Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

Juha ni yule asiyejua kusamehe na mtu mwenye visasi, Juha ni yule asiyejua kwamba kukaa mezani ndiyo njia pekee ya kutatua matatizo kati ya pande mbili zinazosigana hasa haya ya kisiasa.
Kumbuka kuna maelfu wafuasi wa CDM wanasota magelezani kwa mambo haya ya ki siasa, hao nao je bila maridhiano hujui kwamba wataendelea kusota?

Wewe ulitaka Mbowe ama Lissu akatae wito wa IKULU? Afu kitokee kipi?

Kumbe huna maana kiasi hiki ndugu.
Point sn mkuu
 
Mnaochukulia serious siasa za bongo mnapata shida sana, mimi mbona naona kawaida tu.
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Najua wewe ni CCM, ila hapa umeongea ambalo limenigusa Sana, why FAM Kwenda Kutana na huyu mama KWa haraka,shida nini, nitawaelewa chama changu Chadema wakija na maelezo nyoofu,

Binafsi nimepata hasira Sana, nilitegemea KWANZA kabla ya Jambo lolote FAM kuwa nje ya nchi kucheck afya yake, hii nini Sasa lipi chadema mnataka TOKA KWa CCM na Serikali yake , Hawa nikwenda nao mchakamchaka
 
Kwamba Mbowe ameenda Ikulu kupewa hela?
Una umri gani?Kama mtu mzima basi utajua siasa za Mbowe ni za namna gani!
Siku zote Mbowe anaamini katika maridhiano na umoja wa kitaifa!Hii Haina maana Samia hatachapwa kwenye majukwaa ya kisiasa!Ukosoaji utabaki palepale na madai ya Katiba mpya lazima yaendelee!
Tatizo vitu vimefatana kwa karibu Sana, viongozi wa dini +dpp + ikulu....haya Mambo yangepokezana angalau miezi miwili miwili ingekuwa afadhari Sana.

Sasa hivi Lisu kabeba point 3 za bure kabisa.

Hakuna Cha maridhiano Wala Nini Kuna zimwi kubwa Sana nyuma ya haya mambo ambalo Samia wenu analiogopa.
 
Mbowe hana uwezo wa kujipeleka Ikulu kwani aliombwa na Rais kama alivyosema ili kubadilisha mawazo lakini kikubwa ni kuziondoa tofauti ktk jamii yakuwa Rais yuko pamoja na Mbowe.
Kwani sijauona ubaya wa Mbowe au Rais kwa kukutana tukumbuke Mbowe aliomba mangumzo na Magufuli siku ya Uhuru ila haikuwezekana akaja tena kuomba mazungumzo na Mama Samia lakini hakupewa nafasi.
Na jana baada ya kutoka gerezani alialikwa na akapewa muda kuongea na alichoongea tulimsikia kwa hiyo tuishi kwa kuyaweka sawa yale ambayo hayako sawa.
Mbowe sio mtu kwanza chadema kushikiliwa gerezani mfano Lwakatare yaani wako wengi ndo maana tunasikia DPP akizifuta baadhi ya kesi.
Ndugu uanaccm unizui kuwaonea huruma waliokutana na haya madhila.
Mbowe na Chadema mmeonyesha ukomavu wa hali ya juu sana.
Hongereni sana
Why kutoka gerezani na kuitwa, si walisema hawezi fika mahakamani anaumwa, Sasa mgonjwa anafikishwaje au karibishwa Ikulu ajapumzika? Yani Serikali ijivue nguo yenyewe alafu utumike kuivalisha nguo Washauri wa FAM na Chama hapa na KWa Hili sikubaliani nanyi,

Ilikua FAM Kwenda huko maongezi SSH na Lissu yawe yamekamilika, angalau wamerundi nchini na mkafanye kikao mfano ni kile Cha Viongozi wa CHADEMA na kikwete , Mambo ya ajabu Sana Chadema tumefanya kwenye hili
 
Visasi vitalisaidia nini taifa? Au wapinzani watafaidika na nini kwa visasi kama sio kuendelea kuumia?

Ni heri ujifanye mjinga lakini una malengo na mipango. Mda mwingine inabidi ujipime unaepambana nae anauwezo gani unaokuzidi.

Nelson Mandela alifungwa jela miaka 27 na hata baada ya kuachiwa na kuwa rais pale RSA hakuwahi kulipiza kisasi hata siku moja wakati uwezo alikuwa nao.

Wewe jamaa siku zote nilikuonaga ni mtu mwenye akili na niliwashangaa waliokuita POPOMA lakini na mimi leo nime confirm kuwa sio POPOMA tu bali pia ni POYOYO.
Kongole kwa kuandika points tupu ndugu Chaliifrancisco .
Naomba mods wafunge mjadala huu kwani huyo popoma banyamulenge ameshajibiwa vyema hapo juu.
 
Nenda kawaalike na ndugu zako wote muhame na ukoo wako wote muhame alafu uwone kama chadema itatetereka

Ikiwa hata yule mzee wa kikongo yalimshinda akaamua kurudi kwao na msafara wake, lakini bado chadema ikabaki kuwa imara sembuse wewe!!!

Chadema ni imani ya watu. Nitumaini la wa Tanzania wanao amini katka siasa shindani na fikira mbadara
Watu ni Mimi na wengine,na imani ni watu, ila imani Iyo ndani ya watu usipoeshim inaweza Toweka ,ndo maana watu wanabadilisha imani zao TOKA dini MOJA kwenda nyingine ,kwamba ufanye fyongo kisa Chadema imani,
Tangu lini adui wako akawa na huruma na wewe katika mazingira yanayomlazimisha FANYA hivyo

Mbowe bila mbinyo wa kidunia nawambieni ,SSH alikua tiyari afungwe , Sasa leo Iyo huruma inatoka wapi?

Tuache jitoa ufaham , alichokifanya jana SSH alishindwa vipi kifanya mwanzo mpaka FAM yakampata yote, na watu wanamshauri aende ,Mambo ya kijinga kabisa
 
K
Jana siku ya tarehe 4/03/2022 DPP Kupitia kifungu cha 91 Cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai aliamua kufuta mashitaka ya Ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu.

Kwa kupitia kifungu hicho tafsiri yake ni kwamba pale ambapo itaonekana inafaa DPP anaweza yarejesha mashitaka hayo.

Hiyo inamaana kwamba kesi iliondolewa mahakamani bila ya Mbowe kutoa utetezi wake mahakamani na hatimaye mahakama kutoa maamuzi kuhusiana na tuhuma hizo.

Kwakua hakuna hukumu yeyote ile ya mahakama iliyosema kwamba Mbowe hajafanya alichotuhumiwa nacho au kakifanya na kwakua bado DPP anaweza kurejesha tena kesi mahakamani basi kiufundi tunasema kwamba tuhuma dhidi ya Mbowe zinabakia pale pale.

Kwakua tuhuma bado zipo kwakua hakuna rekodi ya mahakama inayomsafisha Mbowe na tuhuma dhidi yake basi kwa manufaa mapana ya Chadema na Taifa kwa ujumla inampasa Mbowe kujiuzulu nafasi yake ya Uwenyekiti na kukaa mbali na siasa za kiushindani.

Inampasa Mbowe kujiuzulu kwani anakosa sifa muhimu ya uadilifu kwani tuhuma dhidi yake ni kubwa na hatarishi kwa ustawi wa Taifa lolote na haitakuwa afya kwa chama kuongozwa na kiongozi ambaye anaishi na tuhuma hizo.

#free Sabaya
Kweli hapo Lumumba ni vilaza wa kutupwa. Ujumbe huu huu mmoja unasambazwa kwenye makundi yenu yote mpaka ya madereva wetu,hii maana yake hakuna mtu anaweza kutunga/kuandika propaganda nyingine,na maana yake ninyi nyote ni mavilaza ya kufa mtu.
Poleni sana.
 
Waingereza wana msemo “ To evade a blow is not cowardice” yaani kukwepa ngumi unapopigana sio woga bali ni umahiri!
Na kwa kuongezea Siasa sio uadui, ila waganga njaa waliopo huku mitaani ndio hudhani siasa ni uadui !!
 
Binafsi sikupenda Mbowe kwenda Ikulu mara baada ya kutoka gerezani. Hata hivyo, hizo sifa zote hata wewe zinakuhusu hasa hiyo ya unafiki.
Lakini mkuu huoni Mbowe kwa nafasi hiyo ya kuzungumza na Rais ni nafasi ya kipekee kwa watu wote?
Mbowe amekubali mateso yote haya sio kwa kujipigania mwenyewe bali kwa ajili ya watu, angekataa ungekuwa ubinafsi. Na hata Mawakili wake wamesema walimshauri aitikie wito huo
 
Acha upagani Wewe,,Ujui na ni mbumbu Mkubwa,, Duniani Kote mashujaa husamehe na kusahau Wala hawaweki visasi..Pusi kabisa Wewe.
ACHA matusi ya ajabu, unasamehe wakati GANI nalo ni swala muhim,Mimi ni mwanachadema ila KWa Hili Washauri wa chama hawajanitendea haki, na wajamtendea haki FAM na Chama, siasa za kistarabu Zina wakati wake pale watawala wanapozitaka, ivyo haukua mda mhafaka FAM kufanya hivyo, yani hajazungumza hata na watanzania ,wapenda haki,Wanachama anakwenda Ikulu KWa watesi wake na Chama ,
Alafu unakuja na matusi , binafsi Mimi sio mnafiki ni CHAMA CHANGU ,Ila tumefanya ujinga mkubwa sana
 
Najua wewe ni CCM, ila hapa umeongea ambalo limenigusa Sana, why FAM Kwenda Kutana na huyu mama KWa haraka,shida nini, nitawaelewa chama changu Chadema wakija na maelezo nyoofu,

Binafsi nimepata hasira Sana, nilitegemea KWANZA kabla ya Jambo lolote FAM kuwa nje ya nchi kucheck afya yake, hii nini Sasa lipi chadema mnataka TOKA KWa CCM na Serikali yake , Hawa nikwenda nao mchakamchaka
Kwanza nitambue uhuru wako wa kutoa mawazo na pili nitaheshimu mawazo yako.

Hebu jiulize haya
1-wewe binafsi kama great thinker hujiuliz ni kwanini kesi aliyokataa dpp kuiondoa mahakamani kwa zaidi ya miez minnane imeondolewa ghafla namna hii?

2-je unaamini ni ushawishi wa viongoz wa dini tu ndo umepelekea kesi hii kufutwa baada ya gharama za UENDESHAJI WA zaidi ya miez nane? Kweli?

3-unafahamu nani alihitaji kuonana na mwenzake kati ya lisu na Samia nchini ubeligiji na kwanini SSH alienda ubeligiji.NJE YA KAMERA UNA ABC YA CAUSE NA REASON

4-Unafahamu gharama za kihistoria na kisiasa za kumfutia mashtaka mazito ya ugaidi kiongoz mwandamiz wa chama pinzani Cha siasa chenye ushawishi mkubwa kama chadema?

5-unafahamu kwanini SSH anapata mikopo kwenye kwenye taasisi za fedha duniani na kwa muda mfupi tofauti na viongoz waliopita?unajua anawapa nini au kuwaahidi nini ambacho watanguliz wake wengi walishindwa?

6-Unafahamu gharama za kuwa RAIS kwenye nchi zetu za Dunia ya tatu ambazo zaidi ya nusu ya bajeti yake inategemea ufadhili wa nchi mnazoziita mabeberu?

7-Unafahamu umuhimu wa mbowe kwenye siasa za nchi hii na siasa za kimataifa kama kiongoz wa chama Cha upinzani? Na Unafahamu ugumu ambao nchi inaupata kwa mbowe kuwa ndani kwenye diplomasia ya kimataifa

8-kwa akili ya kawaida unadhani kwanini mbowe kaenda kuonana na raisi? Mbowe kaomba kuonana na raisi au RAIS kaomba kuonana na mbowe na kwa nini iwe sasa?

Mwisho nishauri tu katika Dunia ya watu smart hakuna kitu muhimu kama unyenyekevu na proper decision making kwa kiongoz yeyote wa siasa mwenye vision.nawaheshimu wote
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Genta wafalme huwa hawajisaidii hadharani, Amemwita akamwambia tafadhari nisamehe ndugu yangu tugange yajayo,inapaswa na imeandikwa ni lazima wachache waumie ili waoga na wanafiki wapate kuokoka,Mbowe amepitia ya mashujaa kutoweka KISASI ili kazi ya kudai katiba iendelee.
na harafu ni lini wewe uliwahi kuitakia mema kambi ya upinzani tena cha kushangaza mataga mnaonekana kuchukizwa na hili jambo maajabu.
Watu wa blue conner siyo rahisi ukawachonganisha kitoto hivyo.
 
Tatizo vitu vimefatana kwa karibu Sana, viongozi wa dini +dpp + ikulu....haya Mambo yangepokezana angalau miezi miwili miwili ingekuwa afadhari Sana.

Sasa hivi Lisu kabeba point 3 za bure kabisa.

Hakuna Cha maridhiano Wala Nini Kuna zimwi kubwa Sana nyuma ya haya mambo ambalo Samia wenu analiogopa.
Mimi nazungumzia upande wa Mbowe kuitikia wito wa Ikulu!
 
Relax kwanza
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
 
Siasa sio uadui.watu wachache wasioielewa siasa ndio wanaofikiria siasa ni uadui.Ata hivyo kwa maisha haya ya kibongo lazima tukubali kua rais ni mtu mkubwa.kwahiyo ni sawa mbowe kwenda kuonana na rais kwa ajili yakutoa mawazo yake kwa ajili ya maslahi ya nchi.
Maslahi ya nchi iwe tu kutoka gerezani,mbona mwanzo aliandikiwa barua na Chadema akapuuza? iweje leo zigo limekua kubwa ndo ukimbinzane kukutana ,sikatai kukutana ila sio katika wakati huu, sisi ndo tunafanya Rais onekana Kama mfalme nje ya katiba,

Kwani tungesema atupe mda FAM Apumzike ,wangemburuza FAM Kwenda Ikulu ? TUKIKOSEA TUJISAHIHISHE, sio tetea ujinga hata pale panapoonekana hatujafanya sawa
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Kwanza ulitabiri kwamba Mbowe atafungwa tena atapigwa mvua nyingi,haya ametoka sasa bado unaumia tena.
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu

Back
Top Bottom