Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

Eti Yesu hakuwa Mkristo, hahaha.
Yesu ndio alikuwa anaitwa Kristo. So Wafuasi wake ndio wanaitwa wakristo
Wafuasi wa Yesu ndio wakristo yeye hakuwa mkristo, wanaofuata mafundisho yake ndio wakristo masta Yesu alikwa myahudi na wayahudi sio wakristo, bro unasomea wapi hizi dini ? Yan utakachoambiwa ndio hicho hicho ? Leta hapa waliposema Yesu alikuwa mkristo…yesu alizaliwa myahudi akalelewa kiyahudi na akafa myahudi, kumbuka kuwa judaism sio christianity.
 
Alieandika biblia kaiangamiza Africa, huko aliko anacheeeeka!
 
Eti Yesu hakuwa Mkristo, hahaha.
Yesu ndio alikuwa anaitwa Kristo. So Wafuasi wake ndio wanaitwa wakristo.
Soma hapa chini masta alafu kasome hizo chapter kwenye bible , tatizo mnachoambiwa na mapastor wenu mnakuja nacho hivyo hivyo you guys dont real at all , Yesu hakuwa mkristo ila wanaofuata mafundisho yake ndio wakristo
 

Attachments

  • 5CE16D61-443A-417C-8923-152BBD175BF0.jpeg
    360.2 KB · Views: 6
  • FE3CFC4F-3D2C-41A0-9DF6-2B757D20D2CA.jpeg
    483.6 KB · Views: 6
Vinana hawaelewi mkuu kuna jamaa nimemwambia yesu alikuwa myahudi anavusha anasema alikuwa mkristo ? Anabisha vitu ambavyo si tulishavifuatilia sana kwasababu ya mkanganyiko wake, anadhani tumekurupuka..
 
Yesu hakuwa mkristo ila wanaofuata mafundisho yake ndio wakristo
Sasa hapa mbona tunaongea lugha moja boss, kwa maana ya wafuasi wa mpakwa mafuta au anointed one.

Sasa kama unataka kusema Yesu hakuwa Kristo(kwa maana ya Kristo ina maana ni mpakwa mafuta) hiyo ni mada nyingine inatakiwa ichambuliwe kwa kina zaidi.
 
Sasa hapa mbona tunaongea lugha moja boss, kwa maana ya wafuasi wa mpakwa mafuta au anointed one.

Sasa kama unataka kusema Yesu hakuwa Kristo(kwa maana ya Kristo ina maana ni mpakwa mafuta) hiyo ni mada nyingine inatakiwa ichambuliwe kwa kina zaidi.
Ukiniletea hata bible verse moja mkuu inayosema Jesus was a christian itasaidia mkuu, YESU ALIKUWA MYAHUDI, ALIFUNDISHA NENO KWA SHERIA ZA KIYAHUDI, ALILELEWA KIYAHUDI , na ALIKUFA AKIWA MYAHUDI…sio mimi nasema haya maneno ni bible ndio inasema hivyo kama reference yetu masta au nasema uongo ?
 
Umenisaidia masta nlikuwa nataka kusema kitu kinafanana na hicho hicho mastaa
 
Ukitoa waandaishi wa Biblia na Quran, wengine wote walioandikwa ni Legendary figures and there is no proof kama waliwahi kuwepo.

Mfano kwenye Biblia na Quran zinasema Kabuli la Musa halijulikani lilipo, kuwa Mungu mara Malaika walificha alipozikwa.

Yesu, Wakristo wanafundishwa kuwa alipaa

Mudi yeye alizikwa kama binadamu wa kawaida, lakini hakuna aliyewahi kuona mifupa yake, na hakuacha Wosia, wafue wakaanza kuuana kisa nani mrithi

Hawa wote hakuna any of thier Physical remain
 
Aise mkuu upo sawa kweli? Mbona unalazimisha ubishi ambao haupo. Nani kasema Yesu alikuwa mkristo?
Yeye mwenyewe Yesu ndio alikuwa kristo alafu wafuasi wake ndio wakristo.

Mimi kule mwanzoni nilitaka kukuweka sawa, kukwambia hakuna mtu anayesema Yesu alikuwa mkristo, bali yeye ndio mwanzilishi wa ukristo, kwa maana ya kundi fulani la watu walioamini mafundisho yake.

Kwa maana ya kuwa Yesu ni kristo na wafuasi wake ndio wakristo (lkama dini)
YESU ALIKUWA MYAHUDI, ALIFUNDISHA NENO KWA SHERIA ZA KIYAHUDI, ALILELEWA KIYAHUDI , na ALIKUFA AKIWA MYAHUDI
Yap nakubaliana na wewe ila kuna vingine vya kiyahudi alikuwa anavipinga ndio maana wakamshitaki auwawe.

Na pia ndio maana dini ya kikikristo na kiyahudi kuna vitu vinatofautiana, kwasababu Yesu alileta mtazamo tofauti na ule wa kiyahudi. Mfano siku ya sabato
 
Hapa nimepata kitu... Shukrani

Ila kama waliwai kuwa na huo uteule, basi tuwaombee huo uteule wao urudi labda watakaa kwa amani. Inawezekana kutokana na dhambi yao ya kuukataa uteule ndio maana wanaishi kwa wasiwasi miaka yote km nguchiro akiwa porini
 
Nimekuelewa masta, tatizo mtaani kwangu sijui ndio sherehe za ubatizo sijui nini yani hapa next house kuna lisherehe wanagonga ngoma juu ya ngoma, hawataki kulala ni kelele aisee, ivi hakuna sheria ya kuzuia haya makelele manake Tanzania watu wanajichukulia sheria mkononi aisee
 
No honour's among thieves....
Kila mmoja anajaribu kudanganya zaidi ya mwenzake....
 
Uwe ni ukristo, uislam, au dini nyingine yoyote, zote ni imani. Na imani siyo suala la kisayansi bali suala la kuamini bila uthibitisho wa kisayansi. Ndiyo maana, mataifa mengi, sheria zao zinasema kila mtu atakuwa na uhuru wa kuofuata imani aitakayo.

Waislam na wakristo, wote tunaamini kuna Mungu, tunaamini kuna hukumu baada ya kufa, tunaaminu kuna maisha ya roho baada ya kifo.

Hata hivyo, wewe hulazimishwi kuamini hayo wanayoyaamini kama utashi wako unakutuma vinginevyo. Kama wao hawakulazimishi uamini wanavyoaminil, halikadhalika nawe usiwalazimishe waamini unachoamini wewe.
 
ukielewa maana ya imani,utagundua kuhoji ni dalili ya ugonjwa wa akili.

imani inakuelewa uamini Mungu aliumba mtu kwa matope,akawaje na nyama??huhoji hili wewe mbioooo mpaka kwenye uteule wa israeli.

bangi bila msosi.
Aahhahaha
 
Si mwanadamu amesema ,ni Mungu amesema. Wewe uliye udongo tu unamuuliza mfinyanzi? Usiniambie Mungu, kama wanakosea atawaadhibu yeye mwenyewe siyo Wewe.
Sikiliza hii
Your browser is not able to display this video.
 

Zuga:

Hakuna kitu nimepata mkuu, Nimesoma without bias....nilichokiona ni just confusion......Umechanganya mada nyingi mno....! Angalia "Wayahudi wanaua Watoto Hospotalini Gaza right Now!! Hujaeleza kwa nini Wanauwa..... Unaposema kwa Wayahudi hakuna Mungu una maana ipi hasa....Una Maana Mungu yuko kwa Alqueda....ISIS...Islamic Jihad....Hamas.....Hezbollah ......Boko Haram.....Kwa hiyo huku ndio kuna Mungu.....That is terrible Zuga.....Jenga hoja zako upya....!
 
Kabisa mkuu,
Ukristo umelididimiza bara letu
Imagine Watu hawafanyi kazi kutwa kushinda makanisani wakiomba miujiza[emoji29]

Mkuu DeepPond,

Uko Tanzania Mkuu......Hiyo Report ya CAG ni kwa sababu watu wanashinda Makanisani? Ubadhirifu wa Halmashauri, Mismanagement ya fedha za serikali.......Sielewi unasema nini...Na unaposema Ukristo unadidimiza Bara letu (Africa) Unajua kinachokea Sudan.....Somalia.......Ni kwa sababu Wakristo wanashinda kuomba Miujiza.....Mkuu ulikua umetoka usingizini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…