wewe huelewi maisha yetu ya kinyumbani nyumbani?Umeambiwa choon wewe waleta za bafuni soma kwanza maada sio kukoment uharo
we kijamaa chenga kweli yaaniHamna uchawi madaktari wataeleza vizuli lakini kwa uelewa mdogo ni mshtuko wa moyo ukijimwagia maji baridi gafla
SawaOgeni kuanzia miguuni. Miguu hubadili joto la mwili kwa utaratibu mzuri kuliko kichwa. Wengi wao huanguka kwa kukutwa na kiharusi.
Izo nambo za cjui majini na nn japo kua ni kweli lkn sio za kuzipa kipaumbele
Alianguka huko 😳Ipo sana,zamani kuna mzee mmoja jirani yetu alikua vizuri tu,alianguka huko hakurudi tena.
2019 babaangu mdogo alianguka huko hakurudi na alikua mzima tu kiafya.
Wote wanyakyusa.
DuhUache maswali ya kejeri kama umetaka kupewa maarifa katika jambo. Kama unahisi unayo majibu si ungekaa nayo mkuu.
Mtume (s.a.w) alisema kila unapopiga hatua tano unakutana na jini, wao wako wengi kuliko sisi na wanamaisha yao kama wewe, Majini huwa wanapatikana baharini (invisible), Na siunajua sehem kubwa ya dunia ni bahari. Kuna mvuvi aliniambia kuingia baharini kuvua kunahitaji adabu
Majini wao pia wapo wa aina mbali mbali kitabia kama sisi binadamu wapo wakorofi, wapole, wahuni, wakarimu nk.
Majini wao wana uwezo tofauti na sisi binadamu na ndio maana umewahi sikia pesa za majini, wao ndio wametoa hizo kwa masharti fulani fulani kupitia waganga na mara nyingi hayo masharti yanakuumiza hayakupi furaha sasa yale maumivu ndio furaha ya majini
Allah (s.w) kwenye Quran alisema "sikuumba majini na wanadamu isipokua waniabudu "
Uhusiano kati ya Choo na Majini sijui vizuri. Pengine chooni sio sehem twahara ndio maana wanakua na nguvu ya kukudhuru moja kwa moja endapo utapata shida huko.
We'll get better definement, let's wait and see
😀😀Alianguka huko 😳
Wote wanyakyusa🤔
Ndio chooni wote walikua wazima wa afya,jirani alijigonga huko,bamdogo alidondoka huko akapararaise siku 2 wakazika.Alianguka huko 😳
Wote wanyakyusa🤔
Choo ni mlango wa kuzimuSalaam wakuu
Inamaana gani mtu akianguka chooni?
Kuna uhusiano wowote wa kichawi na mtu kuanguka chooni?
Kiaje?Choo ni mlango wa kuzimu