Kuanguka kwa Taifa la Marekani kwakaribia. Ni suala la muda tu; Mungu hawezi kuacha upuuzi wa nchi hiyo kuendelea

A
Uchumba na nguvu za kimataifa havina uhusiano na utakatifu wa taifa husika kwasasa.
Kama ni hivyo Afrika tungekuwa tunagawa misaada ulaya kwasasa
Waafrica ni vigumu sana kuendelea!

Ni bala la watu wavivu na wasiopenda kuona mabadiriko! Ni watu wezi na mafisadi, hawatosheki na kipato chao!

Mzungu akiwa na mali, hawezi kuruhusu pastor amuombee abarikiwe! Thubutu yake, atamzuia katikati ya sala, labda tu atamuomba amuombee ulinzi na afya njema basi!

Kwa waafrica sasa! Hata akiwa na bilioni ngapi atatamani kuombewa abarikiwe zaidi na kuongezewa mara dufu na pengine atazidi kuiba na kuiba!

Watu wa ajabu sana nyinyi
 
Akili/Rangi
 
Makanisa yaliumbuka sana kipindi cha CORONA wamekazana eti chanjo ni alama ya mnyama !! Sijui alama 666 imeenda imerudi ! CORONA mara jina la mtakatifu wa kikatoliki ! Kiko wapi kumbe ile ni sayansi huko na watu wafanye biashara zao za chanjo

Sikatai kuhusu maono na utabiri ila watu wengi wanasoma kitabu vibaya wanakimbilia kupotosha umma ! Hasa hapa Africa ! Kwa nchi zilizoendelea walishagundua mapema kuna mchuano mkubwa kati ya Sayansi na Maswala ya dini !!
 
Vipi ulichanja mkuu
 
Kusubir anguko marekani ni sawa na kusubir embe chini ya mnazi!
Kuna mtu alisema jiwe atasepa watu walibisha ivoivo.....akasema tena ndege itadondoka itaua watu wakakataa vivyo hivyo....🤐Mdomo wangu shona
 
Lazima utakuwa upo kwenye kibanda umiza ni story zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…