GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tupe la kesho na kesho kutwa mkuu
 
Ok
 
Swali langu kama biashara zimefunguka na pesa zipo, sasa kwa nini umaskini umezidi kuongezeka kwa watanzania?
 
Ww hauko mtaani, uko kijijini. Huko ndio watu hawana access na taarifa za uongozi wa nchi. Huku mitandaoni ni mitaa digitali, ina watu wenye ufahamu wa mambo.
 
Husemi kama hugombei, unakausha kwanza.
 
na hayo maneno kuwa 4 alimuua 5!?

huyachukulii uzito?
 
Mbona sisi wakandarasi hatujalipwa kwa zaidi ya mwaka.
 
Poleni. Mambo yatabadilika soon na ufisadi wenu utaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…