Kuanzia leo naacha pombe na namrudia Mungu

Hongera kwa Uamuzi huo, Mungu akutangulie katika maisha yako bila pombe.
 
Sijui mnaanzaje kunywa pombe... Haya sasa miaka yote hiyo c umekunywa bwawa zima...
 
Sawa umefanya maamuzi sahihi


Pombe sio nzuri Sana ukiweza punguza au acha kabisa.
 
Hongera sana, Kwa kufanya uamuzi wa busara sana wa kuachana na pombe.

Mungu akubariki
 
Anza kubadilisha jina lako kwanza from Jack Daniel to....
 
Pasco, unashawishi sana mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…