Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao viumbe nuksi kabisa kabisaMaandiko mengi ya JF yamenifunza kutokumwamini sana mwanamke. Ukimsadia fanya kiasi kisichouma yaani kama unamsaidia mtu baki tu, au ilingane na tako ulizopiga. Halafu ukiwa naye weka akiba kwamba kuna siku atakuacha.
Hayo yote utaongeza kiasi ukimuoa. Nako bado usiweke 100%.
Niliwahi kumpa demu laki 2 alipe kodi. Siku moja nikataka kulala 2 days geto nililolipia kodi, akagoma. Nakamwambia kwa nyakati nilizokukaza laki 2 sioni hasara. Byeeee. Alijua natania, leo anapiga simu kama friends tu. Sitaki ujinga
Mnaumia sana mnaowaamini 100%
Mimi huyo?😀😀😀😀😀bado hujasema coz utapenda tu tena
Ishhhh!!!, jamaa pesa kwake siyo tatizo kama umesoma vizuri uzi wake. Kamhudumia mwanamke kwa kila kitu, kampa kila kitu. Lakini mwisho wa siku mwanamke kamletea madharau jamaa.Mkuu hapo shida ni hela sio wanawake. Wanawake ukiwa na hela watakupenda tu mkuu wangu.
Wanaume tutafte hela.
Hiyo ndio kawaida yao,wanasahau haraka sana,na kinachowaponza ni midomo yao...Ishhhh!!!, jamaa pesa kwake siyo tatizo kama umesoma vizuri uzi wake. Kamhudumia mwanamke kwa kila kitu, kampa kila kitu. Lakini mwisho wa siku mwanamke kamletea madharau jamaa.
You're totally wrong!Mkuu hapo shida ni hela sio wanawake. Wanawake ukiwa na hela watakupenda tu mkuu wangu.
Wanaume tutafte hela.
Ndio wwMimi huyo?
Tatizo lako ni kuwaamini sana wanawake mpaka wanakuona boya au dangaMaybe haya mambo ya mahusiano sio fungu langu, maybe nalazimisha nisipopendwa, ila ninachojua ni kwamba, umri wa kuishi wa binadamu ni miaka 70, acha huu muda uliobaki ni-enjoy mwenyew bila stress.
Ningekuwa nina kilema ningejua sababu ni nn, ningekuwa maskini ningejua shida iko wapi, ila wapi, inatosha sasa maana stress ninazopitia zitanizeesha kabla ya muda wangu.
Haya mapenzi sio kwa kila mtu, nami nimekuja kukubali kwamba sina nafasi kweny kweny ulimwengu wa mapenzi.
Nimemlisha, nimemvisha, nimemtibu, nimemtibu mama ake na kukesha nae hospitali, nilimpa sweta langu alivosikia baridi, nilimpa soksi zangu alipo ng'atwa na mbu, nilimpendezesha akanawiri na kunukia vizur, nilimnunulia feni aliposikia joto, nilipambana apate kazi na akapata, ila hayo yote ni bure, kwasababu mwisho wa siku, mwanaume ndiye anayechukua lawama siku zote.
Nilijitahidi sana kumtunza, na kumheshimu, but nilichokuja kuambulia ni maneno ya dharau na kejeli.
Ni kweli nimepoteza muda na pesa nyingi, but yashapita na mimi nimekubali, kuanzia sasa huu muda na resources nilizokuwa nazo nitazielekeza kweny mambo yangu na mikakati yangu, from now on its going to be all about me, my growth and my happiness.
Kuanzia sasa sitakuwa na mpenzi, na wala sitakuja kuwa mke, na sio kwamba wanachukia wanawake, lahasha, wanawake ni watu poa sana labda mimi tu sina bahati.
"My life doesn't have to be Perfect, It just has to be reasonable"
Hio hioAnahitaji nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walio karibu na huyu mtu tafadhalin mwekeni chini ya ulinzi kabla hajatangulia mbele za haki,Maybe haya mambo ya mahusiano sio fungu langu, maybe nalazimisha nisipopendwa, ila ninachojua ni kwamba, umri wa kuishi wa binadamu ni miaka 70, acha huu muda uliobaki ni-enjoy mwenyew bila stress.
Ningekuwa nina kilema ningejua sababu ni nn, ningekuwa maskini ningejua shida iko wapi, ila wapi, inatosha sasa maana stress ninazopitia zitanizeesha kabla ya muda wangu.
Haya mapenzi sio kwa kila mtu, nami nimekuja kukubali kwamba sina nafasi kweny kweny ulimwengu wa mapenzi.
Nimemlisha, nimemvisha, nimemtibu, nimemtibu mama ake na kukesha nae hospitali, nilimpa sweta langu alivosikia baridi, nilimpa soksi zangu alipo ng'atwa na mbu, nilimpendezesha akanawiri na kunukia vizur, nilimnunulia feni aliposikia joto, nilipambana apate kazi na akapata, ila hayo yote ni bure, kwasababu mwisho wa siku, mwanaume ndiye anayechukua lawama siku zote.
Nilijitahidi sana kumtunza, na kumheshimu, but nilichokuja kuambulia ni maneno ya dharau na kejeli.
Ni kweli nimepoteza muda na pesa nyingi, but yashapita na mimi nimekubali, kuanzia sasa huu muda na resources nilizokuwa nazo nitazielekeza kweny mambo yangu na mikakati yangu, from now on its going to be all about me, my growth and my happiness.
Kuanzia sasa sitakuwa na mpenzi, na wala sitakuja kuwa mke, na sio kwamba wanachukia wanawake, lahasha, wanawake ni watu poa sana labda mimi tu sina bahati.
"My life doesn't have to be Perfect, It just has to be reasonable"
1. Pole sana.Maybe haya mambo ya mahusiano sio fungu langu, maybe nalazimisha nisipopendwa, ila ninachojua ni kwamba, umri wa kuishi wa binadamu ni miaka 70, acha huu muda uliobaki ni-enjoy mwenyew bila stress.
Ningekuwa nina kilema ningejua sababu ni nn, ningekuwa maskini ningejua shida iko wapi, ila wapi, inatosha sasa maana stress ninazopitia zitanizeesha kabla ya muda wangu.
Haya mapenzi sio kwa kila mtu, nami nimekuja kukubali kwamba sina nafasi kweny kweny ulimwengu wa mapenzi.
Nimemlisha, nimemvisha, nimemtibu, nimemtibu mama ake na kukesha nae hospitali, nilimpa sweta langu alivosikia baridi, nilimpa soksi zangu alipo ng'atwa na mbu, nilimpendezesha akanawiri na kunukia vizur, nilimnunulia feni aliposikia joto, nilipambana apate kazi na akapata, ila hayo yote ni bure, kwasababu mwisho wa siku, mwanaume ndiye anayechukua lawama siku zote.
Nilijitahidi sana kumtunza, na kumheshimu, but nilichokuja kuambulia ni maneno ya dharau na kejeli.
Ni kweli nimepoteza muda na pesa nyingi, but yashapita na mimi nimekubali, kuanzia sasa huu muda na resources nilizokuwa nazo nitazielekeza kweny mambo yangu na mikakati yangu, from now on its going to be all about me, my growth and my happiness.
Kuanzia sasa sitakuwa na mpenzi, na wala sitakuja kuwa mke, na sio kwamba wanachukia wanawake, lahasha, wanawake ni watu poa sana labda mimi tu sina bahati.
"My life doesn't have to be Perfect, It just has to be reasonable"
Kuna kitengo nilikuwa nasoma kwa makini nione kama umekitimiza kumbe zero kabisa hapo ulipoferi kaka yaani kwenye kunyandua papuchi upo vzr? hata ungekuwa masikini kama unazichanga sawasaw kwny umaliziaji wala usingejibiwa jeuri! pole sana we aga mashindano huwezi ushindani
Vipi unaendeleaje kwanza?Maybe haya mambo ya mahusiano sio fungu langu, maybe nalazimisha nisipopendwa, ila ninachojua ni kwamba, umri wa kuishi wa binadamu ni miaka 70, acha huu muda uliobaki ni-enjoy mwenyew bila stress.