Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Siasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali.
Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje?
Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya Newton. Ya kwanza, ya pili au ya Tatu.
Kuanzia leo nafikiri itakuwa ni wakati wa kuona uwezo na nguvu ya deep state kama kweli dhana hiyo ipo kwenye siasa za nchi yetu.
Wabillah Tawfiq