Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

Kitengo miaka yote Kiko office ya Rais
Unaoyatarajia hayapo na hayawezekani kutokea

Maana tayar ofisi kuu ya idara isharudishwa ofisi ya raisi ikulu(kwa muswada uliopitishwa na bunge recently).

Kwa Sasa,
kuanzia watumishi WA idara Hadi familia na washirika WOTE wako under presidential surveillance 24hrs

(Fuatilia vzur reshuffle iliyofanyika hivi karibuni pale HQ,

heads wengi (almost wote) wametolewa uraiani na kuhamishiwa makazi mapya waliyoandaliwa na mom wakiwa na family zao, wamepewa gari mpya Hadi furniture mpya.

Majengo mengi ya gov yaliyokua ofsin za serikali baada ya kuhamia dom kuanzia posta had magogoni, state imeyachukua na staffs wengi WA idara ndo wamepewa kuishi humo.

Hivi unadhani mom, anawapenda Sana kitengo? Jibu ni hapana, amewasogeza karibu na yeye ili aweze kuwamonitor.

Wengi wao kwa Sasa, wako bugged to the teeth, na ukibainika unakengeuka, unashughulikwa underground, Hata KELELE hupigi.

Mom sio mtu wa misifa Wala kujikweza kama alivokua mshua, mom anakushughulikia afu anakausha like nothing happened. Hata ukitoka kushughulikiwa, unakufa nalo rohoni (husemi Wala kulalamika popote).

Yaliyotokea kwa nape na kinana ndo ilikua wake-up call kwa mshua kuanzisha move ya huo muswada wa kuirudisha idara ofs ya rais ikulu, walijikuta nao ni another executive within executive.

mom alivoingia na kuona upresdaa wake uko mashakani na unalegalega, akaamua kuupitisha mswada moja kwa Moja bila kupepesa macho.

Kwa sasa, hakuna kitu idara itafanya mama asijue, all heads Kwa sasa WOTE wanaripoti Kwa mother directly iwe foreign au domestic.
 
Kiuhalisia,
Mwesigwa tangu amerudi bongo, ameiharibu sn Tiss kwa kuipoliticize mno.

Role yake ndani ya tiss imekua beneficial Sana Kwa watawala, ndo maana umeona akipanda vyeo kwa Kasi Sana, na ndo head of politics in tiss na ndo mshauri mkuu WA mama in politics.

Ila kumlaumu yeye pia ni kumuonea maana nae ni zao la uvccm, Tena uvccm kindaki-ndaki, (UKOO WAKE WOTE).

Mwesigwa anaifanyia Kazi ideology aliyozaliwa na kukuzwa nayo. Mwesigwa kasomea politics, ni expert & experienced in politics, anaipenda sn politics na anaipenda Sana CCM (from his heart).

Mtu Kama uyo ni asset kubwa Sana Kwa viongozi WA CCM na ndo think tank ya pale TISS Kwa Sasa, (He's in touchable).
Mwesigwa anajua politics zipi? Alipigwa vibaya kwenye ubunge na Kyombo uko Nkenge, anatoka kwenye familia ya walevi, uko Nyarubanja-Rukurungo -Bugandika-Missenyi-Kagera,

Alishafukuzwa UDOM Kwa utovu wa nidhamu, baba yake ni mlevi aswaa, uko kwao Rukurungo, wajanja wakitaka kumpa kipondo dakika 0. Niamke sasa
Mto wa mbu.
Illinois -USA
 
Kuna muda unafika mpaka sisi wengine wenye upeo mdogo wa mambo ya kisiasa tunaona ombwe kubwa kwenye hizi tasisi za usalama wa nchi zile zilizo Invisible na visible.
Mdau hapo juu DeepPond ameeleza kwa uhalisia sana hali ilivyo huko deep state.
 
Unaoyatarajia hayapo na hayawezekani kutokea

Maana tayar ofisi kuu ya idara isharudishwa ofisi ya raisi ikulu(kwa muswada uliopitishwa na bunge recently).

Kwa Sasa,
kuanzia watumishi WA idara Hadi familia na washirika WOTE wako under presidential surveillance 24hrs

(Fuatilia vzur reshuffle iliyofanyika hivi karibuni pale HQ,

heads wengi (almost wote) wametolewa uraiani na kuhamishiwa makazi mapya waliyoandaliwa na mom wakiwa na family zao, wamepewa gari mpya Hadi furniture mpya.

Majengo mengi ya gov yaliyokua ofsin za serikali baada ya kuhamia dom kuanzia posta had magogoni, state imeyachukua na staffs wengi WA idara ndo wamepewa kuishi humo.

Hivi unadhani mom, anawapenda Sana kitengo? Jibu ni hapana, amewasogeza karibu na yeye ili aweze kuwamonitor.

Wengi wao kwa Sasa, wako bugged to the teeth, na ukibainika unakengeuka, unashughulikwa underground, Hata KELELE hupigi.

Mom sio mtu wa misifa Wala kujikweza kama alivokua mshua, mom anakushughulikia afu anakausha like nothing happened. Hata ukitoka kushughulikiwa, unakufa nalo rohoni (husemi Wala kulalamika popote).

Yaliyotokea kwa nape na kinana kumteta jiwe behind lines ndo ilikua wake-up call kwa mshua kuanzisha move ya huo muswada wa kuirudisha idara ofs ya rais ikulu,

mom alivoingia na kuona upresdaa wake uko mashakani na unalegalega, akaamua kuupitisha mswada moja kwa Moja bila kupepesa macho.

Kwa sasa, hakuna kitu idara itafanya mama asijue, all heads Kwa sasa WOTE wanaripoti Kwa mother directly iwe foreign au domestic.
Kumbe saelf ni zaidi ya hitler
 
Usichokijua Sasa,
Sio kwamba mwesigwa alipigwa chini ubunge kisa kura za maoni hazikutosha, eti ndo akaukosa ubunge.

Magu hakumpitisha kusudi ili amuweke Karibu nae pale ikulu Kwa ajili ya mishe zake za kiusalama ndani ya tiss

Ubunge WA 2020, kura za maoni hazikua Hata na Nguvu, ndo maana illishuhudiwa Hadi kina tale,byabato na fa ambao hawakua Hata within top 3 ili walipitishwa na kamati kuu (kinyume na katiba).

Jiwe alichagua mwnyw nani anamtaka, nani hamtaki, asipokutaka unawekwa kushoto.

Ndo maana baada TU ya uchaguzi, mwesigwa alirudishwa chap makao makuu kuendelea kutumikia.

Ikumbukwe,
Byabato na mwesigwa walikua best friends tangu wakiwa ughaibiun, na ofsin makao makuu, wote ndoto zao za ubunge zilishakua vichwan mwao. (Wanapenda Sana politics)

Byabato kapata uhamisho bukoba manispaa kwenda kua wakil WA serikali, na ndo uko uko alitengeneza mazIngira yake ya ubunge wake. Kitu ambacho jiwe Hata hakumkatalia japo kura zake hazikutosha (alishamuona atamsaidia bungeni uko).

Now byabato yupo ndani ya Baraza la mawaziri, bungeni hadi ikulu na Kila kitu Kinaenda sawa, na mama kamuamini na anaendelea kumtumia
 
Kumbe saelf ni zaidi ya hitler
Sio Hitler, bali anafanya kile kinachotakiwa kufanya akiwa kama Raisi aliyeko madarakani

Uraisi ni magumu Sana hasa kama wanaokuzunguka wanaamini kua hautoshi kwny nafasi uliyopo na WAnahisi wanakumudu kukufanyia hujuma.

Tangu mwaka 2023 umeanza, mother anakitumikia kiti Cha uraisi Hata zaidi ya jiwe na hacheki na kima wa aina yoyote on her way.

UKIJICHANGANYA TU, KIMEKULAMBA

Maumivu yake utakwenda kulilia peke ako chooni na hakuna utakayemwambia Nini kimekupata
 
Ngoja tuone
 
Kitengo miaka yote Kiko office ya Rais
Kiuwajibikaji, ndio kilikua office ya raisi.

Ila kiutendaji, kilikua kinasimamiwa na wizara ya ulinzi

Hii ilileta Sana contradiction, hasa katika kuunganisha utandaji na uwajibikaji ktk shughuli wazifanyazo tiss.

Maana Waziri WA wizara husika alkua Hana mamlaka yoyote Kwa watumishi WA ngazi za juu za tiss, na Mara kibao walivimbiana.

Hata bajeti ya tiss ilkua haitokani na bajeti ya wizara ya ulinzi, Bali ilitoka kwenye mengineyo ya bajeti ya ikulu.

Pia, Kuna watumish WA tiss walikua wanaripoti Moja Kwa moja kwa waziri ulinzi, na wengine Kwa mawaziri wengine kienyeji.

Yule mama aliyetoka pale ulinzi, aliruhusu uhuru WA manyani kwa maofisa wengi wa tiss, kias kwamba idara ya ulinz wa rais iliyumba Sana.
(Siri za ikulu zilivuja Sana)

Hii ilileta Sana shida
 
Kiuhalisia,
Mwesigwa tangu amerudi bongo, ameiharibu sn Tiss kwa kuipoliticize mno.

Role yake ndani ya tiss imekua beneficial Sana Kwa watawala, ndo maana umeona akipanda vyeo kwa Kasi Sana, na ndo head of politics in tiss na ndo mshauri mkuu WA mama in politics.

Ila kumlaumu yeye pia ni kumuonea maana nae ni zao la uvccm, Tena uvccm kindaki-ndaki, (UKOO WAKE WOTE).

Mwesigwa anaifanyia Kazi ideology aliyozaliwa na kukuzwa nayo

Mwesigwa kasomea politics, ni expert & experienced in politics, anaipenda sn politics na anaipenda Sana CCM (from his heart).

Mtu Kama uyo ni asset kubwa Sana Kwa viongozi WA CCM na nchi wenye lengo la kusalia madarakani na ndo think tank ya pale TISS Kwa Sasa, (He's in touchable).
Bila shaka huyo Mwesigwa (japo simjui), ni kiazi kabisa, tena umempa sifa ambazo hana hata kidogo kwa sababu angekuwa ni mtu wa namna uliyomwelezea basi Tanzania isingekuwa ilivyo sasa hivi! Au ni expert wa kuharibu na ukilaza?
 
Kiuwajibikaji, ndio kilikua office ya raisi.

Ila kiutendaji, kilikua kinasimamiwa na wizara ya ulinzi

Hii ilileta Sana contradiction, hasa katika kuunganisha utandaji na uwajibikaji ktk shughuli wazifanyazo tiss.

Maana Waziri WA wizara husika alkua Hana mamlaka yoyote Kwa watumishi WA ngazi za juu za tiss, na Mara kibao walivimbian.

Hata bajeti ya tiss ilkua haitokani na bajeti ya wizara ya ulinzi, Bali bajeti ya ikulu.

Pia, Kuna watumish WA tiss walikua wanaripoti Moja Kwa moja kwa waziri ulinzi, na wengine Kwa mawaziri wengine.

Hii ilileta Sana shida
wewe utakua mmoja wao bila shaka mkuu
 
Kuna muda unafika mpaka sisi wengine wenye upeo mdogo wa mambo ya kisiasa tunaona ombwe kubwa kwenye hizi tasisi za usalama wa nchi zile zilizo Invisible na visible.
Mdau hapo juu DeepPond ameeleza kwa uhalisia sana hali ilivyo huko deep state.
Uhasilia gani? Kumpa mtu anayeitwa Mwesiga sifa ambazo hana? Hivi kwenye huu uongozi kungekuwa na mtu mwenye sifa kama hizo hali ingekuwa hivi? Nauliza kwa sababu mimi pamoja na kutokuwa kwenye siasa lakini ningekuwa mshauri wa CCM ningeweza kutoa ushauri mzuri mara milioni moja ya kuliko hapa walipo.
 
Unaoyatarajia hayapo na hayawezekani kutokea

Maana tayar ofisi kuu ya idara isharudishwa ofisi ya raisi ikulu(kwa muswada uliopitishwa na bunge recently).

Kwa Sasa,
kuanzia watumishi WA idara Hadi familia na washirika WOTE wako under presidential surveillance 24hrs

(Fuatilia vzur reshuffle iliyofanyika hivi karibuni pale HQ,

heads wengi (almost wote) wametolewa uraiani na kuhamishiwa makazi mapya waliyoandaliwa na mom wakiwa na family zao, wamepewa gari mpya Hadi furniture mpya.

Majengo mengi ya gov yaliyokua ofsin za serikali baada ya kuhamia dom kuanzia posta had magogoni, state imeyachukua na staffs wengi WA idara ndo wamepewa kuishi humo.

Hivi unadhani mom, anawapenda Sana kitengo? Jibu ni hapana, amewasogeza karibu na yeye ili aweze kuwamonitor.

Wengi wao kwa Sasa, wako bugged to the teeth, na ukibainika unakengeuka, unashughulikwa underground, Hata KELELE hupigi.

Mom sio mtu wa misifa Wala kujikweza kama alivokua mshua, mom anakushughulikia afu anakausha like nothing happened. Hata ukitoka kushughulikiwa, unakufa nalo rohoni (husemi Wala kulalamika popote).

Yaliyotokea kwa nape na kinana kumteta jiwe behind lines ndo ilikua wake-up call kwa mshua kuanzisha move ya huo muswada wa kuirudisha idara ofs ya rais ikulu,

mom alivoingia na kuona upresdaa wake uko mashakani na unalegalega, akaamua kuupitisha mswada moja kwa Moja bila kupepesa macho.

Kwa sasa, hakuna kitu idara itafanya mama asijue, all heads Kwa sasa WOTE wanaripoti Kwa mother directly iwe foreign au domestic.
Point
 
Anacho fanya bi tunu ni kuhakikisha walio ariund her wanakula na kushiba ,yani security wanao move na ekila sehemu wana pesa hatari saivi
 
Back
Top Bottom