Chadema haina ubavu wa kumtikisa mh Rais mama Samia,Haina nguvu hiyo Wala uwezo huo, chadema Ni chama kilichojichokea,Ni chama kilichokosa dira na muelekeo.
Ni chama kilichokosa safu ya uongozi ya kuaminika na kusikilizwa, Ni chama kisicho na muunganiko, Ni chama kilichokosa miziz.
Ni chama kilichopuuzwa na watanzania. Ni chama kisicho na Sera Wala ajenda zenye kugusa maisha ya mtanzania mnyonge,Ni chama kinachofuata matukio
Watanzania wana Imani na CCM na serikali ya ccm chini ya uongozi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia, kwa kuwa CCM ndio chama chenye Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania,ndio chama kilichoonyesha kwa matendo kuwa na uchungu na maisha ya mtanzania,ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na kuungwa mkono na watanzania wote