Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

Anacho fanya bi tunu ni kuhakikisha walio ariund her wanakula na kushiba ,yani security wanao move na ekila sehemu wana pesa hatari saivi
 
Tumia maarifa Yako vzuri mkuu,

Kwa viongozi wetu walioko madarakan na wenye mpango wa kuendelea kua madaraka.

mwesigwa ndo karata Yao muhimu waliyobaki nayo kuendelea kusalia madarakani

He's a real life joker, na anachokiorganize wameshaprove kinawapa matokeo na huwaambii kitu chochote wakakuelewa

Hao TISS unawataka Wewe, Hawahitajiki kabisa Kwa Sasa, hasa kWA upepo mchafu wa kisiasa tulionao hapa nchini hivi karibuni (within CCM, even in the opposition).

Labda baadae uko mambo yakishatulia
Bila shaka huyo Mwesigwa (japo simjui), ni kiazi kabisa, tena umempa sifa ambazo hana hata kidogo kwa sababu angekuwa ni mtu wa namna uliyomwelezea basi Tanzania isingekuwa ilivyo sasa hivi! Au ni expert wa kuharibu na ukilaza?
 
Bila shaka viti vitashililiwa kwa muda akina Mushaambaa
 
Na deep 🤔? Ushuani hakuna viraka kwenye nguo mpya? Anyway ngoja tuvunge maana wapo deep Sana Kutetea teule na teuzi huo pia ni utaifa uliomezwa na majukumu yao!
 
Kusubiri miujiza ya nadharia njama ni sawa na kusubiri meli airport
Anachokisubiria mtoa mada hakipo na hakiwezi kutokea.

Mama akiona huendani nae Itikadi, anakupa promotion TU, na kumwondolea kiwingu.

Tiss ya Sasa Iko compact sn kuliko hata miaka ya nyuma, watumishi wengi wa tiss hawana uhuru ule waliowahi kua nao miaka Ile ya nyuma (free minds).
 
Sidhani kuwa mimi kuna sehemu yoyote nimemuunga mkono mwanzisha thread bali nilipinga uliposema huyo Mwesiga ni expert na kumpa sifa nyingi. Mimi nikauliza; utaalam wake uko wapi wakati serikali ya Samia inategemea ulawiti na mauaji ku-survive?
 
Bado nakupinga kabisa. Sikubaliana na wewe. Hivi kinachofanyika na hii serikali ya sasa mbona hakionyeshi kama kina mkakati wowote? Mkuu mimi nina uzoefu wa siasa na najua sana unachojaribu kuelezea lakini ukweli ni kwamba serikali ya sasa haina mkakati wowote (najua unazungumzia mkakati wa kubaki madarakani). Mimi naweza kuwapa mkakati mzuri zaidi kwa sababu jinsi serikali inavyoendeshwa sasa hivi ni kama inajiiua yenyewe. Kinachoifanya iwepo mpaka sasa siyo mkakati bali ni uoga, kutojielewa na ujinga wa watanzania. PS: Mimi huko kwenye TISS siko kabisa sijaandika lolote kuwahusu.
 
Sidhani kuwa mimi kuna sehemu yoyote nimemuunga mkono mwanzisha thread bali nilipinga uliposema huyo Mwesiga ni expert na kumpa sifa nyingi. Mimi nikauliza; utaalam wake uko wapi wakati serikali ya Samia inategemea ulawiti na mauaji ku-survive?
Tabia ya ulawiti au uuaji inaweza kua ni sifa ya mtu flani,

Ila suala la kwamba ni sifa nzuri au sifa mbaya, inategemea na mambo kadha wa kadha:-

1. Itategemea mfanyaji analifanya Kwa maslahi ya nani. Kama Hayo maslahi hayakuhusu, laZima tu utachukia.

2. Wewe mpokeaji umelipokea Kwa mtizamo UPI, Kwa wanasiasa walio Wengi, mwesingwa kwao ni hero, mlio nje ya siasa hamuwezi kuelewa..

Kama hujui siasa za kikomunist zinaoperate vipii, utamchukia Bure mwesigwa au mtoa mada
 
Mkuu una data sana
Nakuvulia kofia😁 unaeleza kinaga ubaga
 
Siasa za kikomunist

Umefunga ukurasa mkuu. Kila mtu aende akajifunze siasa za kikomunist zinaendaje, twende China 🇨🇳, Russia 🇷🇺, North Korea nk

Siasa za kimagharibi hazina nafasi na zinapigwa vita mno na ukizishabikia utakua adui mkubwa ni kama hasi na chanya au maji na mafuta
 
Mwesigwa ni mtu wa hovyo sana yule kiumbe
 
Point of Correction, TISS haijawahi Kuwa Wizara ya Ulinzi Ilikuwa Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala bora, Pamoja na Kuwa top layer ilikuwa ina report kwa Rais ila still wizara ilikuwa na Control fulani na Idara

Baada ya Act ya 2023 TIss imehamishiwa Ofisi ya Rais, Ila Wizara yenyewe itabaki kwa ajili ya kufanya Mambo ya Budget tu
 
Sizumgumzii mbeleko za jiwe,najzungumzia kura za wajumbe, Mwesigwa alipigwa vibaya sana, hao kina Byabato ushasema mfumo uliwabeba,so kwenye free and fair election so chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…