Bila shaka huyo Mwesigwa (japo simjui), ni kiazi kabisa, tena umempa sifa ambazo hana hata kidogo kwa sababu angekuwa ni mtu wa namna uliyomwelezea basi Tanzania isingekuwa ilivyo sasa hivi! Au ni expert wa kuharibu na ukilaza?
Bila shaka viti vitashililiwa kwa muda akina MushaambaaSiasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali.
Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje?
Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya Newton. Ya kwanza, ya pili au ya Tatu.
Kuanzia leo nafikiri itakuwa ni wakati wa kuona uwezo na nguvu ya deep state kama kweli dhana hiyo ipo kwenye siasa za nchi yetu.
Wabillah Tawfiq
Kusubiri miujiza ya nadharia njama ni sawa na kusubiri meli airportKuanzia leo nafikiri itakuwa ni wakati wa kuona uwezo na nguvu ya deep state kama kweli dhana hiyo ipo kwenye siasa za nchi yetu.
Hapana mkuuwewe utakua mmoja wao bila shaka mkuu
Mrs Paul MakondaKwanini kuanzia Jana hadi nyuma kwanini haukutaka kujua!!!!!
Anachokisubiria mtoa mada hakipo na hakiwezi kutokea.Kusubiri miujiza ya nadharia njama ni sawa na kusubiri meli airport
Uhasilia gani? Kumpa mtu anayeitwa Mwesiga sifa ambazo hana? Hivi kwenye huu uongozi kungekuwa na mtu mwenye sifa kama hizo hali ingekuwa hivi? Nauliza kwa sababu mimi pamoja na kutokuwa kwenye siasa lakini ningekuwa mshauri wa CCM ningeweza kutoa ushauri mzuri mara milioni moja ya kuliko hapa walipo.
Sidhani kuwa mimi kuna sehemu yoyote nimemuunga mkono mwanzisha thread bali nilipinga uliposema huyo Mwesiga ni expert na kumpa sifa nyingi. Mimi nikauliza; utaalam wake uko wapi wakati serikali ya Samia inategemea ulawiti na mauaji ku-survive?Anachokisubiria mtoa mada hakipo na hakiwezi kutokea.
Mama akiona huendani nae Itikadi, anakupa promotion TU, na kumwondolea kiwingu.
Tiss ya Sasa Iko compact sn kuliko hata miaka ya nyuma, watumishi wengi wa tiss hawana uhuru ule waliowahi kua nao miaka Ile ya nyuma (free minds).
Bado nakupinga kabisa. Sikubaliana na wewe. Hivi kinachofanyika na hii serikali ya sasa mbona hakionyeshi kama kina mkakati wowote? Mkuu mimi nina uzoefu wa siasa na najua sana unachojaribu kuelezea lakini ukweli ni kwamba serikali ya sasa haina mkakati wowote (najua unazungumzia mkakati wa kubaki madarakani). Mimi naweza kuwapa mkakati mzuri zaidi kwa sababu jinsi serikali inavyoendeshwa sasa hivi ni kama inajiiua yenyewe. Kinachoifanya iwepo mpaka sasa siyo mkakati bali ni uoga, kutojielewa na ujinga wa watanzania. PS: Mimi huko kwenye TISS siko kabisa sijaandika lolote kuwahusu.Tumia maarifa Yako vzuri mkuu,
Kwa viongozi wetu walioko madarakan na wenye mpango wa kuendelea kua madaraka.
mwesigwa ndo karata Yao muhimu waliyobaki nayo kuendelea kusalia madarakani
He's a real life joker, na anachokiorganize wameshaprove kinawapa matokeo na huwaambii kitu chochote wakakuelewa
Hao TISS unawataka Wewe, Hawahitajiki kabisa Kwa Sasa, hasa kWA upepo wa kisiasa tulionao hapa nchini hivi karibuni.
Labda baadae uko mambo yakishatulia
[emoji28] Jamanii
Tabia ya ulawiti au uuaji inaweza kua ni sifa ya mtu flani,Sidhani kuwa mimi kuna sehemu yoyote nimemuunga mkono mwanzisha thread bali nilipinga uliposema huyo Mwesiga ni expert na kumpa sifa nyingi. Mimi nikauliza; utaalam wake uko wapi wakati serikali ya Samia inategemea ulawiti na mauaji ku-survive?
Mkuu una data sanaUsichokijua Sasa,
Sio kwamba mwesigwa alipigwa chini ubunge kisa kura za maoni hazikutosha, eti ndo akaukosa ubunge.
Magu hakumpitisha kusudi ili amuweke Karibu nae pale ikulu Kwa ajili ya mishe zake za kiusalama ndani ya tiss
Ubunge WA 2020, kura za maoni hazikua Hata na Nguvu, ndo maana illishuhudiwa Hadi kina tale,byabato na fa ambao hawakua Hata within top 3 ili walipitishwa na kamati kuu (kinyume na katiba).
Jiwe alichagua mwnyw nani anamtaka, nani hamtaki, asipokutaka unawekwa kushoto.
Ndo maana baada TU ya uchaguzi, mwesigwa alirudishwa chap makao makuu kuendelea kutumikia.
Ikumbukwe,
Byabato na mwesigwa walikua best friends tangu wakiwa ughaibiun, na ofsin makao makuu, wote ndoto zao za ubunge zilishakua vichwan mwao. (Wanapenda Sana politics)
Byabato kapata uhamisho bukoba manispaa kwenda kua wakil WA serikali, na ndo uko uko alitengeneza mazIngira yake ya ubunge wake. Kitu ambacho jiwe Hata hakumkatalia japo kura zake hazikutosha (alishamuona atamsaidia bungeni uko).
Now byabato yupo ndani ya Baraza la mawaziri, bungeni hadi ikulu na Kila kitu Kinaenda sawa, na mama kamuamini na anaendelea kumtumia
Siasa za kikomunistTabia ya ulawiti au uuaji inaweza kua ni sifa ya mtu flani,
Ila suala la kwamba ni sifa nzuri au sifa mbaya, inategemea na mambo kadha wa kadha:-
1. Itategemea mfanyaji analifanya Kwa maslahi ya nani. Kama Hayo maslahi hayakuhusu, laZima tu utachukia.
2. Wewe mpokeaji umelipokea Kwa mtizamo UPI, Kwa wanasiasa walio Wengi, mwesingwa kwao ni hero, mlio nje ya siasa hamuwezi kuelewa..
Kama hujui siasa za kikomunist zinaoperate vipii, utamchukia Bure mwesigwa au mtoa mada
Mwesigwa ni mtu wa hovyo sana yule kiumbeKiuhalisia,
Mwesigwa tangu amerudi bongo, ameiharibu sn Tiss kwa kuipoliticize mno.
Role yake ndani ya tiss imekua beneficial Sana Kwa watawala, ndo maana umeona akipanda vyeo kwa Kasi Sana, na ndo head of politics in tiss na ndo mshauri mkuu WA mama in politics.
Ila kumlaumu yeye pia ni kumuonea maana nae ni zao la uvccm, Tena uvccm kindaki-ndaki, (UKOO WAKE WOTE).
Mwesigwa anaifanyia Kazi ideology aliyozaliwa na kukuzwa nayo
Mwesigwa kasomea politics, ni expert & experienced in politics, anaipenda sn politics na anaipenda Sana CCM (from his heart).
Mtu Kama uyo ni asset kubwa Sana Kwa viongozi WA CCM na nchi wenye lengo la kusalia madarakani na ndo think tank ya pale TISS Kwa Sasa, (He's in touchable).
Mwambie ukweli huyu chawa mkubwa hajitambui!Imara kwa lipi labda kwenye kuteka kubaka na kurawiti
Point of Correction, TISS haijawahi Kuwa Wizara ya Ulinzi Ilikuwa Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala bora, Pamoja na Kuwa top layer ilikuwa ina report kwa Rais ila still wizara ilikuwa na Control fulani na IdaraKiuwajibikaji, ndio kilikua office ya raisi.
Ila kiutendaji, kilikua kinasimamiwa na wizara ya ulinzi
Hii ilileta Sana contradiction, hasa katika kuunganisha utandaji na uwajibikaji ktk shughuli wazifanyazo tiss.
Maana Waziri WA wizara husika alkua Hana mamlaka yoyote Kwa watumishi WA ngazi za juu za tiss, na Mara kibao walivimbiana.
Hata bajeti ya tiss ilkua haitokani na bajeti ya wizara ya ulinzi, Bali ilitoka kwenye mengineyo ya bajeti ya ikulu.
Pia, Kuna watumish WA tiss walikua wanaripoti Moja Kwa moja kwa waziri ulinzi, na wengine Kwa mawaziri wengine kienyeji.
Yule mama aliyetoka pale ulinzi, aliruhusu uhuru WA manyani kwa maofisa wengi wa tiss, kias kwamba idara ya ulinz wa rais iliyumba Sana.
(Siri za ikulu zilivuja Sana)
Hii ilileta Sana shida
Sizumgumzii mbeleko za jiwe,najzungumzia kura za wajumbe, Mwesigwa alipigwa vibaya sana, hao kina Byabato ushasema mfumo uliwabeba,so kwenye free and fair election so chochoteUsichokijua Sasa,
Sio kwamba mwesigwa alipigwa chini ubunge kisa kura za maoni hazikutosha, eti ndo akaukosa ubunge.
Magu hakumpitisha kusudi ili amuweke Karibu nae pale ikulu Kwa ajili ya mishe zake za kiusalama ndani ya tiss
Ubunge WA 2020, kura za maoni hazikua Hata na Nguvu, ndo maana illishuhudiwa Hadi kina tale,byabato na fa ambao hawakua Hata within top 3 ili walipitishwa na kamati kuu (kinyume na katiba).
Jiwe alichagua mwnyw nani anamtaka, nani hamtaki, asipokutaka unawekwa kushoto.
Ndo maana baada TU ya uchaguzi, mwesigwa alirudishwa chap makao makuu kuendelea kutumikia.
Ikumbukwe,
Byabato na mwesigwa walikua best friends tangu wakiwa ughaibiun, na ofsin makao makuu, wote ndoto zao za ubunge zilishakua vichwan mwao. (Wanapenda Sana politics)
Byabato kapata uhamisho bukoba manispaa kwenda kua wakil WA serikali, na ndo uko uko alitengeneza mazIngira yake ya ubunge wake. Kitu ambacho jiwe Hata hakumkatalia japo kura zake hazikutosha (alishamuona atamsaidia bungeni uko).
Now byabato yupo ndani ya Baraza la mawaziri, bungeni hadi ikulu na Kila kitu Kinaenda sawa, na mama kamuamini na anaendelea kumtumia
In other words, you want the hot discussion with a mosquito about malaria transmission? There is such a democracyKwann Ccm hawataki kufanya siasa za ushindani? Hoja zijibiwe kwa hoja na si vinginevyo