Kuanzia leo naacha pombe na namrudia Mungu

Sijui niseme nini, ila kuacha pombe ni jaribu kubwa mno.
Yakikukuta unaacha automatically yaan automatically..

Pombe sio mbaya unakunywa kwa kiwango na kiasi yaan responsible mfano wazungu wengi wanatumia mvinyo for recreational Tena kujiburudisha baada ya kazi..

Hasara za vilevi uki ABUSE ni uzembe,uvivu,magonjwa, kuharibu kazi, ajari ,ugomvi, migogoro , kutoshaurika hasara zake ni nyingi sanaaa

Kama ukitumia pombe kiasi haina shida Kama hautakua mraibu haina shida..
 
Tatizo wanywaji wengi they don't know their limits, as a result they end up abusing alcohol.
 
Yakikukuta hiyo sikuacha kwa ridhaa bali kulazimishwa na hali ya wakati huo.
 
Unaelewa maana ya "anivesare"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…