Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

Si kila mmoja anaunga mkono hili, nawe uwe ni mmojawapo upingaye ndani ya kanisa, wala usikimbie maana wameasi wao si kanisa. Pia tutambue Kristo amekaribia maana hizi ndo dalili zake
 
Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.

Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.

Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli

Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.

Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
Hilo kanisa kujidai mapadre wasioe kumbe wanakulana sana. Hadi huyo papa bila shaka sio riziki. Binafsi nimesikitika sana papa anakaribisha mashoga kanisani kuwabariki badala ya kuwaita kutubu na kuacha dhambi.
 
Karibu kwa Wasabato. Mimi nilikuwa Mkatoliki kama wewe, nikachoka kulishwa matango pori huyoooo nikasepa. Umefanya uamuzi mzuri kutoka huko Babeli.

Kingine, huku Wasabato wameshatoa msimamo kwamba hawaungi mkono ndoa au mapenzi ya jinsia moja kwavile jambo hilo halipatani na mafundisho ya Biblia. Sola scriptura!
 
Ni watanzania wachache sana wenye upeo huru wa kufikiria jambo kupima na kufanya uamuzi bila kufungwa na nadharia mbali mbali. Moja wapo ni wewe.

Hongera sana
 
Usiwaangalie waislamu bali wewe soma Quran na usome uislamu utapata mwangaza.
Na kwann uwaangalie wakristo na usisome biblia?? unapo washauri watu kwamba wasiwaangalie waislamu bali wasome qur'an bac na mimi vilevile naweza sema usiwaangalie wakristo bali wasome biblia.

Mm nahic hivi vitabu vyote viwili ndo vinapaswa kuwa muongozo kwa muislamu au mkristo na sio kuangalia matendo ya viongozi au matendo ya watu wa dini husika.
 
Unaunga mkono ushoga? Unajua kuwa Sodoma na Gomora iliangamizwa kwa dhambi hii ya ushoga?

Kanisa linatakiwa kuwa kinara kukemea mienendo isiyofaa katika jamii, hata jogoo anajua jike ni yupi na hakosei.
Ila wewe dume zima unaunga mkono ushoga kwa kigezo cha "liberal "au kwenda na wakati
 
Karibu kwa Wasabato. Mimi nilikuwa Mkatoliki kama wewe, nikachoka kulishwa matango pori huyoooo nikasepa. Umefanya uamuzi mzuri kutoka huko Babeli.

Kingine, huku Wasabato wameshatoa msimamo kwamba hawaungi mkono ndoa au mapenzi ya jinsia moja kwavile jambo hilo halipatani na mafundisho ya Biblia. Sola scriptura!
Ewe seventh-day adventist mwenzangu jua kwamba hata kanisani mwako ushoga upo, kuna pastor amejitokeza na kusema yeye ni bisexual na conference wamemjadili na hawakufuta certificate yake.

Pastor Saša Gunjević First Adventist Pastor to Maintain Credentials After Coming Out – Adventist Today

Ushoga upo kweny kila dhehebu asaiv, kitakachoweza kukukomboa ni wewe tuu na imani yako na sio kuhamahama makanisa kila siku.
 
Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.

Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.

Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli

Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.

Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
Screenshot_20231219_113054_com.facebook.katana.jpg
 
Ufunuo 18:4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. 5Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.
Huu mstari unamzungumzia nani ?
 
Mkuu siungi mkono wala kukubaliana na habari ya ushoga, ila twende kwenye uhalisia, hatuombei iwe hivyo na Mungu aepushilie mbali lakini ndio tuseme imetokea mwanao amekuwa shoga, utatumia approach gani kuliendea swala hili!

Mkuu hii changamoto ya ushoga ni kama ilivyo kuwa janga la Ukimwi miaka ya 90. Ukimwi sasa hivi sio habari ya kutisha kama mwanzo! Tuwe na Akiba ya maneno!
Mimi mwanangu akiwa shoga
1.ni marufuku kuja kunizika
2.sitomzika
3.sitakaa niongee nae
4.ntaandika usia haraka kuwa nikifa urithi wake ni tshs 1000
5.nikigundua mama yake anamsapoti nitaoa mke ws pili kabla jua la pili kuzama na sitakaa nilale nae wala kumsalimu
 
Papa amejidhihirisha kabisa kwamba yeye ndiye ampingaye Kristo
Pole sana ila kumbuka kuwa dini uliyonayo siyo ya papa na huyo uliyekuwa/unae muabudu sio papa na maandiko na mafundisho yake hayakuelekezi hivyo asemavyo papa.

Isitoshe umetoa nukuu nzuri sana ya huyo unayemuabudu.

Kama umeamua kuishi kwenye dini fulani basi ni vyema ukajikita zaidi kuyajua na kuyaishi mafundisho yake na sio kuyaishi mafundisho ya wafuasi wake na kuwapa sifa ya uungu ingali nao ni binadamu kama ww.

Akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Mpaka nipate mwongozo wa kanisa, Kama wakipitisha nitahamia orthodox. Bado naamini zile sakrament Saba na sio maneno ya watu.
 
Ata ukitoka huongezi wala upunguzi kitu sana sana umelipunguzia kanisa mzigo wa waumini wasiokua na msimamo na wasojielewa

Makanisa na madhehebu yako meng sana unaweza enda jiunga tu uko na wala haikua na haja ya kuja kulalama umu

Anaejitambua anachukua maamuzi kmy kmy sio ww unaetafuta atensheni kwa wasomaji wa jf
 
Kwanini kanisa lisimpinge Kama amepotoka? Ukatoliki unaendeshwa Kama CCM,au Chama cha Kikomunisti cha China asemacho mwenyekiti ni NDIYO na AMINA
Unaumwa SAFURA wewe,umeshawahi kuwa Mkatoliki?.Sometimes ni bora kufyata mkia utaonekana una akili kuliko kushabikia usichokuwa na Uhakika nacho.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Sasa unamtangazia nani kamwambie baba na mama yako ndo walokutambulisha ktk dini
 
Back
Top Bottom