Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Huu ujinga wa eti chama fulani kinafuata matukio ndio mmemuingiza Zito na chama chake kingi. Anajifanya anaongea sijui sera, matokeo yake chama chake hakieleweki kinaongea nini.Napiga msitali hapa(cdm ni chama kinacho fuata matukio)
Hivi sasa kunatakiwa kuwe na chaguzi ndogo za marudio, cdm wamegomea na uchaguzi umepoteza mvuto, ila ACT wanashiriki lakini wananchi wamepuuza. Ingekuwa cdm wanashiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi kila mtu angejua kuna uchaguzi.