Kuanzia 2023-2025 CHADEMA itampa wakati mgumu sana Rais Samia

Napiga msitali hapa(cdm ni chama kinacho fuata matukio)
Huu ujinga wa eti chama fulani kinafuata matukio ndio mmemuingiza Zito na chama chake kingi. Anajifanya anaongea sijui sera, matokeo yake chama chake hakieleweki kinaongea nini.

Hivi sasa kunatakiwa kuwe na chaguzi ndogo za marudio, cdm wamegomea na uchaguzi umepoteza mvuto, ila ACT wanashiriki lakini wananchi wamepuuza. Ingekuwa cdm wanashiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi kila mtu angejua kuna uchaguzi.
 
Toka ndotoni wewe!
Kwa katiba ipi na tume ipi mpk uitoe CCM!?
Kosa kubwa ni kuendelea kung'ang'ana na bandari na kuachana na katiba. Sasa hv tumebaki hatujui ht agenda yetu ni ipi hasa zaidi ya kusubiri kucheza midundo ya serikali
 
Mkuu kuna aliyekukataza kuendelea kudai katiba mpya? Au kuna mahali umeambiwa madai ya katiba mpya yamesimama?
 
Ingekuwa cdm wanashiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi kila mtu angejua kuna uchaguzi.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…