Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

simu yako ina mawasiliano yangu?
Umeshawahi kunitumia meseji?
vipi ukikuta meseji umenitumia,simu umenipigia wakati haujawahi kunipigia.
Unaweza kutolea maelezo?
MSIWE WAPUMBAVU MNA AKILI ZITUMIENI
Du! Kuna mitanzania mijinga sana, sijui inatumia nini kufikiri. Kwani simu ikiwa na mawasiliano na miamala ndio unakuwa gaidi?? Wewe simu yako haina mawasiliana na miamala?? Kama ipo wewe ni gaidi??
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Upinzani wa Tanzania ni kama mwanamke aliyeolewa na ccm ndio mme, siku akikorofishwa anaondoka anachukua nguo zake.
Siku mwanaume akimfuata kwao anarudi wanaanza maisha upya.
Wafuasi wa upinzani ni kama watoto wa huyo mama wao ni kushangilia hawajui hata chanzo cha ugomvi.
 
simu yako ina mawasiliano yangu?
Umeshawahi kunitumia meseji?
vipi ukikuta meseji umenitumia,simu umenipigia wakati haujawahi kunipigia.
Unaweza kutolea maelezo?
MSIWE WAPUMBAVU MNA AKILI ZITUMIENI
Mwezi mchanga🤚🤚🤚
 
Kachambe ukalale / ukalalwe Pumbavu.
Ukakalwe wewe jinga wewe. Kuwa wewe, hebu elimika. Usijione we ni jiniasi punguani wewe. Sitaki kutukania wazazi walio kuleta duniani ila baba yako siku akijua Id yako jf hapa atajuta kukojolea ndani
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Utalaaniwa na chuki zako. Kwani wapinzani ndugu yangu ndio wanakulisha??

Chuki zako kanywe sumu sasa.
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Mwaka huu mtakonda mpaka mkome. Asubuhi za uso jioni za ugoko.

Mlifurahi mbowe akiteswa sasa ametoka.

Mwamba alishasema hata pigia mtu magoti. Hatimaye wameifuta wenyewe.

Kama umekasirika ndugu ni ujinga wako tu unakutuma
 
Juha ni yule asiyejua kusamehe na mtu mwenye visasi, Juha ni yule asiyejua kwamba kukaa mezani ndiyo njia pekee ya kutatua matatizo kati ya pande mbili zinazosigana hasa haya ya kisiasa.
Kumbuka kuna maelfu wafuasi wa CDM wanasota magelezani kwa mambo haya ya ki siasa, hao nao je bila maridhiano hujui kwamba wataendelea kusota?

Wewe ulitaka Mbowe ama Lissu akatae wito wa IKULU? Afu kitokee kipi?

Kumbe huna maana kiasi hiki ndugu.
Haya maccm yamefura🤣🤣🤣🤣
 
Wakriso tumefundiswha akupigaye shavu la julia mpe na kushoto,

We Dogo una Tabia za kihayawani
Kusamehe ni ibaada takatifu
Hao ni watu duni ndio wamejazana huko ccm.

Juzi tu wanasema eti chadema hawataki Mbowe atoke🤣🤣🤣
 
Genta wafalme huwa hawajisaidii hadharani, Amemwita akamwambia tafadhari nisamehe ndugu yangu tugange yajayo,inapaswa na imeandikwa ni lazima wachache waumie ili waoga na wanafiki wapate kuokoka,Mbowe amepitia ya mashujaa kutoweka KISASI ili kazi ya kudai katiba iendelee.
na harafu ni lini wewe uliwahi kuitakia mema kambi ya upinzani tena cha kushangaza mataga mnaonekana kuchukizwa na hili jambo maajabu.
Watu wa blue conner siyo rahisi ukawachonganisha kitoto hivyo.
Mfano hapa kakosea wapi FAM? Huyo Genta nilikwisha mng'amua kuwa ni mtu muhuni na anayedhani ana akili sana kumbe boga tuu!
20220306_005423.jpg
 
Jana siku ya tarehe 4/03/2022 DPP Kupitia kifungu cha 91 Cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai aliamua kufuta mashitaka ya Ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu.

Kwa kupitia kifungu hicho tafsiri yake ni kwamba pale ambapo itaonekana inafaa DPP anaweza yarejesha mashitaka hayo.

Hiyo inamaana kwamba kesi iliondolewa mahakamani bila ya Mbowe kutoa utetezi wake mahakamani na hatimaye mahakama kutoa maamuzi kuhusiana na tuhuma hizo.

Kwakua hakuna hukumu yeyote ile ya mahakama iliyosema kwamba Mbowe hajafanya alichotuhumiwa nacho au kakifanya na kwakua bado DPP anaweza kurejesha tena kesi mahakamani basi kiufundi tunasema kwamba tuhuma dhidi ya Mbowe zinabakia pale pale.

Kwakua tuhuma bado zipo kwakua hakuna rekodi ya mahakama inayomsafisha Mbowe na tuhuma dhidi yake basi kwa manufaa mapana ya Chadema na Taifa kwa ujumla inampasa Mbowe kujiuzulu nafasi yake ya Uwenyekiti na kukaa mbali na siasa za kiushindani.

Inampasa Mbowe kujiuzulu kwani anakosa sifa muhimu ya uadilifu kwani tuhuma dhidi yake ni kubwa na hatarishi kwa ustawi wa Taifa lolote na haitakuwa afya kwa chama kuongozwa na kiongozi ambaye anaishi na tuhuma hizo.

#free Sabaya
Hivi hiki kipaji cha ujinga ulicho nacho kiko katika kundi gani?
Kuzaliwa nacho, kurithi, kuiga au kufuata mkumbo?
 
Genta wafalme huwa hawajisaidii hadharani, Amemwita akamwambia tafadhari nisamehe ndugu yangu tugange yajayo,inapaswa na imeandikwa ni lazima wachache waumie ili waoga na wanafiki wapate kuokoka,Mbowe amepitia ya mashujaa kutoweka KISASI ili kazi ya kudai katiba iendelee.
na harafu ni lini wewe uliwahi kuitakia mema kambi ya upinzani tena cha kushangaza mataga mnaonekana kuchukizwa na hili jambo maajabu.
Watu wa blue conner siyo rahisi ukawachonganisha kitoto hivyo.
Genta amejionesha ni kati ya ile miafrika ya hovyo yenye roho mbaya sana.

MA failed Mataga Chief
 
Maslahi ya nchi iwe tu kutoka gerezani,mbona mwanzo aliandikiwa barua na Chadema akapuuza? iweje leo zigo limekua kubwa ndo ukimbinzane kukutana ,sikatai kukutana ila sio katika wakati huu, sisi ndo tunafanya Rais onekana Kama mfalme nje ya katiba,

Kwani tungesema atupe mda FAM Apumzike ,wangemburuza FAM Kwenda Ikulu ? TUKIKOSEA TUJISAHIHISHE, sio tetea ujinga hata pale panapoonekana hatujafanya sawa
Mkuu umekuwa ukifatilia masingira ya kesi kweli?

Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni. Rais Samia kwa kujua au kutokujua alidanganywa. Urais uone hivyo hivyo tu. Unaweza kukuta wala Samia hakuhusika kabisa na kesi mbowe licha ya matamko yake. Ni kweli ni Rais usisahau yule ni mwanamke pia.

Mbowe kwenda Ikulu sioni kosa kwani Ameshinda. Alisema hatatoka kwa kumpigia magoti mtu bora afie jela na hata uza haki kwa kipande cha mkate.

Sasa basi kama Rais ameomba waonane( kumbuka) sisi ndio tunaona ni ghafla lakini hili jambo lilipangwa kama Tundu Lissu alivyokutana naye Belgium
 
Tatizo vitu vimefatana kwa karibu Sana, viongozi wa dini +dpp + ikulu....haya Mambo yangepokezana angalau miezi miwili miwili ingekuwa afadhari Sana.

Sasa hivi Lisu kabeba point 3 za bure kabisa.

Hakuna Cha maridhiano Wala Nini Kuna zimwi kubwa Sana nyuma ya haya mambo ambalo Samia wenu analiogopa.
Tunashukuru Akili za Lissu aliongea na Rais na papo hapo akatoka kusema wazi walichoongea. Sasa tunaona Hadidu za rejea moja baada ya jingine kikitimia.
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Dawa ya makasiliko kunywa mkojo wa nguruwe aliyejifungua muda mfupi utakuja kunishukuru
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Pole!
 
Mi siku zote najua wewe ni mwanaume sa mbona commenters wanakuita mdada?
 
Back
Top Bottom