Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

Marekani kuna wanasayansi wengi wairan kuliko Wayahudi, na hata ukiangalia Actual papers za Sayansi na namna Zinavyokua Recited Iran wapo juu zaidi. Hizi propaganda mnazipenda kweli mna ongea habari za vijiweni bila hata Ushahidi.

Na jews Halisi according to science ni hao wapalestina Wanaouliwa sasa hivi. Hao Ashkenazi ambao unawasifia kwenye huu uzi wana vinasaba vidogo sana vya hilo eneo.
Yaani wapalestina tena ndio wayahudi..😲😲
Kwa hiyo wayahudi tena wengi wao wanakuwa waislam na sio Judaism..!!??

Hawa wapalestina mbona kama ni waisraeli basi wasiwe na hizo akili na mbona hawamtambui Jakobo.

Wewe naona ndio umetoka kuswali na akili hata hazijakaa sawa hivyo hujui hata unachoandika.
 
njia ya muongo ni fupi mno, huna facts wacha nikugonge kwa facts

Ma ceo wa kampuni kubwa nyingi kuanzia Google, Ibm, Youtube, n,k ni wahindi, wamiliki ni wayahudi

Huko vijiweni mnapotoshana sana, kuna kijiwe niliwahi kupita nikasikia eti wanasifia Iran wanaongoza kwa uchumi mkubwa dunia nzima

View attachment 3183579
Kama dola moja ya kimarekani ni sawasawa na rial 42,000 za Iran basi huwezi ukanidanganya kwamba Iran wako poa.

Lazima maisha katika nchi ya Iran yatakuwa ni balaa kubwa sana au kwa lugha nyepesi ni kwamba peremende inayouzwa Tanzania shilingi 50 nchini Iran itauzwa sawa na shilingi 5,000 sasa hiyo sio nchi.
 
In every action there is equal and opposite reaction...

Wayahudi ni wabaguzi na hawapendi kuchangamana hata wakiwa nchi za watu...

Sasa unabagua wenzako ila wewe hutaki kubaguliwa?

Hii issue ya akili nyingi ni uongo, gunduzi nyingi zinafanywa na warusi, wachina, wajerumani, wamarekani...

Hakuna jamii humchukia mtu mwenye akili, ukiona unachukiwa ujue sababu sio akili, kuna kitu beyond...
 
Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira

Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno wanapokosea kisha kusamehewa.

Kielimu Wayahudi wapo mbali, ni asilimia 0.2% tu duniani lakini wao ndio wanaongoza kwa kubeba Noble Prizes kwenye
  • Physics
  • Chemistry
  • Medicine (Physiology or Medicine)
  • Economics
  • Literature

MMmVyuo vya Marekani wayahudi kibao kutoka Israel wanahitimu kila mwaka, ukizingatia idadi yao ni asilimia kubwa, hizi ni statistics kutoka havard Worldwide Data | Harvard Worldwide

View attachment 3183686

Benki ni Pesa, Wayahudi ndio waasisi wakubwa na wana mgao mkubwa kwenye hii industry, Walipotolewa nchi yao na kupelekwa nchi za Ulaya, walinyimwa mashamba, walinyimwa fursa nyingi kwa kuamini watakuwa masikini milele, kilichotokea wao wakajikita kwenye banking, ni kweli benki zilikuwepo ila wao walienda kuleta mapinduzi makubwa kiasi cha watu hata wa kawaida kuanza kuziamini benki na kutumia huduma mbalimbali

View attachment 3183688

Ni ngumu kuamini Israel ipo vitani miaka nenda rudi lakini wao ni nchi ya pili kiuchumi Mashariki ya Kati, Uchumi wao ni Dola bilioni 500 (zaidi ya shilingi trilioni elfu 1) unganisha nchi zote za Africa Mashariki na kati zenye rasilimali kibao bado hazifikii, Ile dola bilioni 3 wanayopewa na Marekani kila mwaka ni sawa na Marekani anavyoipa Tanzania msaada wa kujenga vyoo.

View attachment 3183689

Pesa zao huzipata kwa akili kwasababu ardhi yao haina rasili mali nyingi, Ndio nchi inayoongoza kwenye mambo ya kuwagundulia na kuwaboreshea huduma / bidhaa makampuni makubwa duniani, makampuni mengi yameweka ofisi za utafiti Israel kama Samsung, Intel, Huawei, Google, Ericsson, Sony, Microsoft, Siemens, i phone, Nokia, Facebook, Instagram, Whatsapp, Fujitsu, Amazon, NVIDIA, Philips, Cisco, Systems, IBM

Hadi sasa unapoongelea ishu ya cyber security, Israel ndie mbabe wa ulinzi wa mifumo ya computer, maadui zao kama Hezbollah ni mashahidi

View attachment 3183690

Kampuni kubwa ya teknolojia ya kilimo duniani ipo Israel, Inaitwa Netafirm

View attachment 3183691

Marekani ndio nchi inayoongoza kwa mabilionea, wayahudi ndio wapo wengi zaidi licha ya kuwa asilimia 2 ya wamarekani

Wayahudi ndio waanzilishi wa Hollywood, Movies unazoziona Hollywood kampuni takribani 80% ni za wayahudi
Thibitisha huyo Mungu yupo.
 
Yaani wapalestina tena ndio wayahudi..😲😲
Kwa hiyo wayahudi tena wengi wao wanakuwa waislam na sio Judaism..!!??

Hawa wapalestina mbona kama ni waisraeli basi wasiwe na hizo akili na mbona hawamtambui Jakobo.

Wewe naona ndio umetoka kuswali na akili hata hazijakaa sawa hivyo hujui hata unachoandika.
Unaweza ukawa jews wa conversion ama kwa asili, Ashkenaz ni jews kwa conversion hawana asili ya Middle East kwa wingi kwenye Dna zao, Meanwhile wakazi wa hilo eneo Palestina, Lebanon, Syria na wengineo ndio OG canaanite proven by Science.
 
Kwa nini waisrael a.k.a wayahudi wa sasa wawe wazungu huku ndugu zao na jirani yao ni waarabu???
Kwa hiyo hoja yako ni nini, kwamba ulitaka waisrael nao wawe ni waarabu basi wasingekuwa na akili hizo walizonazo leo.
 
In every action there is equal and opposite reaction...

Wayahudi ni wabaguzi na hawapendi kuchangamana hata wakiwa nchi za watu...

Sasa unabagua wenzako ila wewe hutaki kubaguliwa?

Hii issue ya akili nyingi ni uongo, gunduzi nyingi zinafanywa na warusi, wachina, wajerumani, wamarekani...

Hakuna jamii humchukia mtu mwenye akili, ukiona unachukiwa ujue sababu sio akili, kuna kitu beyond...
Hapa kuna usichokifahamu aidha kwa ujinga au kwa ile kawaida ya kutawaliwa na imani ya kipuuzi ya kidini.

Hizo nchi unazozitaja hapo juu zina watu wenye asili ya kiisrael na ndio wanahusika katika kufanya hayo mambo yasiyo ya kawaida.

Umenipa dini gani?

Kuna kitu hukijui, na nimeona kinachozuia usijue...
 
Back
Top Bottom