Kuanzia Novemba Mosi Bajaji na Bodaboda marufuku kuingia Mjini

Kuanzia Novemba Mosi Bajaji na Bodaboda marufuku kuingia Mjini

Here we go...
Nice move
CCM MBELE KWA MBELE TULIIPENDA WENYEWE TUKAITAKA WENYEW ACHA WAVIMBE WAPASUKE NA COVID 19 WAKO BUNGENI,ACHA WAISOME NAMBAEEEEE CCM MBELE KWA MBELE.Serikali ilipokuwa inahangaika kufuta vyama vya upinzani na Mbowe sasa ni gaidi,kama hamna la kujifunza jifunzeni kwa hili,yajayo yanafurahisha.
 
Upuuzi
Watu wanarahisisha usafiri nyie mnaleta obstacles

Imagine nawai kikao posta na nipo magomeni na imebaki dakika 10 nitumie usafiri gani wakati hata mwendokasi hazina njia Ni Kama magari ya kawaida tu kwenye mataa!!!

Jiji linatakiwa kuwa na kila aina ya usafiri angalia mfano pale kivukoni zile pikipiki ambavyo uwa zinawawaisha watu mjini

Pale utatumia usafiri gani zaidi ya bajaji au pikipiki ili uwai town?

Huu Ni upumbavu

Maeneo tulimo hamishwa sie machinga wenzetu wa bajaji ndio wamegeuza kuwa vituo.
Ww machinga na nani?!
 
Wasogee mikoani haraka nafasi zao bado zipo vijijini na mjini.
 
Tatizo ni hao wanaondesha hivyo vyombo wengi wamekuwa watu wa hovyo sana wanashindwa kuthamini kazi zao ila kuwazuia hapana wangeweka course ili watu waende shule na watoe vibali kwa watakao fanikiwa ila bajaji zibaki za walemavu tu bodaboda ziwe monitoring
Umepiga kwenye mshono mkuu.

"Wangeweka course ili watu waende shule na watoe vibali kwa watakaofaulu".
 
Na hayo ni mambo ya kawaida kadiri jiji linavuokuwa na huduma zingine zinaondolewa zinarudi kwenye miji midogo, kama daladala, zinachukuliwa huduma zilizoboreshwa hivyo wasipoteze muda huko waje mikoani haraka kuwahi nafasi zao.
 
Hivyi hawa siyo Watanzania?mnataka Nani akanyage mjini ambaye yeye ndo halali yake?
Maamuzi ya hovyo kuwahi kufanywa tangu nchi hii ipate Uhuru.
Mtaiga Mambo ya Ulaya yote mtaweza? Mazingira ya Ulaya ni sawa na huku?

Mmeigeuzi CCM kuwa ya matajiri siyo Tena ya maskini na matajiri,wakulima na wafanyakazi!!
Jueni Yuko Mungu mwenye haki.
 
Nilisema! CCM imeshaishiwa pumzi subiri matokeo! Ombi wapinzania legend mtu mwenye uwezo kwa wananchi! Msituletee watu wa ovyo kama Lisu!CCM hawa wapesi sana!
Hangaya kawaagiza kajificha nyuma ya watendaji Ili kelele zikizidi ajifanye kuingilia Kati swala la bodaboda.
 
Basi hao wapeleka hesabu wataendelea kuwa maskini. Wamiliki wa bodaboda ambao baadhi yao wana vitega uchimi

Nipo kaka. Ova. Tutafutane.
Ukweli ndio huo. Ila wenye nafuu ni wale ambao wanaingia za mikataba. Yaani baada ya muda fulani kulingana na mkataba chombo kinakuwa chako.
 
Serikali ijikite katika kuongeza vipato vya watu,mambo mengine yataondoka yenyewe.
Ukiwa na kipato kizuri huwezi panda bodaboda,huwezi nunua vitu kwenye kiosk.
We binadamu nahisi sio mu-AFRICA au MTANZANIA org... hahaha!!! Mh. Jakaya Kikwete na serikali yake alikaa akatulia na kuamua ku-solve employment problem kwa vijana wakati ule kwa kuruhusu pikipiki Tanzania then Leo kirahisi tu wasitishe na kuziondoa maana ndio content ya mwandiko wako huu. Hii Ni ngumu Sana. Af Tambua kua kufikia wazo lako hili population control haikwepeki na sio kwa kuongeaongea tu kama hivi.
Serikali ijikite katika kuongeza vipato vya watu,mambo mengine yataondoka yenyewe.
Ukiwa na kipato kizuri huwezi panda bodaboda,huwezi nunua vitu kwenye kiosk.
Hahahahah ...hili wazo linanifanya nicheke tu maana linakumbusha historical background ya nchi nyingi za Africa Hasa Tanzania na Sera zake.😏
 
Tuondoleeni malori kariakoo hayo ndiyo kero kubwa kwa sasa,
Bodaboda ni msaada mkuba sana na hawazuii barabara, malori huzuia na kuziba barabara,
Naomba wahusika watemvelee mtaa wa narun'gombe, masasi na agrey kati ya mtaa wa ndanda na muheza ili wajionee wenyewe,
Munaohusika mukae mukijua iko siku tutauwana kisa ni haya malori hapa kariakoo
Ohoooo shauri zenu
 
Sijaelewa hii ni kwa zile za biashara tu au zote mpaka zile za watu binafsi?

Tujue kabisa kuwa usafiri unaohitajika hii nchi ni wa Magari tu.
Mkuu hawa wanatuzingua tu kwani bodaboda wanaleta usumbufu gani kariakoo?
Watu wamejiajiri wao wanashindwa hata kuona kero ya malori? Au kwa vile malori yanatoa posho?
Hembu wapite pale waone bijiofisi vya malori hadi katikati ya barabara!
Bodaboda munawaonea tu
 
Back
Top Bottom