technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kwahiyo pikipiki ni vyombo vya kisasa visivyochafua Hali ya hewa
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Huku maumivu mzee wakitutolea bodaboda wanakuwa wametuvunja miguu manake ndio kitu pekee reliable na fast kuwahi appointment zetuSipo huko mkuu ila ni rai tu jinsi tunavyoona wengine wanavyopambana kutafuta hela
Mimi huku niliko mjini kati naenda na tube mzee
Sio kuwai kuamka unaweza kuwa na emergency any time sio lazima kazi!!!Uwai kuamka sasa
Hii ndilo tatizo kubwa sana na utawala wa Tanzania. Na hasa lilizidi wakati wa Magufuli. Nchi inaongozwa bila organisation yoyote. Ni matamko na usanii wa kujiweka mbele mbele kwenye social media ili ionekane viongozi ni wachapakazi kumbe ni maigizo tu.Hizi Sheria huwa zinapitishwa na taasisi/vikao gani?
Hakuna masikini anayemudu kuishi mjini kama posta.baada ua hapo,nyumba za masikini ziondoke.
Unajua wakati Corona inaingia na mkuu kabisa akafumba macho na kukataa kuwa ni propaganda za wazungu ili kukwepa lock-down, kuna kauli alitoa ndugayi na ilikuwa ya kiungwana kuzidi visingizio vingine vya 'tuchape kazi'.kwa hii miji yetu ambayo karibu 70% ya wakazi ni maskini sijui kama maamuzi hayo yana afya.
Kuchelewa ni jambo lako binafsi.Upuuzi
Watu wanarahisisha usafiri nyie mnaleta obstacles
Imagine nawai kikao posta na nipo magomeni na imebaki dakika 10 nitumie usafiri gani wakati hata mwendokasi hazina njia Ni Kama magari ya kawaida tu kwenye mataa!!!
Jiji linatakiwa kuwa na kila aina ya usafiri angalia mfano pale kivukoni zile pikipiki ambavyo uwa zinawawaisha watu mjini
Pale utatumia usafiri gani zaidi ya bajaji au pikipiki ili uwai town?
Huu Ni upumbavu
Vijana wangu Kama 4 pale kivukoni wanaondolewa barabarani duh hii serikali hii... another great move! Tunaomba watoe tafsiri ya "mjini" ili kuondoa utata. Kwa mfano, kuna vibajaj vinapiga routes za Mbezi hadi Manzese hizi zinakuwa zimeingia mjini? Badala ya "mjini" wangeainisha ni barabara zipi ambazo bajaji na bodaboda hazitakiwi kabisa kuonekana. Kwa mfano, Nyerere Rd. moja ya barabara muhimu nchini ndio inayoongoza kwa bodaboda; zinakera sana!
Bajaj za walemavu wameruhusiwa wabaki.Upuuzi
Watu wanarahisisha usafiri nyie mnaleta obstacles
Imagine nawai kikao posta na nipo magomeni na imebaki dakika 10 nitumie usafiri gani wakati hata mwendokasi hazina njia Ni Kama magari ya kawaida tu kwenye mataa!!!
Jiji linatakiwa kuwa na kila aina ya usafiri angalia mfano pale kivukoni zile pikipiki ambavyo uwa zinawawaisha watu mjini
Pale utatumia usafiri gani zaidi ya bajaji au pikipiki ili uwai town?
Huu Ni upumbavu
2025 waje tena wamevalishwa vi t-shirt na kapelo za green.Mpaka muujierewee weita ulanzi kilo tatu hapa...
Ukitoka mbagala uishie kwenye keep left ya darajani karibu na Puma.Unajua wakati Corona inaingia na mkuu kabisa akafumba macho na kukataa kuwa ni propaganda za wazungu ili kukwepa lock-down, kuna kauli alitoa ndugayi na ilikuwa ya kiungwana kuzidi visingizio vingine vya 'tuchape kazi'.
Yeye alisema "tukiwafungia watu wetu na umasikini huu watakufa".
Tatizo ni kuwa wenye vinafasi vya kipato kidogo wanawaangalia kama wasio na kipato/ajira kama laana ya nchi na hawajui kabisa kuwa wanalipwa mishahara ili wawatengenezee maisha mazuri. Ndio maana haya matatizo yatazidi kuongezeka badala ya kpungua. Kwani ukisema wasiingie mjini inakuwaje akiwa mfano anatoka Mbagala kwenda Tegeta, aruke angani au azungukie Kisarawe?