Kuanzia leo sintosaidia mtu humu

duu dada vp mbn nyuzi zako za kulalama tu wamekufanyia nini?
 
dada Unique Flower ni yale yale maruhani kweli au haya maruhani ya sisi kina baba. samahani lkn.
 
Yes , Kwa sababu fadhila siku zote hutolewa kwa fedheha unakuta mtu anauhitaji wakutokwa na tatizo halafu akishatokwa naamerudishwa kazini benki unasoma numbers anakuja humu kwa I'd ingine ananipondea
Endelea kutenda mema usitegemee binadamu kukurejesha fadhila ni hilo tu ...
 
Acha ujinga wako
 
Majini sijui shetani ,pepo fix tupuuu.
 
Hongera Kwa Tangazo bora la biashara,walipe jeifu kodi
 
Wasaidie wenye shukrani basi. Halaf Kwani unawasaidia au ni biashara unalipwa kwa kutoa huduma?
Unajua humu ndio maana sijajisumbua kuwa na mtu humu mmechanganyikiwa asilimia 55% na pia mnajiona na hakuna kitu mnastress kama zotena mnagongea Milo Kwa maza mpaka naleo
 
Pole sana Unique
Naona huu uzi wa 2, umeandka umechafukwa na roho nahs kunasabab ndan yake.
Uzur wake ukiangalia ata mtiririko wa comment za baadh ya wa2, inaonysha waz baadh yao wnyw wanajshtukia na kujshuku uchawi.😎
 
Pole sana Unique
Naona huu uzi wa 2, umeandka umechafukwa na roho nahs kunasabab ndan yake.
Uzur wake ukiangalia ata mtiririko wa comment za baadh ya wa2, inaonysha waz baadh yao wnyw wanajshtukia na kujshuku uchawi.😎
Aliyenitukana humu ni demu naninamjua na akizani nipo na mtu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…