Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

simu yako ina mawasiliano yangu?
Umeshawahi kunitumia meseji?
vipi ukikuta meseji umenitumia,simu umenipigia wakati haujawahi kunipigia.
Unaweza kutolea maelezo?
MSIWE WAPUMBAVU MNA AKILI ZITUMIENI
Du! Kuna mitanzania mijinga sana, sijui inatumia nini kufikiri. Kwani simu ikiwa na mawasiliano na miamala ndio unakuwa gaidi?? Wewe simu yako haina mawasiliana na miamala?? Kama ipo wewe ni gaidi??
 
Upinzani wa Tanzania ni kama mwanamke aliyeolewa na ccm ndio mme, siku akikorofishwa anaondoka anachukua nguo zake.
Siku mwanaume akimfuata kwao anarudi wanaanza maisha upya.
Wafuasi wa upinzani ni kama watoto wa huyo mama wao ni kushangilia hawajui hata chanzo cha ugomvi.
 
simu yako ina mawasiliano yangu?
Umeshawahi kunitumia meseji?
vipi ukikuta meseji umenitumia,simu umenipigia wakati haujawahi kunipigia.
Unaweza kutolea maelezo?
MSIWE WAPUMBAVU MNA AKILI ZITUMIENI
Mwezi mchanga🤚🤚🤚
 
Kachambe ukalale / ukalalwe Pumbavu.
Ukakalwe wewe jinga wewe. Kuwa wewe, hebu elimika. Usijione we ni jiniasi punguani wewe. Sitaki kutukania wazazi walio kuleta duniani ila baba yako siku akijua Id yako jf hapa atajuta kukojolea ndani
 
Utalaaniwa na chuki zako. Kwani wapinzani ndugu yangu ndio wanakulisha??

Chuki zako kanywe sumu sasa.
 
Mwaka huu mtakonda mpaka mkome. Asubuhi za uso jioni za ugoko.

Mlifurahi mbowe akiteswa sasa ametoka.

Mwamba alishasema hata pigia mtu magoti. Hatimaye wameifuta wenyewe.

Kama umekasirika ndugu ni ujinga wako tu unakutuma
 
Haya maccm yamefura🤣🤣🤣🤣
 
Wakriso tumefundiswha akupigaye shavu la julia mpe na kushoto,

We Dogo una Tabia za kihayawani
Kusamehe ni ibaada takatifu
Hao ni watu duni ndio wamejazana huko ccm.

Juzi tu wanasema eti chadema hawataki Mbowe atoke🤣🤣🤣
 
Mfano hapa kakosea wapi FAM? Huyo Genta nilikwisha mng'amua kuwa ni mtu muhuni na anayedhani ana akili sana kumbe boga tuu!
 
Hivi hiki kipaji cha ujinga ulicho nacho kiko katika kundi gani?
Kuzaliwa nacho, kurithi, kuiga au kufuata mkumbo?
 
Genta amejionesha ni kati ya ile miafrika ya hovyo yenye roho mbaya sana.

MA failed Mataga Chief
 
Mkuu umekuwa ukifatilia masingira ya kesi kweli?

Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni. Rais Samia kwa kujua au kutokujua alidanganywa. Urais uone hivyo hivyo tu. Unaweza kukuta wala Samia hakuhusika kabisa na kesi mbowe licha ya matamko yake. Ni kweli ni Rais usisahau yule ni mwanamke pia.

Mbowe kwenda Ikulu sioni kosa kwani Ameshinda. Alisema hatatoka kwa kumpigia magoti mtu bora afie jela na hata uza haki kwa kipande cha mkate.

Sasa basi kama Rais ameomba waonane( kumbuka) sisi ndio tunaona ni ghafla lakini hili jambo lilipangwa kama Tundu Lissu alivyokutana naye Belgium
 
Tunashukuru Akili za Lissu aliongea na Rais na papo hapo akatoka kusema wazi walichoongea. Sasa tunaona Hadidu za rejea moja baada ya jingine kikitimia.
 
Dawa ya makasiliko kunywa mkojo wa nguruwe aliyejifungua muda mfupi utakuja kunishukuru
 
Pole!
 
Mi siku zote najua wewe ni mwanaume sa mbona commenters wanakuita mdada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…