Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

Mgogoro wa Palestina si mgogoro wa kidini, ni mgogoro wa nchi moja kuikalia na kuikandamiza nyengine.
Baadhi ya waafrika hawajielewi, Wazungu wamejawa undumilakuwili na wako kimaslahi. ANC walipokuwa wanapambana kwa siasa na silaha kwa sababu ya kukaliwa nchi yao na kukandamizwa, wazungu waliwaita magaidi pia. Leo Urusi anapopiga mabomu na kuua wasio na hatia, wanaikingia kifua ukraine bali Palestina wanapopigwa na kuuliwa watoto na wasio na hatia wanasema "hii ni vita"
Hivi meli za kivita, ndege, vifaru unapambana na Hamas ambao hawana jeshi na ni kikundi tu!
 
Hebu fanyeni utafiti haya mambo
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe. Kama biblia ilianzia mashariki ya kati tena mbona makao makuu ya Ukristo yapo Vatican, London na Berlin?
Jiulize swali, kitabu alichopewa Issa au Yesu ni Injili, tena biblia imetokea wapi na kapewa nabii gani?
Your browser is not able to display this video.
 
haijalishi.hata kama angekuja nao mfukoni kama ulivyotaka.
wayahudi hawakumpokea Yesu kwanini ushangae wanapoukataa ukristo??
Hujamuelewa. Yeye anashangaa mnavyomkumbatia Yahudi wakati yeye msingi wa dini yake ya kiyahudi ni kwamba Yesu ni nabii wa uongo! Mnajichanganya, issue ya mgogoro wa Palestina si ya kidini, ni ya mtu mmoja, akisaidiwa na nchi za magharibi, silaha, kumtawala mwengine
 
Si mwanadamu amesema ,ni Mungu amesema. Wewe uliye udongo tu unamuuliza mfinyanzi? Usiniambie Mungu, kama wanakosea atawaadhibu yeye mwenyewe siyo Wewe.
Ni ujinga wa kiroho kufikiri Israel ndio taifa la Mungu. Taifa la Mungu ni wale wamwaminio Mungu popote pale walipo.
 
Onyesha ushahidi ni wapi waisrael wanamkataa Yesu iwe kwenye biblia au kwa matamshi yao
Jews believe the Messiah will be a direct (blood) descendant of King David through Solomon on his father's side and will be born naturally to a husband and wife (Genesis 49:10, Isaiah 11:1, Jeremiah 23:5, 33:17; Ezekiel 34:23–24).

"The point is this: that the whole Christology of the Church - the whole complex of doctrines about the Son of God who died on the Cross to save humanity from sin and death - is incompatible with Judaism, and indeed in discontinuity with the Hebraism that preceded it."[18]
 
🙆
 
🙄 hatari sana! Miti uliyoitaja inatutibu maradhi yetu kweli kweli 😅🙏🙏
 
Dividend, post: 48417079, member: 409902

Wewe unajichanganya. Yeye alikuwa kristo ila wafuasi ni wakristo?. Kristo ni nini kwa muktadha huo?
 
Hiyo ya
Tulia mbona unachanganya mkojo na wine!?
 
Point yangu ni kuwa matatizo ya Africa yanaletwa na sisi Waafrika wenyewe. Wazungu walitufanyizia na wameshaondoka ila watawala wengi wa kiafrika wamegeuka kuwa wakoloni weusi.
Wakoloni walikuwa wakipora mali wanazipeleka kwenda kuzijenga Nchi zao na kuwahudumia wananchi wao!
Ndio maana tunaziona Nchi zao zinameremeta na wananchi wao wanameremeta !!
Sisi tunaendekeza Uselfishness !!
 
haijalishi.hata kama angekuja nao mfukoni kama ulivyotaka.
wayahudi hawakumpokea Yesu kwanini ushangae wanapoukataa ukristo??

Mimi ni mkristo ila nawaambia kupitia bibilia yesu hakusema wafuasi wangu muitwe wakristo. Yesu anamajina mengi sana kwenye bibilia hadi mengne anayakataa mfano jina mwema. Kristo,mwana wa adamu,kweli,mwana wa mungu n.k ni majina tu yalyotumika kumtambulisha yesu. Kwa hyo kristo ni jina na sio dini
 
Kuna wamasai halisi na wale wa Kilosa wanaoitwa wakwavi, na wao wanavaa mashuka mekundu pia lakini wana tofauti na wale original.

Hali ipo hivyo kwenye suala la waisrael kwa maana wayahudi. Kuna wale asilia haswa, ndio wenye kufanana na waethiopia halafu kuna hawa wayahudi fake wayahudi wakwavi, ndio hawa wanaotoka ulaya mashariki na kuhamia Israel katika miaka ya sasa.

Hawa ni sehemu tu ya siasa za kizayuni, siasa za kibaguzi zenye madhara sawa na yale tuliyoyapinga kule afrika ya kusini, siasa zilizojaa uonevu, ubaguzi na ushenzi kwa ujumla.
 
Kwa hiyo Ukristo ni Jina la hiyo Imani!
 
Sasa wewe inakuhusu nini? Fanya yako kwenye dini yako muache mtu aamini anachokiamini

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
basi ni mkristo usiye na akili.

kama hujui hata maana ya neno ukristo.
 
Sawa
Sawa,lakini hatq ukisema Siyo taifa la Mungu ,unatakiwa ukubari kuwa ni Taifa huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…