Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

Yaani wapalestina tena ndio wayahudi..😲😲
Kwa hiyo wayahudi tena wengi wao wanakuwa waislam na sio Judaism..!!??

Hawa wapalestina mbona kama ni waisraeli basi wasiwe na hizo akili na mbona hawamtambui Jakobo.

Wewe naona ndio umetoka kuswali na akili hata hazijakaa sawa hivyo hujui hata unachoandika.
 
Kama dola moja ya kimarekani ni sawasawa na rial 42,000 za Iran basi huwezi ukanidanganya kwamba Iran wako poa.

Lazima maisha katika nchi ya Iran yatakuwa ni balaa kubwa sana au kwa lugha nyepesi ni kwamba peremende inayouzwa Tanzania shilingi 50 nchini Iran itauzwa sawa na shilingi 5,000 sasa hiyo sio nchi.
 
In every action there is equal and opposite reaction...

Wayahudi ni wabaguzi na hawapendi kuchangamana hata wakiwa nchi za watu...

Sasa unabagua wenzako ila wewe hutaki kubaguliwa?

Hii issue ya akili nyingi ni uongo, gunduzi nyingi zinafanywa na warusi, wachina, wajerumani, wamarekani...

Hakuna jamii humchukia mtu mwenye akili, ukiona unachukiwa ujue sababu sio akili, kuna kitu beyond...
 
Thibitisha huyo Mungu yupo.
 
Unaweza ukawa jews wa conversion ama kwa asili, Ashkenaz ni jews kwa conversion hawana asili ya Middle East kwa wingi kwenye Dna zao, Meanwhile wakazi wa hilo eneo Palestina, Lebanon, Syria na wengineo ndio OG canaanite proven by Science.
 
Kwa nini waisrael a.k.a wayahudi wa sasa wawe wazungu huku ndugu zao na jirani yao ni waarabu???
Kwa hiyo hoja yako ni nini, kwamba ulitaka waisrael nao wawe ni waarabu basi wasingekuwa na akili hizo walizonazo leo.
 
Hapa kuna usichokifahamu aidha kwa ujinga au kwa ile kawaida ya kutawaliwa na imani ya kipuuzi ya kidini.

Hizo nchi unazozitaja hapo juu zina watu wenye asili ya kiisrael na ndio wanahusika katika kufanya hayo mambo yasiyo ya kawaida.

 
Umenipa dini gani?

Kuna kitu hukijui, na nimeona kinachozuia usijue...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…