Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Hongera sana kwa uamuzi huu mkuu, karibu kwenye timu yetu ya visungura, smart gin🐰
 
Pombe ni kama madawa ya kulevya tu huachi hata kidogo kacheki series ya limitless au movie ya limitless utaona jinsi drugs zinavokuwa ngumu kutoka mwilini hiii starehe hauwezi kuiacha ni sawa na mtu aseme naacha bangi na hawezi kuacha
Unaacha nilipo pata ajar Feb nilikua na miaka mi wili kila siku na boost baada ya kaziii jioni..

Nilipo jua/ ambiwa mguu hauwezi kuunga ukiwa una tumia alcohol/ sigara.. japo sijawai vuta fegi...Mbona ku boost niliacha mwaka Jana wotee

NB.
Pombe/ sigara,/ bange ni mind sate unaacha ukiamua Tena siku moja tu
 
Mirinda ndio balaa sasa.

Hiyo ukali yake achaka kabisa.

Kunywa maji na matunda basi. Ndizi ni pombe ukila nyingi.
 
mwili wako ndio tabu!, mkuu wine ni nzuri nashauri watu heri watumie wine zile kali ni mtihani sana ujue!.
tunakunywaga tu lkn kali mh!
Mimi Bora spirit...wine ukipiga zile CHUPA kubwa mbili kesho zinachosha MWILI...

Labda uwe mtu wa kunywa maji mengiii
 
Tangu lini mlevi akajishauri mwenyewe πŸ™‚πŸ™‚?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…