Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Point sn mkuuJuha ni yule asiyejua kusamehe na mtu mwenye visasi, Juha ni yule asiyejua kwamba kukaa mezani ndiyo njia pekee ya kutatua matatizo kati ya pande mbili zinazosigana hasa haya ya kisiasa.
Kumbuka kuna maelfu wafuasi wa CDM wanasota magelezani kwa mambo haya ya ki siasa, hao nao je bila maridhiano hujui kwamba wataendelea kusota?
Wewe ulitaka Mbowe ama Lissu akatae wito wa IKULU? Afu kitokee kipi?
Kumbe huna maana kiasi hiki ndugu.