Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Sasa bro nikitaka kunywa nianze kufunga safari kuzungukia pombe.....niambie nyingine ambayo nitaipata kirahisi.
 
😹😹😹 Tulewe ili iweje?
Mwanaume akilewa anachekesha anaahidi vitu visivyotekelezeka km ilani ya CCM 🀣
Afu wakat huo wew kichwa kiko vzur unamchora tu

Hii mbaya sana,kuna jamaa yang aliwah niletea demu wa hvyo ambae halew,mwsho wa siku nikagoma kununua bia wakaanza kujinunulia wao
 
Unaajidanganya tu , wewe na bia nakuambia bia ina nguvu kubwa kuliko wewe , jaribu kumuacha bwana bia ili tuone , yaani huwezi muacha bwana bia. Jaribu uone kwanza mie mwenyewe nataka nikupe offer ya bia njoo hapa bonasera Kama upo Mwanza, yaani haiwezakani usome hapa jhapa nyanza primary usikute nilikuwa nakuona wakati napita hapo kwenu balewa road naenda kitangiri. Njoo unywe bia Maisha duniani ni mafupi mno
 
Mirinda nyeusi bora unywe bia tu. Misukari ile utaviziwa na kisukari, unene, matatizo ya moyo, mapafu, figo na bado nyuki, nzi, sisimizi, siafu, mchwa watakutamani.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hadi mchwa 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Bro bia mbili unapiga trip za toi? Pombe ishaanza kukataa, wenzio tunapiga kreti na tuko fit…!!
Sponsor anaanza kulewa yeye unaamua kumuitia boda awahi kwake 😹😹😹
Si ndio hapo bro, hadi nikahisi labda narogwa πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli vi bia viwili nakesha!!!!! Imeniuma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…