Kuanzia 2023-2025 CHADEMA itampa wakati mgumu sana Rais Samia

Kuanzia 2023-2025 CHADEMA itampa wakati mgumu sana Rais Samia

Sisi CHADEMA tumekaa kimya tunasoma comments zenu tu, nothing can stop us in any way
 
Ukiwa na mke ambaye kabla hujamuoa kuna mwenzio mlikuwa mnagongana na kugombana kwa ajili ya yule demu, ukabahatika akatua kwako na ukaoa, siku mkipatana na huyo mwenzio na ukawa unamkaribisha kwako basi ujue atamla tu huyo mke aliyetua kwako.

Urafiki wa Mbowe na Samia ni kifo cha ccm. Urafiki unaoweza kuwa salama ni wa Samia na Zitto.
 
Chadema haina ubavu wa kumtikisa mh Rais mama Samia,Haina nguvu hiyo Wala uwezo huo, chadema Ni chama kilichojichokea,Ni chama kilichokosa dira na muelekeo.

Ni chama kilichokosa safu ya uongozi ya kuaminika na kusikilizwa, Ni chama kisicho na muunganiko, Ni chama kilichokosa miziz.

Ni chama kilichopuuzwa na watanzania. Ni chama kisicho na Sera Wala ajenda zenye kugusa maisha ya mtanzania mnyonge,Ni chama kinachofuata matukio

Watanzania wana Imani na CCM na serikali ya ccm chini ya uongozi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia, kwa kuwa CCM ndio chama chenye Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania,ndio chama kilichoonyesha kwa matendo kuwa na uchungu na maisha ya mtanzania,ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na kuungwa mkono na watanzania wote
Wewe unaamini CCM, inaweza kusurvive bila mbeleko ya Polisi ? Polisi leo iamue itekeleze jukumu lake bila mkono wa CCM, unadhani mtatoboa?
 
Nilipata kusema humu kwamba kwa namna Samia asivyo na nia ya dhati kwa aliyokuwa akikubaliana na Mbowe litakuwa ni suala la wakati tu wawili hao kutofautiana tena.

Baadhi yetu kwa siku za hivi karibuni tumekiona CHADEMA kama kimefifishwa hivi kwa maneno matamu ya Samia na CCM yake lakini ukweli haupo hivyo tudhanivyo bali Chadema walijipa tu mda wa kuona yaahidiwayo na Samia na CCM yake yakitimu jambo ambalo hadi leo blah-blah ni nyingi pasipo matendo.

Tuitarajie CHADEMA inayoenda kumsumbua Samia isivyokuwa ikitarajiwa!

Fimbo ya CHADEMA kumchapia Samia imerahisishwa na yafuatayo:

Ukosefu wa umeme wa uhakika, ukosefu wa maji safi na salama hasa Dar es Salaam, miradi mingi ya umeme vijijini kukwama, rushwa na ufisadi kurejea kwa kasi, huduma za afya kuendelea kuwa duni, mafisadi kurejeshwa kwenye mstari na GHARAMA ZA MAISHA KUPANDA HASA MFUMKO WA BEI WA MAHITAJI MUHIMU.

2023 na kuendelea itakuwa ni uwanja mchungu wa mapambano kwa Samia.
Hakuna Cha wakati mgumu Ni kujidanganya tuu..
 
Chadema haina ubavu wa kumtikisa mh Rais mama Samia,Haina nguvu hiyo Wala uwezo huo, chadema Ni chama kilichojichokea,Ni chama kilichokosa dira na muelekeo.

Ni chama kilichokosa safu ya uongozi ya kuaminika na kusikilizwa, Ni chama kisicho na muunganiko, Ni chama kilichokosa miziz.

Ni chama kilichopuuzwa na watanzania. Ni chama kisicho na Sera Wala ajenda zenye kugusa maisha ya mtanzania mnyonge,Ni chama kinachofuata matukio

Watanzania wana Imani na CCM na serikali ya ccm chini ya uongozi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia, kwa kuwa CCM ndio chama chenye Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania,ndio chama kilichoonyesha kwa matendo kuwa na uchungu na maisha ya mtanzania,ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na kuungwa mkono na watanzania wote
wewe msambwanda wa polepole huwa unawashwawashwa sana lakin mim kidume nitakushughulikia tu kila nionapo ujinga wako humu jf
 
Chadema Ni chama SHIKIZI tu, hiyo Ni Saccos, Ni mradi wa mtu huo ndio sababu ya upigaji wa hela uliopo pale
ccm na mapoyoyo yake humu jf mtanyooka tu mtake msitake ngoja ifike 2025 tutawatia adabu kama tulivyomtia adabu baba yenu akapora uchaguz matokeo yake saiv mmebaki kwenda kuhiji chato, na huyo mammayenu ajaribu kupora uchaguz 2025 kama hamjaimba parapanda italia.
 
Mbowe Jana amerudia Ile kauli nisoipenda Eti sa100 ni msikivu!!!

Angekuwa msikivu, Leo MAKAMBA, nape na mwigu wasingekuwa mawaziri.

Mbowe Rudi Kwa mstari.
Acha kupotosha wewe mbowe ndo mwamba wa siasa hapa nchini na hayo maneno labda kama unambowe wako huko kwenu aliyesema hivyo sawa.
 
Nyie chadema ni wapumbavu sana. Ninyi wakati Magufuli Alipokuwepo madarakani na akajaribu kupambana na mafisadi. Kudhibiti nidhamu kazini kujenga miradi mikubwa.

Nyie nyie mlikua mnampinga na kumtukana kila siku.

Aya kaja mama sasa. Mliekua mnamtaka. Mmeanza tena ujinga wenu. Nyie sio chama cha siasa Bali ni wahunitu.

Ndio maana Mzee Mkapa Aliwaita " Malofa na Wapumbavu"
mpumbavu ni wewe na ccm yako yote na sio chadema ndio maana huyo mkapa wenu kwa ulofa na upumbavu wake hakuendelea kuishi hapa dunian maana Mungu aliona ni lofa bora atoweke na nyie malofa wachache mliobaki ni wala la muda tu.
 
ccm na mapoyoyo yake humu jf mtanyooka tu mtake msitake ngoja ifike 2025 tutawatia adabu kama tulivyomtia adabu baba yenu akapora uchaguz matokeo yake saiv mmebaki kwenda kuhiji chato, na huyo mammayenu ajaribu kupora uchaguz 2025 kama hamjaimba parapanda italia.
Hakuna wa kushindana na Rais Samia, Wala Chadema hayupo mtu wa kufikiriwa kupewa hata Kura moja ya mtanzania mwenye akili timamu, pambaneni kuhakikisha michango yenu yote iliyotafunwa huko chadema inarejeshwa ili mjenge hata ofisi ya chumba kimoja
 
Kina Heche wakirudi bungeni, mama na CCM yake watakuwa wanaonekana ni katuni. Watakata tena matangazo ya live. Save this message
 
Back
Top Bottom