Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

Kwani mimi kuna sehemu nimesema matatizo yetu waafrika yameletwa na wengine?

Ndo maana nimesema utumwa wa kinguvu uliisha, lakini upo wa ki hiyari na pia “mental slavery”

Utumwa wa kiakili umechangia kwa kiasi kikubwa zaidi kwenye hali iliyopo Africa hususan viongozi wale ambao nao ni zao la wananchi wenyewe.
Kwenye movie ya 3 idiots kuna sehemu jamaa anasema the voice is his but words are mine..hopeful nimeeleweka
 
Tufanye kama tunakubaliana kwamba Inshara za ujio wa Yesu alizofundisha yohana mbatizaji hawakuziamini hao wayahudi!.
Baadae akajitokeza huyo Yesu wa miujiza na matendo yake ya bayana, bado tu wayahudi wakashupaza shingo zao na kutomuamini ikapelekea mpaka wakampa adhabu ya kidharimu ambayo mimi na wewe kamwe hatuhimili.

Yesu kabla ya kufa pale msalabani yalitokea matendo makuu ikiwemo mchana kuwa giza kuanzia calvari mpaka taifa zima, pazia la hekalu likachanika na taharuki kuu ikazuka taifa zima!
Na baada ya siku3 Yesu alifufuka kutoka kwa wafu na wanafunzi wake kadhaa wanaomtukuza na kumkubali ALIWATOKEA LIVE!!
Katika hao wanafunzi walikuwemo wayahudi kindakindaki. Sasa WHY wasihubiri na kueneza matendo makuu ya Yesu huko huko kwao kwanza na kuaminika kabla hawajatufikia sisi WAMATUMBI?!

Hiyo bado ni imani kama ulivyoimanishwa lakini hujatoa uthibitisho wowote hapo. Hiyo ni imani kama ilivyo imani ya waislamu na mtume wao muhamnad au wahindu na ng’ombe wao kuitwa mungu wao.
 
Unaposema “misingi ya mafanikio yako ni ukristo” unamaanisha kitu gani?

Fuatilia vyema utafahamu mifumo yote ina watu wenye mafanikio na walioleta mabadiliko makubwa duniani.

Iwe ni Christians, Muslims, Budhas, Hindus, Chinese etc etc.

Fuatilia, kama hujui uliza.
Unajua kwa nini Marekani na Ulaya ndio vinara wa maendeleo duniani?

Jibu ni Ukristu.

Unajua Ukristu ulipenya lini hadi India, China, Asia, na mataifa yote ya Kiarabu?

Wake up!
 
Sema wewe sasa alipigwa ngapi? au alikatwa na mapanga?

Tundu Lissu arejea Tanzania kutoka uhamishoni
Amina Mjahid
25.01.202325 Januari 2023
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu anaelekea nyumbani leo kutoka uhamishoni akilenga kile alichokitaja kuwa "kuandika ukurasa mpya" katika safari yake ya kisiasa.

Tansania Wahlen | Opposition Tundu Lissu
Picha: AFP
MATANGAZO

Lissu aliyepigwa risasi mara 16 katika tukio la kujaribu kumuua mwaka 2017 na kuishi uhamishoni ubelgiji tangu wakati huo, atawasili Dar es Salaam hii leo mchana.

Kiongozi huyo wa upinzani aliye na miaka 55 alisema katika vidio yake aliyeituma kupitia twitter kwamba akishawasili ataelekea moja kwa moja katika mkutano ulioandaliwa kumkaribisha nyumbani na kujadili mambo muhimu yanayowahusu watanzania, akisema mwaka 2023 ni mwaka muhimu katika historia ya Tanzania.

Lissu alitangaza uamuzi wake wa kurejea nyumbani baada ya rais Samia kuondoa marufuku ya mikutano ya kisiasa mwezi huu iliyokuwa imewekwa na mtangulizi wake hayati John Magufuli.
 
Unajua kwa nini Marekani na Ulaya ndio vinara wa maendeleo duniani?

Jibu ni Ukristu.

Unajua Ukristu ulipenya lini hadi India, China, Asia, na mataifa yote ya Kiarabu?

Wake up!
Brother tunaishi uzunguni, ulaya yenyewe haswa mi sijaona hapa mzungu mkristo hata mmoja nchi nzima ni wapagani, ni ulaya ipi unayozungumzia wewe? Nchi Gani? Makanisa ya ulaya ni majumba ya kufanyia sherehe za kijamii tu, yana walinzi tu!! Waambie na wenzio muamke huko bara la giza!
 
Uthibitisho huo hapo umeuweka mwenyewe. Ulaya ilikuwa senta kubwa ya Ukristu.

Bahati mbaya wao nao wakapofuka kama Mashariki ya Kati. Ukristu ukahamia Marekani.

Marekani nao wakipofuka, ndiyo maana Afrika itabaki kuwa senta kubwa ya Ukristu.
 
Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo.

Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unatahiili kuombewa.

Hata hivyo, cha kushangaza ni sisi sisi tunaodai Israel ni Taifa telule la Mungu huku Wayahudi wakiwa hawamkubali Yesu na wengi wa hao Wayahudi wameukaa kristo. Ajabu sana!

Kwa kifupi, jambo hili linaweza kuwa ni ushahidi tosha kuwa katika hizi dini, kuna mambo ya kutunga katika hivi tunavyovitta vitabu vitakatifu na huenda ni maandiko/aya zote ni uongo au baadhi ya maandiko/aya ndio za uongo .

Pia, nawaza,Tulia watanzania wengi hawamkubali, lakini huko nje ya nchi wamemkubali na kumpa cheo kikubwa tu. Je, ndio yale yale ya Wayahudi kumkataa Yesu na sisi huku kumkubali kama Mwana wa Mungu?

Hakika maswali ni mengi kuliko majibu.
Umesema ya moyoni mkuu
 
sina shaka katika shibe na majivuno kutoka kwa binaadam,kiumbe binaadam akishiba hujaa dharau na majivuno.

ni heri huyu ambaye hujaa dharau baada ya kujihisi ni imara,kuliko yule ambaye hujifanya anajua kufikiri, wakati hata sekunde moja ijayo hana uwezo wa kuitabiri kwa ufasaha.
kimsboy njoo huku
 
Wengine kumkataa Yesu ni sawa na kumkataa Mungu, ila wengine wanamkataa wazi wazi na bado wanaitwa ni Taifa telule la Mungu!!

Kuna logic hapa kweli?
Hata kipindi kile wa Israel wakiwa Misri walimkataa Mungu wao, wakamtumikia mungu wa farao lkn Mungu wao hakuwaacha alikuja kuwarudia baada ya miaka 400.

Wa Israel walivyokuwa jangwa wakienda kaanani, walimkataa Mungu wao lakini Mungu wao hakuwaacha bado alindelea kuwapigania.

Hata baada ya wana wa Israel kuingia kaanani mara nyingi tu walimkataa Mungu wao, lkn Mungu wao hakuwaacha.

Ee Yerusalemu, Yerusalemu, uwauaye manabii, na kuwapiga kwa mawe wale waliotumwa kwako! Ni mara ngapi nimetaka kuwakusanya pamoja watoto wako, kama vile kuku avikusanyavyo pamoja vifaranga vyake chini ya mabawa yake, lakini hamkutaka!

Mathayo 23:37

Wahahudi wengi wao walimkataa Yesu na mafundishio yake kwa wakati ule. Lkn baadae wengi wao walikuja kumwamini na wakawa wakristo.

Juzi juzi wakati Netanyahu anahutubia taifa ali quote maneno ya Bible, sasa nikawa najiuliza km wa Israel sio wakristo, inakuwaje kiongozi wao mkuu anatumia maneno ya biblia kuhutubia wananchi wake?
 
Wahahudi wengi wao walimkataa Yesu na mafundishio yake kwa wakati ule. Lkn baadae wengi wao walikuja kumwamini na wakawa Wakristo.
Swali ni kwamba wangali taifa teule ama la?

Juzi juzi wakati Netanyahu anahutubia taifa ali quote maneno ya Bible, sasa nikawa najiuliza km wa Israel sio Wakristo, inakuwaje kiongozi wao mkuu anatumia maneno ya biblia kuhutubia wananchi wake?
Kunukuu hakumfanyi awe Mkristo, kama tu ambavyo wewe huwezi kuwa mfuasi wa Hitler kwa kunukuu tu kile alichosema au kuandika.
 
Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo.

Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unatahiili kuombewa.

Hata hivyo, cha kushangaza ni sisi sisi tunaodai Israel ni Taifa telule la Mungu huku Wayahudi wakiwa hawamkubali Yesu na wengi wa hao Wayahudi wameukaa kristo. Ajabu sana!

Kwa kifupi, jambo hili linaweza kuwa ni ushahidi tosha kuwa katika hizi dini, kuna mambo ya kutunga katika hivi tunavyovitta vitabu vitakatifu na huenda ni maandiko/aya zote ni uongo au baadhi ya maandiko/aya ndio za uongo .

Pia, nawaza,Tulia watanzania wengi hawamkubali, lakini huko nje ya nchi wamemkubali na kumpa cheo kikubwa tu. Je, ndio yale yale ya Wayahudi kumkataa Yesu na sisi huku kumkubali kama Mwana wa Mungu?

Hakika maswali ni mengi kuliko majibu.
sasa usaidiwe lipi apo maana ya mayahudi hayafanani na ayo ya tulia
 
Brother tunaishi uzunguni, ulaya yenyewe haswa mi sijaona hapa mzungu mkristo hata mmoja nchi nzima ni wapagani, ni ulaya ipi unayozungumzia wewe? Nchi Gani? Makanisa ya ulaya ni majumba ya kufanyia sherehe za kijamii tu, yana walinzi tu!! Waambie na wenzio muamke huko bara la giza!
Watu ukiwaambia mkuu hawaaamini wanadhani makanisa ulaya yanajaza kama huku masta, tell these people kwamba AFRICA bado sana, kuna majitu yanadhani YESU alikuwa mkristo, poor African’s….
 
Labda utusaidie wewe, ni lini waliondolewa kuwa taifa teule?
Mara walipomkataa Masihi Kristu, ambaye ndiye kusudi kuu la uteule wao.

Mathayo 27:22-25
[22] Pilato akawaambia, Basi, nimtendeje Yesu aitwaye Kristo? Wakasema wote, Asulibiwe.

[23] Akasema, Kwani? Ni ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, wakisema, Na asulibiwe.

[24] Basi Pilato alipoona ya kuwa hafai lo lote, bali ghasia inazidi tu, akatwaa maji, akanawa mikono yake mbele ya mkutano, akasema, Mimi sina hatia katika damu ya mtu huyu mwenye haki; yaangalieni haya ninyi wenyewe.

[25] Watu wote wakajibu wakasema, Damu yake na iwe juu yetu, na juu ya watoto wetu.

Hauwezi kunukuu kitu ambacho wale unao wa address hawana ufahamu nacho kabisa.
^Huwezi^???

Mimi kijijini kwangu ni wakristo wote, eti nianze kuwaambia mtume Mohammed alisema hivi na hivi. Dah si watanishangaa sana aise
Inawezekana 100%!!!

Sura 3: Al-i-'Imran: 110
👉 Laiti watu wa Kitabu [Wakristu] nao wangeamini ingekuwa heri kwao. Wapo miongoni mwao waumini, lakini wengi wao ni wapotovu.
 
Dini ni mpango wa mwanadam kumwelekea/kumtafuta muumba wake. Elewa neno mpango wa mwanadam
 
Back
Top Bottom