GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ongezea na utekaji na mauaji ya Sativa,Mzee Kibao, Dioniz Kipanya,Soka ,Mdude Nyagali,Joseph Kaswahili, Deo Tarimo mashambulizi ya kudhuru kama kwa Kitima na wengine wengi

Au hayo yamefanyika chini ya serikali ya Yoweri Museveni?
 
Qmmmako
 
Ndoto ya mchana,kakojoe
 
Huu ni ukweli,naunga mkono hoja yako
 
Huu ujumbe umenitoa machozi,tunaomba huyu mtu akasimame mahakamani damu za watu zimemwagika sana
 
Ramli chonganishi
 
Tanzania ovyo kabisa, yaani ntu anajulikana ni CIA mnamkaribisha hadi chumbani,
Kujivua gamba.
 
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…