Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo kanisa kujidai mapadre wasioe kumbe wanakulana sana. Hadi huyo papa bila shaka sio riziki. Binafsi nimesikitika sana papa anakaribisha mashoga kanisani kuwabariki badala ya kuwaita kutubu na kuacha dhambi.Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.
Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.
Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli
Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.
Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
Na kwann uwaangalie wakristo na usisome biblia?? unapo washauri watu kwamba wasiwaangalie waislamu bali wasome qur'an bac na mimi vilevile naweza sema usiwaangalie wakristo bali wasome biblia.Usiwaangalie waislamu bali wewe soma Quran na usome uislamu utapata mwangaza.
Kwani ni uamuzi wa papa peke yake Vatican imekaa ikapitisha, papa akatangazaHe's almost to go, yaweza kuwa akili ime stalk, hopefully kila kitu kitakuwa sawa.
Ewe seventh-day adventist mwenzangu jua kwamba hata kanisani mwako ushoga upo, kuna pastor amejitokeza na kusema yeye ni bisexual na conference wamemjadili na hawakufuta certificate yake.Karibu kwa Wasabato. Mimi nilikuwa Mkatoliki kama wewe, nikachoka kulishwa matango pori huyoooo nikasepa. Umefanya uamuzi mzuri kutoka huko Babeli.
Kingine, huku Wasabato wameshatoa msimamo kwamba hawaungi mkono ndoa au mapenzi ya jinsia moja kwavile jambo hilo halipatani na mafundisho ya Biblia. Sola scriptura!
Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.
Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.
Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli
Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.
Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi.
Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote.
Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho.
Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli
Waefeso 5:11-17
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
[12]kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret.
[13]Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru.
But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doth make manifest is light.
[14]Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.
Wherefore he saith, Awake thou that sleepest, and arise from the dead, and Christ shall give thee light.
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
Kanisa la Ellen G White sijawahi kuliamini wala ule unabii wake wa uwongo ambao haukutimia.Wasabato Bana...........mna lugha zenu flan hivi rahisi kuwa-spot
Huu mstari unamzungumzia nani ?Ufunuo 18:4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. 5Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.
Mimi mwanangu akiwa shogaMkuu siungi mkono wala kukubaliana na habari ya ushoga, ila twende kwenye uhalisia, hatuombei iwe hivyo na Mungu aepushilie mbali lakini ndio tuseme imetokea mwanao amekuwa shoga, utatumia approach gani kuliendea swala hili!
Mkuu hii changamoto ya ushoga ni kama ilivyo kuwa janga la Ukimwi miaka ya 90. Ukimwi sasa hivi sio habari ya kutisha kama mwanzo! Tuwe na Akiba ya maneno!
Pole sana ila kumbuka kuwa dini uliyonayo siyo ya papa na huyo uliyekuwa/unae muabudu sio papa na maandiko na mafundisho yake hayakuelekezi hivyo asemavyo papa.Papa amejidhihirisha kabisa kwamba yeye ndiye ampingaye Kristo
Unaumwa SAFURA wewe,umeshawahi kuwa Mkatoliki?.Sometimes ni bora kufyata mkia utaonekana una akili kuliko kushabikia usichokuwa na Uhakika nacho.Kwanini kanisa lisimpinge Kama amepotoka? Ukatoliki unaendeshwa Kama CCM,au Chama cha Kikomunisti cha China asemacho mwenyekiti ni NDIYO na AMINA