Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Point sn mkuuJuha ni yule asiyejua kusamehe na mtu mwenye visasi, Juha ni yule asiyejua kwamba kukaa mezani ndiyo njia pekee ya kutatua matatizo kati ya pande mbili zinazosigana hasa haya ya kisiasa.
Kumbuka kuna maelfu wafuasi wa CDM wanasota magelezani kwa mambo haya ya ki siasa, hao nao je bila maridhiano hujui kwamba wataendelea kusota?
Wewe ulitaka Mbowe ama Lissu akatae wito wa IKULU? Afu kitokee kipi?
Kumbe huna maana kiasi hiki ndugu.
Najua wewe ni CCM, ila hapa umeongea ambalo limenigusa Sana, why FAM Kwenda Kutana na huyu mama KWa haraka,shida nini, nitawaelewa chama changu Chadema wakija na maelezo nyoofu,1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Hakuna tusikrush KILA kitu mtoa mada ni CCM ila andiko lake Kuna vitu vinafikirisha na kutia hasira sanaHuna impact..Wanachukiwa na serikal na bado wanadunda ndio uje uwe wewe!!?
Tatizo vitu vimefatana kwa karibu Sana, viongozi wa dini +dpp + ikulu....haya Mambo yangepokezana angalau miezi miwili miwili ingekuwa afadhari Sana.Kwamba Mbowe ameenda Ikulu kupewa hela?
Una umri gani?Kama mtu mzima basi utajua siasa za Mbowe ni za namna gani!
Siku zote Mbowe anaamini katika maridhiano na umoja wa kitaifa!Hii Haina maana Samia hatachapwa kwenye majukwaa ya kisiasa!Ukosoaji utabaki palepale na madai ya Katiba mpya lazima yaendelee!
Why kutoka gerezani na kuitwa, si walisema hawezi fika mahakamani anaumwa, Sasa mgonjwa anafikishwaje au karibishwa Ikulu ajapumzika? Yani Serikali ijivue nguo yenyewe alafu utumike kuivalisha nguo Washauri wa FAM na Chama hapa na KWa Hili sikubaliani nanyi,Mbowe hana uwezo wa kujipeleka Ikulu kwani aliombwa na Rais kama alivyosema ili kubadilisha mawazo lakini kikubwa ni kuziondoa tofauti ktk jamii yakuwa Rais yuko pamoja na Mbowe.
Kwani sijauona ubaya wa Mbowe au Rais kwa kukutana tukumbuke Mbowe aliomba mangumzo na Magufuli siku ya Uhuru ila haikuwezekana akaja tena kuomba mazungumzo na Mama Samia lakini hakupewa nafasi.
Na jana baada ya kutoka gerezani alialikwa na akapewa muda kuongea na alichoongea tulimsikia kwa hiyo tuishi kwa kuyaweka sawa yale ambayo hayako sawa.
Mbowe sio mtu kwanza chadema kushikiliwa gerezani mfano Lwakatare yaani wako wengi ndo maana tunasikia DPP akizifuta baadhi ya kesi.
Ndugu uanaccm unizui kuwaonea huruma waliokutana na haya madhila.
Mbowe na Chadema mmeonyesha ukomavu wa hali ya juu sana.
Hongereni sana
Kongole kwa kuandika points tupu ndugu Chaliifrancisco .Visasi vitalisaidia nini taifa? Au wapinzani watafaidika na nini kwa visasi kama sio kuendelea kuumia?
Ni heri ujifanye mjinga lakini una malengo na mipango. Mda mwingine inabidi ujipime unaepambana nae anauwezo gani unaokuzidi.
Nelson Mandela alifungwa jela miaka 27 na hata baada ya kuachiwa na kuwa rais pale RSA hakuwahi kulipiza kisasi hata siku moja wakati uwezo alikuwa nao.
Wewe jamaa siku zote nilikuonaga ni mtu mwenye akili na niliwashangaa waliokuita POPOMA lakini na mimi leo nime confirm kuwa sio POPOMA tu bali pia ni POYOYO.
Watu ni Mimi na wengine,na imani ni watu, ila imani Iyo ndani ya watu usipoeshim inaweza Toweka ,ndo maana watu wanabadilisha imani zao TOKA dini MOJA kwenda nyingine ,kwamba ufanye fyongo kisa Chadema imani,Nenda kawaalike na ndugu zako wote muhame na ukoo wako wote muhame alafu uwone kama chadema itatetereka
Ikiwa hata yule mzee wa kikongo yalimshinda akaamua kurudi kwao na msafara wake, lakini bado chadema ikabaki kuwa imara sembuse wewe!!!
Chadema ni imani ya watu. Nitumaini la wa Tanzania wanao amini katka siasa shindani na fikira mbadara
Kweli hapo Lumumba ni vilaza wa kutupwa. Ujumbe huu huu mmoja unasambazwa kwenye makundi yenu yote mpaka ya madereva wetu,hii maana yake hakuna mtu anaweza kutunga/kuandika propaganda nyingine,na maana yake ninyi nyote ni mavilaza ya kufa mtu.Jana siku ya tarehe 4/03/2022 DPP Kupitia kifungu cha 91 Cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai aliamua kufuta mashitaka ya Ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu.
Kwa kupitia kifungu hicho tafsiri yake ni kwamba pale ambapo itaonekana inafaa DPP anaweza yarejesha mashitaka hayo.
Hiyo inamaana kwamba kesi iliondolewa mahakamani bila ya Mbowe kutoa utetezi wake mahakamani na hatimaye mahakama kutoa maamuzi kuhusiana na tuhuma hizo.
Kwakua hakuna hukumu yeyote ile ya mahakama iliyosema kwamba Mbowe hajafanya alichotuhumiwa nacho au kakifanya na kwakua bado DPP anaweza kurejesha tena kesi mahakamani basi kiufundi tunasema kwamba tuhuma dhidi ya Mbowe zinabakia pale pale.
Kwakua tuhuma bado zipo kwakua hakuna rekodi ya mahakama inayomsafisha Mbowe na tuhuma dhidi yake basi kwa manufaa mapana ya Chadema na Taifa kwa ujumla inampasa Mbowe kujiuzulu nafasi yake ya Uwenyekiti na kukaa mbali na siasa za kiushindani.
Inampasa Mbowe kujiuzulu kwani anakosa sifa muhimu ya uadilifu kwani tuhuma dhidi yake ni kubwa na hatarishi kwa ustawi wa Taifa lolote na haitakuwa afya kwa chama kuongozwa na kiongozi ambaye anaishi na tuhuma hizo.
#free Sabaya
Na kwa kuongezea Siasa sio uadui, ila waganga njaa waliopo huku mitaani ndio hudhani siasa ni uadui !!Waingereza wana msemo “ To evade a blow is not cowardice” yaani kukwepa ngumi unapopigana sio woga bali ni umahiri!
Lakini mkuu huoni Mbowe kwa nafasi hiyo ya kuzungumza na Rais ni nafasi ya kipekee kwa watu wote?Binafsi sikupenda Mbowe kwenda Ikulu mara baada ya kutoka gerezani. Hata hivyo, hizo sifa zote hata wewe zinakuhusu hasa hiyo ya unafiki.
ACHA matusi ya ajabu, unasamehe wakati GANI nalo ni swala muhim,Mimi ni mwanachadema ila KWa Hili Washauri wa chama hawajanitendea haki, na wajamtendea haki FAM na Chama, siasa za kistarabu Zina wakati wake pale watawala wanapozitaka, ivyo haukua mda mhafaka FAM kufanya hivyo, yani hajazungumza hata na watanzania ,wapenda haki,Wanachama anakwenda Ikulu KWa watesi wake na Chama ,Acha upagani Wewe,,Ujui na ni mbumbu Mkubwa,, Duniani Kote mashujaa husamehe na kusahau Wala hawaweki visasi..Pusi kabisa Wewe.
Kwanza nitambue uhuru wako wa kutoa mawazo na pili nitaheshimu mawazo yako.Najua wewe ni CCM, ila hapa umeongea ambalo limenigusa Sana, why FAM Kwenda Kutana na huyu mama KWa haraka,shida nini, nitawaelewa chama changu Chadema wakija na maelezo nyoofu,
Binafsi nimepata hasira Sana, nilitegemea KWANZA kabla ya Jambo lolote FAM kuwa nje ya nchi kucheck afya yake, hii nini Sasa lipi chadema mnataka TOKA KWa CCM na Serikali yake , Hawa nikwenda nao mchakamchaka
Genta wafalme huwa hawajisaidii hadharani, Amemwita akamwambia tafadhari nisamehe ndugu yangu tugange yajayo,inapaswa na imeandikwa ni lazima wachache waumie ili waoga na wanafiki wapate kuokoka,Mbowe amepitia ya mashujaa kutoweka KISASI ili kazi ya kudai katiba iendelee.1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Mimi nazungumzia upande wa Mbowe kuitikia wito wa Ikulu!Tatizo vitu vimefatana kwa karibu Sana, viongozi wa dini +dpp + ikulu....haya Mambo yangepokezana angalau miezi miwili miwili ingekuwa afadhari Sana.
Sasa hivi Lisu kabeba point 3 za bure kabisa.
Hakuna Cha maridhiano Wala Nini Kuna zimwi kubwa Sana nyuma ya haya mambo ambalo Samia wenu analiogopa.
1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Maslahi ya nchi iwe tu kutoka gerezani,mbona mwanzo aliandikiwa barua na Chadema akapuuza? iweje leo zigo limekua kubwa ndo ukimbinzane kukutana ,sikatai kukutana ila sio katika wakati huu, sisi ndo tunafanya Rais onekana Kama mfalme nje ya katiba,Siasa sio uadui.watu wachache wasioielewa siasa ndio wanaofikiria siasa ni uadui.Ata hivyo kwa maisha haya ya kibongo lazima tukubali kua rais ni mtu mkubwa.kwahiyo ni sawa mbowe kwenda kuonana na rais kwa ajili yakutoa mawazo yake kwa ajili ya maslahi ya nchi.
Umesema ukweli kabisa mke wangu. Njoo sasa ukalie gegedo hili
Kwanza ulitabiri kwamba Mbowe atafungwa tena atapigwa mvua nyingi,haya ametoka sasa bado unaumia tena.1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Jana siku ya tarehe 4/03/2022 DPP Kupitia kifungu cha 91 Cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai aliamua kufuta mashitaka ya Ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu.