inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
Acha kuamini makahaba wa ughaibuniBritanica alisema mmoja wa wagombea atakayeengeliwa ni Tulia (Spika).Hilo linawezekana ni kweli kwa Sababu anamuunga mkono Mama Samia.
Kwani kwa mujibu wa Mange Kimambi,Nchimbi anaweka watu wake ili mbele ya safari wake wamuunge mkono.
Utter nonsenseSasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
Yamungu ni mengi ila binafsi simuoni Samia akifika 2030Siku zina yoyoma mkuu. Ohoooo tutaweka wapi sura zetu 😬
Samia Ndio anaanza awamu yake hadi 2035,Hivi kwa hofu zote zinazoendelea, ukimshauri mama apumzike ni vibaya? Huoni mpasuko wa wazi Kati zenji na Tanganyika?
Mpk 2035Yamungu ni mengi ila binafsi simuoni Samia akifika 2030
We utafika??Yamungu ni mengi ila binafsi simuoni Samia akifika 2030
Utaua watu we jamaaSamia Ndio anaanza awamu yake hadi 2035,
Hahahaaaaaa19th July 2031
Andamana mkuu!!Issue ni kuhudumu kama waziri mkuu na baadaye kuwa waziri wa kawaida au mbunge tu. Hata kwa waliotangulia kwenye maswala haya ya demokrasia kama Uingereza imetokea mara nyingi.
Unamnyima vipi nafasi kama wapiga kura wake bado wanamhitaji!
Kahudumu miaka mingapi, hiyo si issue wala haijawekwa kikatiba kwamba baada ya muda fulani atapumzika.
Mkuu nini au unaweka Alama?....…..
Hali ni tete. Mazeri kwisha!Mkuu nini au unaweka Alama?
Hamna bhana, mimi nimekataa tamaa, naona Oktoba anakalia tena kiti, ingawa nina uchungu sana, hajali rasilimali zetu, anafanya upendeleo wa maendeleo ZanzibarHali ni tete. Mazeri kwisha!
Nguzo yake ni Kikwete na Roasted aziza anget wa CIA wanampa kiburi na jeuri.Hali ni tete. Mazeri kwisha!
Bwana Emanueli misalaba badilisha tu jina uitwe msalaba ili utusaidie kwenye kazi kubwa ijayo.Hamna bhana, mimi nimekataa tamaa, naona Oktoba anakalia tena kiti, ingawa nina uchungu sana, hajali rasilimali zetu, anafanya upendeleo wa maendeleo Zanzibar
Mkuu Sexless unaposema Mazeri kwisha, kivipi kisha?Hali ni tete. Mazeri kwisha!