City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
2012 ilikua 26% tu ya watanzania ndio maskini.Lete utafiti kwamba umaskini umeongezeka kwa watanzania!!
Ponjoroni mmoja tuPonjoro mwenzangu kuja huku
Wishful thinking. Unafikiri hata ukiwa Rais unaamuaamua tu!!?Ushauri wa maana kwa bimkubwa awaachie tu kiti akapumzike hii mikikimikiki yote ya nini??? Ameshakaa miaka 4 ameshaweka historia basi. A good dancer should know the time to the stage.
Kama ningekuwa mimi ndo bimkubwa nawachonganisha huku nikiacha alama kudadeki.
Kwa mfano....
Mimi sasa ndo bimkubwa:..Katiba ya Mzee Warioba ipo wapi,..? nataka ile original.
Wao sasa:..Hii hapa mama!.
Mimi:.okk, hii sindo waliyoipitisha wananchi wakataka iwe hivi???
Wao: ehhh
Mimi: Kesho toa taarifa nataka kuongea na Taifa.
Wao: Kwani kuna nini mama!!
Mimi: Nimesema toa taarifa...
Kesho sasa mwanawane natokea kama Shwaznigaa kudadeki ndandandaa ndaaaa.
Picha linaanza nimeshika katiba ya warioba mkononi. Natangaza: ...Kwa ajili ya kuleta mshikamano na kuponya Taifa lisipasuke namfungulia Lissu, pili; kwakuwa muda ni mfupi uliobaki kwenda katika uchaguzi naipitisha katiba ya warioba iliyopitishwa na wananchi ili tuitumie katika uchaguzi huo, tatu natangaza kutogombea uchaguzi huu napisha nafasi Chama kiteue mtu mwingine.
Nafunga press nasepa. Najua wao Watatoa mlio saaaana, lakini kwa wananchi bonge la shangwe.
Hii inaitwa mwaga ugali nimwage mboga.
Mlichorithishwa ni utabiri, matusi, uongo, uropokaji na uzushi.Nenda huko Canada akufanye bi mdg maana unawashwawashwa
Bandari ni yao yeye na Mama sio ya wale jamaa.Hakuna mtu mshenzi nchi hii kama Kikwete.
Kukwama kwa Tanzania kimaendeleo na kushamili kwa rushwa na siasa za hovyo yule mzee anahusika kwa asilimia zaidi ya 100.
Alafu ana ulafi wa madaraka na pesa isivyo mfano. Hii ni yeye na familia yake akiongoza mke wake.
Wakishinda watatangazwa na nani!?Chedema wakivadili gear washiriki uchaguzi patakuwa patamu sana😂 mara waaa wanachama wanapiga kura upande wa pili
Yaani ukiona kwenye mitandao utafikiri Tanzania ni zaidi ya GazaSasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
Mnaambiwa barabara hazipitiki huko mkajenge. Msimu wa uchaguzi huu. Kakopeni benki.Mbona sisi wakandarasi hatujalipwa kwa zaidi ya mwaka.
Daktari Ulimboka baada ya kutekwa na alivyopatikana Hana meno mdomoni Wala pumbu na kukimbizwa South Afrika 2012 yuko wapi sasa?Mbona kama tunamchukia Mzee wa watu bila sababu....utawala wake ulikua fair sana......sidhani kama anaweza kuwa anashauri haya mautekaji yanayoendelea.....wa kumlaumu labda ni mwendazake kwa kutokufanya voting ya kutosha kutuchagulia makamu....ndo kilichotufikisha hapa
Kila mtu anadai ana taarifa za ndani......hahahahaNimepata habari kuwa sasa wazalendo wa nchi wamemuweka kona yaani achiteme wala kumung'unya, wako nae. Joto ni kali sana jikoni.
Watu wengi mtaani wanataka Reforms japo hawazungumzii kwahiyo tulioko mtaani ndo sisi tuko huku ila mtaani tunaendelea na mishe zingine full ubizeYaani ukiona kwenye mitandao utafikiri Tanzania ni zaidi ya Gaza
Hiyo inaashiria huu ni wakati muhimu sana kwa Taifa hili.New members wamejaa aiseh!
Baada ya kupandisha msitari wa umasikini toka chini ya dola moja mpaka 2.5?!2012 ilikua 26% tu ya watanzania ndio maskini.
Sasa hivi ni 42%
Tanzania Poverty and Equity Brief : October 2025
From 2006 to 2014, Tanzania experienced balanced economic growth driven by capital accumulation, labor accumulation, and Total Factor Productivity (TFP). Looking ahead, .documents.worldbank.org
Waulize watu waliopoteza ndugu muhimbili baada ya mgomo wa madaktari,waliomteka wangeweza wangemrejesha kwa mola wakeDaktari Ulimboka baada ya kutekwa na alivyopatikana Hana meno mdomoni Wala pumbu na kukimbizwa South Afrika 2012 yuko wapi sasa?
Dk. Ulimboka alitekwa usiku wa 26 Juni 2012, kusukumizwa kwenye gari, kupigwa, kufungwa mikono na miguu, kunyofolewa kucha na kutolewa meno; na hatimaye kutupwa katika msitu wa Mabwepande.
Rama alifanya mawasiliano ya mwisho na Dk. Ulimboka saa 5: 52 kupitia simu yake Na. 0713 760473. Dokta alitekwa muda mfupi baadaye.
Lazima mstari upande sababu thamani ya pesa haijabaki palepaleBaada ya kupandisha msitari wa umasikini toka chini ya dola moja mpaka 2.5?!