Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Astaghafirurah!!
Yaani huu ni Uchaguzi Mkuu wa 13 Tanzania, lakini watu wana porojo kibao. Nchi hii ni imara na itaendelea kuwa imara. Tunakunywa Konyagi tunaendelea kunywa raha mustarehe hadi Serikali Mpya ya CCM itakapoingia madarakani!Siasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali.
Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje?
Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya Newton. Ya kwanza, ya pili au ya Tatu.
Kuanzia leo nafikiri itakuwa ni wakati wa kuona uwezo na nguvu ya deep state kama kweli dhana hiyo ipo kwenye siasa za nchi yetu.
Wabillah Tawfiq
Imara kwa lipi labda kwenye kuteka kubaka na kurawitiYaani huu ni Uchaguzi Mkuu wa 13 Tanzania, lakini watu wana porojo kibao. Nchi hii ni imara na itaendelea kuwa imara. Tunakunywa Konyagi tunaendelea kunywa raha mustarehe hadi Serikali Mpya ya CCM itakapoingia madarakani!
Kazi yenu huwa ni kuiwazia na kuombea Nchi yenu mabaya tu, hamna lingine.Siasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali.
Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje?
Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya Newton. Ya kwanza, ya pili au ya Tatu.
Kuanzia leo nafikiri itakuwa ni wakati wa kuona uwezo na nguvu ya deep state kama kweli dhana hiyo ipo kwenye siasa za nchi yetu.
Wabillah Tawfiq
Yaani huu ni Uchaguzi Mkuu wa 13 Tanzania, lakini watu wana porojo kibao. Nchi hii ni imara na itaendelea kuwa imara. Tunakunywa Konyagi tunaendelea kunywa raha mustarehe hadi Serikali Mpya ya CCM itakapoingia madarakani!
Wako vizuri sana Hawa. Hawa ni wapiga kura wetu wazuri sana.
Velcome to the rand of rapistsImara kwa lipi labda kwenye kuteka kubaka na kurawiti
Deep state imepigwa kufuri na kufuri la kikeSiasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali.
Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje?
Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya Newton. Ya kwanza, ya pili au ya Tatu.
Kuanzia leo nafikiri itakuwa ni wakati wa kuona uwezo na nguvu ya deep state kama kweli dhana hiyo ipo kwenye siasa za nchi yetu.
Wabillah Tawfiq
Eti deep state, takataka,TZ hakuna Strong intelligence hamna kabsa, yaani TISS wako nyuma kwenye Artificial intelligence, computer software engineering, cyber security,IT nakadharika, hao kina Mwesigwa waliosoma UDOM eti ndo vichwa TISS, anywayUnaoyatarajia hayapo na hayawezekani kutokea
Maana tayar ofisi kuu ya idara isharudishwa ofisi ya raisi ikulu(kwa muswada uliopitishwa na bunge recently).
Kwa Sasa,
kuanzia watumishi WA idara Hadi familia na washirika WOTE wako under presidential surveillance 24hrs
(Fuatilia vzur reshuffle iliyofanyika hivi karibuni pale HQ,
heads wengi (almost wote) wametolewa uraiani na kuhamishiwa makazi mapya waliyoandaliwa na mom wakiwa na family zao, wamepewa gari mpya Hadi furniture mpya.
Majengo mengi ya gov yaliyokua ofsin za serikali baada ya kuhamia dom kuanzia posta had magogoni, state imeyachukua na staffs wengi WA idara ndo wamepewa kuishi humo.
Hivi unadhani mom, anawapenda Sana kitengo? Jibu ni hapana, amewasogeza karibu na yeye ili aweze kuwamonitor.
Wengi wao kwa Sasa, wako bugged to the teeth, na ukibainika unakengeuka, unashughulikwa underground, Hata KELELE hupigi.
Mom sio mtu wa misifa Wala kujikweza kama alivokua mshua, mom anakushughulikia afu anakausha like nothing happened. Hata ukitoka kushughulikiwa, unakufa nalo rohoni (husemi Wala kulalamika popote).
Yaliyotokea kwa nape na kinana ndo ilikua wake-up call kwa mshua kuanzisha move ya huo muswada wa kuirudisha idara ofs ya rais ikulu, walijikuta nao ni another executive within executive.
mom alivoingia na kuona upresdaa wake uko mashakani na unalegalega, akaamua kuupitisha mswada moja kwa Moja bila kupepesa macho.
Kwa sasa, hakuna kitu idara itafanya mama asijue, all heads Kwa sasa WOTE wanaripoti Kwa mother directly iwe foreign au domestic.
Eti deep state, takataka,TZ hakuna Strong intelligence hamna kabsa, yaani TISS wako nyuma kwenye Artificial intelligence, computer software engineering, cyber security,IT nakadharika, hao kina Mwesigwa waliosoma UDOM eti ndo vichwa TISS, anyway
karibu Illinois -USA
Na vikao vya NECAstaghafirurah!!
Kuna machawa wa CCM humu ni matokeo ya mimba kutungwa kwenye mambo ya namna hii na mikesha ya mbio za mwenge.
CCM ni baba wa uovu.
CCM ni laana.