Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira
Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno wanapokosea kisha kusamehewa.
Kielimu Wayahudi wapo mbali, ni asilimia 0.2% tu duniani lakini wao ndio wanaongoza kwa kubeba Noble Prizes kwenye
MMmVyuo vya Marekani wayahudi kibao kutoka Israel wanahitimu kila mwaka, ukizingatia idadi yao ni asilimia kubwa, hizi ni statistics kutoka havard Worldwide Data | Harvard Worldwide
Benki ni Pesa, Wayahudi ndio waasisi wakubwa na wana mgao mkubwa kwenye hii industry, Walipotolewa nchi yao na kupelekwa nchi za Ulaya, walinyimwa mashamba, walinyimwa fursa nyingi kwa kuamini watakuwa masikini milele, kilichotokea wao wakajikita kwenye banking, ni kweli benki zilikuwepo ila wao walienda kuleta mapinduzi makubwa kiasi cha watu hata wa kawaida kuanza kuziamini benki na kutumia huduma mbalimbali
Ni ngumu kuamini Israel ipo vitani miaka nenda rudi lakini wao ni nchi ya pili kiuchumi Mashariki ya Kati, Uchumi wao ni Dola bilioni 500 (zaidi ya shilingi trilioni elfu 1) unganisha nchi zote za Africa Mashariki na kati zenye rasilimali kibao bado hazifikii, Ile dola bilioni 3 wanayopewa na Marekani kila mwaka ni sawa na Marekani anavyoipa Tanzania msaada wa kujenga vyoo.
en.wikipedia.org
Pesa zao huzipata kwa akili kwasababu ardhi yao haina rasili mali nyingi, Ndio nchi inayoongoza kwenye mambo ya kuwagundulia na kuwaboreshea huduma / bidhaa makampuni makubwa duniani, makampuni mengi yameweka ofisi za utafiti Israel kama Samsung, Intel, Huawei, Google, Ericsson, Sony, Microsoft, Siemens, i phone, Nokia, Facebook, Instagram, Whatsapp, Fujitsu, Amazon, NVIDIA, Philips, Cisco, Systems, IBM
Hadi sasa unapoongelea ishu ya cyber security, Israel ndie mbabe wa ulinzi wa mifumo ya computer, maadui zao kama Hezbollah ni mashahidi
Kampuni kubwa ya teknolojia ya kilimo duniani ipo Israel, Inaitwa Netafirm
Marekani ndio nchi inayoongoza kwa mabilionea, wayahudi ndio wapo wengi zaidi licha ya kuwa asilimia 2 ya wamarekani
Wayahudi ndio waanzilishi wa Hollywood, Movies unazoziona Hollywood kampuni takribani 80% ni za wayahudi

- Physics
- Chemistry
- Medicine (Physiology or Medicine)
- Economics
- Literature

List of Middle Eastern countries by GDP - Wikipedia