Kuanzia sasa mimi na wanawake basi, inatosha!

Mkuu, naomba nitofautiane na mtazamo wako. Hiyo Positive discrimination ilipaswa imuhusishe Mjomba wako. Yaani, naye awe kipaumbele chako katika watu wa kuwasaidia (jukumu lako). Kumbuka, Wakati Mjomba wako anakusaidia, siyo kwamba alikuwa na kipato na hakuwa na watu wa kuwasaidia bali alikusaidia kwa upendo na alikuona kipaumbele chako.

Pili, tuache mawazo ya kuona Mwanamke siyo muhitaji wa kuwa na Familia na kutimiza wajibu wake na hivyo kuwepo uhitaji wa kulipwa wanapotekeleza majukumu yao ya kifamilia!!

Ifike mahali, Wanaume tuamke. Sex na Familia, siyo hitaji la Mwanaume pekee, hata Mwanamke anahitaji pia.
 
Umenunua mdoli nini!
 
Uwamuzi sahihi.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…