Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du! Kuna mitanzania mijinga sana, sijui inatumia nini kufikiri. Kwani simu ikiwa na mawasiliano na miamala ndio unakuwa gaidi?? Wewe simu yako haina mawasiliana na miamala?? Kama ipo wewe ni gaidi??
Upinzani wa Tanzania ni kama mwanamke aliyeolewa na ccm ndio mme, siku akikorofishwa anaondoka anachukua nguo zake.1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Mwezi mchanga🤚🤚🤚simu yako ina mawasiliano yangu?
Umeshawahi kunitumia meseji?
vipi ukikuta meseji umenitumia,simu umenipigia wakati haujawahi kunipigia.
Unaweza kutolea maelezo?
MSIWE WAPUMBAVU MNA AKILI ZITUMIENI
Ukakalwe wewe jinga wewe. Kuwa wewe, hebu elimika. Usijione we ni jiniasi punguani wewe. Sitaki kutukania wazazi walio kuleta duniani ila baba yako siku akijua Id yako jf hapa atajuta kukojolea ndaniKachambe ukalale / ukalalwe Pumbavu.
Utalaaniwa na chuki zako. Kwani wapinzani ndugu yangu ndio wanakulisha??1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Mwaka huu mtakonda mpaka mkome. Asubuhi za uso jioni za ugoko.1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Haya maccm yamefura🤣🤣🤣🤣Juha ni yule asiyejua kusamehe na mtu mwenye visasi, Juha ni yule asiyejua kwamba kukaa mezani ndiyo njia pekee ya kutatua matatizo kati ya pande mbili zinazosigana hasa haya ya kisiasa.
Kumbuka kuna maelfu wafuasi wa CDM wanasota magelezani kwa mambo haya ya ki siasa, hao nao je bila maridhiano hujui kwamba wataendelea kusota?
Wewe ulitaka Mbowe ama Lissu akatae wito wa IKULU? Afu kitokee kipi?
Kumbe huna maana kiasi hiki ndugu.
Watu duni mmechukia sana Mbowe kutoka gerezani🤣🤣🤣Atakuwa kaambiwa nenda kajionyeshe mbele za camera kwa lazima la sivyo .....
Hakuna opposition bali njaa tu
Hao ni watu duni ndio wamejazana huko ccm.Wakriso tumefundiswha akupigaye shavu la julia mpe na kushoto,
We Dogo una Tabia za kihayawani
Kusamehe ni ibaada takatifu
Watu duni mmechukia sana Mbowe kutoka gerezani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mfano hapa kakosea wapi FAM? Huyo Genta nilikwisha mng'amua kuwa ni mtu muhuni na anayedhani ana akili sana kumbe boga tuu!Genta wafalme huwa hawajisaidii hadharani, Amemwita akamwambia tafadhari nisamehe ndugu yangu tugange yajayo,inapaswa na imeandikwa ni lazima wachache waumie ili waoga na wanafiki wapate kuokoka,Mbowe amepitia ya mashujaa kutoweka KISASI ili kazi ya kudai katiba iendelee.
na harafu ni lini wewe uliwahi kuitakia mema kambi ya upinzani tena cha kushangaza mataga mnaonekana kuchukizwa na hili jambo maajabu.
Watu wa blue conner siyo rahisi ukawachonganisha kitoto hivyo.
Hivi hiki kipaji cha ujinga ulicho nacho kiko katika kundi gani?Jana siku ya tarehe 4/03/2022 DPP Kupitia kifungu cha 91 Cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai aliamua kufuta mashitaka ya Ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu.
Kwa kupitia kifungu hicho tafsiri yake ni kwamba pale ambapo itaonekana inafaa DPP anaweza yarejesha mashitaka hayo.
Hiyo inamaana kwamba kesi iliondolewa mahakamani bila ya Mbowe kutoa utetezi wake mahakamani na hatimaye mahakama kutoa maamuzi kuhusiana na tuhuma hizo.
Kwakua hakuna hukumu yeyote ile ya mahakama iliyosema kwamba Mbowe hajafanya alichotuhumiwa nacho au kakifanya na kwakua bado DPP anaweza kurejesha tena kesi mahakamani basi kiufundi tunasema kwamba tuhuma dhidi ya Mbowe zinabakia pale pale.
Kwakua tuhuma bado zipo kwakua hakuna rekodi ya mahakama inayomsafisha Mbowe na tuhuma dhidi yake basi kwa manufaa mapana ya Chadema na Taifa kwa ujumla inampasa Mbowe kujiuzulu nafasi yake ya Uwenyekiti na kukaa mbali na siasa za kiushindani.
Inampasa Mbowe kujiuzulu kwani anakosa sifa muhimu ya uadilifu kwani tuhuma dhidi yake ni kubwa na hatarishi kwa ustawi wa Taifa lolote na haitakuwa afya kwa chama kuongozwa na kiongozi ambaye anaishi na tuhuma hizo.
#free Sabaya
Genta amejionesha ni kati ya ile miafrika ya hovyo yenye roho mbaya sana.Genta wafalme huwa hawajisaidii hadharani, Amemwita akamwambia tafadhari nisamehe ndugu yangu tugange yajayo,inapaswa na imeandikwa ni lazima wachache waumie ili waoga na wanafiki wapate kuokoka,Mbowe amepitia ya mashujaa kutoweka KISASI ili kazi ya kudai katiba iendelee.
na harafu ni lini wewe uliwahi kuitakia mema kambi ya upinzani tena cha kushangaza mataga mnaonekana kuchukizwa na hili jambo maajabu.
Watu wa blue conner siyo rahisi ukawachonganisha kitoto hivyo.
Mkuu umekuwa ukifatilia masingira ya kesi kweli?Maslahi ya nchi iwe tu kutoka gerezani,mbona mwanzo aliandikiwa barua na Chadema akapuuza? iweje leo zigo limekua kubwa ndo ukimbinzane kukutana ,sikatai kukutana ila sio katika wakati huu, sisi ndo tunafanya Rais onekana Kama mfalme nje ya katiba,
Kwani tungesema atupe mda FAM Apumzike ,wangemburuza FAM Kwenda Ikulu ? TUKIKOSEA TUJISAHIHISHE, sio tetea ujinga hata pale panapoonekana hatujafanya sawa
Tunashukuru Akili za Lissu aliongea na Rais na papo hapo akatoka kusema wazi walichoongea. Sasa tunaona Hadidu za rejea moja baada ya jingine kikitimia.Tatizo vitu vimefatana kwa karibu Sana, viongozi wa dini +dpp + ikulu....haya Mambo yangepokezana angalau miezi miwili miwili ingekuwa afadhari Sana.
Sasa hivi Lisu kabeba point 3 za bure kabisa.
Hakuna Cha maridhiano Wala Nini Kuna zimwi kubwa Sana nyuma ya haya mambo ambalo Samia wenu analiogopa.
Dawa ya makasiliko kunywa mkojo wa nguruwe aliyejifungua muda mfupi utakuja kunishukuru1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Pole!1. Ni Majuha

😁😁Hakuna tusikrush KILA kitu mtoa mada ni CCM ila andiko lake Kuna vitu vinafikirisha na kutia hasira sana