Uache maswali ya kejeri kama umetaka kupewa maarifa katika jambo. Kama unahisi unayo majibu si ungekaa nayo mkuu.
Mtume (s.a.w) alisema kila unapopiga hatua tano unakutana na jini, wao wako wengi kuliko sisi na wanamaisha yao kama wewe, Majini huwa wanapatikana baharini (invisible), Na siunajua sehem kubwa ya dunia ni bahari. Kuna mvuvi aliniambia kuingia baharini kuvua kunahitaji adabu
Majini wao pia wapo wa aina mbali mbali kitabia kama sisi binadamu wapo wakorofi, wapole, wahuni, wakarimu nk.
Majini wao wana uwezo tofauti na sisi binadamu na ndio maana umewahi sikia pesa za majini, wao ndio wametoa hizo kwa masharti fulani fulani kupitia waganga na mara nyingi hayo masharti yanakuumiza hayakupi furaha sasa yale maumivu ndio furaha ya majini
Allah (s.w) kwenye Quran alisema "sikuumba majini na wanadamu isipokua waniabudu "
Uhusiano kati ya Choo na Majini sijui vizuri. Pengine chooni sio sehem twahara ndio maana wanakua na nguvu ya kukudhuru moja kwa moja endapo utapata shida huko.
We'll get better definement, let's wait and see