hilo ni swala la uelewa tu,si kila mkristo ana uelewa mdogo kama wake.Hujamuelewa. Yeye anashangaa mnavyomkumbatia Yahudi wakati yeye msingi wa dini yake ya kiyahudi ni kwamba Yesu ni nabii wa uongo! Mnajichanganya, issue ya mgogoro wa Palestina si ya kidini, ni ya mtu mmoja, akisaidiwa na nchi za magharibi, silaha, kumtawala mwengine
hajitambui huyu.Kwa hiyo Ukristo ni Jina la hiyo Imani!
Katika rank za viumbe wa mungu aliwatumia duniani kufikisha ujumbe kuna mitume,manabii na masihi(kristo). Yesu aliwaambia watu yeye sio mtume kama mitume waliotangulia kabla yake na wala sio nabii kama waliokuwepo kabla yake,bali yeye ni kristo yaani masihi yaani hakuwepo mwingne kabla yake na hatafika mwingne baada ya yeye.Kwa hiyo Ukristo ni Jina la hiyo Imani!
FixKabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo.
Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unatahiili kuombewa.
Hata hivyo, cha kushangaza ni sisi sisi tunaodai Israel ni Taifa telule la Mungu huku Wayahudi wakiwa hawamkubali Yesu na wengi wa hao Wayahudi wameukaa kristo. Ajabu sana!
Kwa kifupi, jambo hili linaweza kuwa ni ushahidi tosha kuwa katika hizi dini, kuna mambo ya kutunga katika hivi tunavyovitta vitabu vitakatifu na huenda ni maandiko/aya zote ni uongo au baadhi ya maandiko/aya ndio za uongo .
Pia, nawaza,Tulia watanzania wengi hawamkubali, lakini huko nje ya nchi wamemkubali na kumpa cheo kikubwa tu. Je, ndio yale yale ya Wayahudi kumkataa Yesu na sisi huku kumkubali kama Mwana wa Mungu?
Hakika maswali ni mengi kuliko majibu.
Huyo ni maamuma hasomi Biblia halafu anabishana juu ya mambo yaliyoko kwenye Bibliabasi ni mkristo usiye na akili.
kama hujui hata maana ya neno ukristo.
Nasema hivi magaidi wa Hamas waendelee kubondwa kwani waliyataka wenyewe.Huwezi kuua watu 1400 halafu utegemee kubaki salama hakuna kitu kama hicho.Kipigo kiendelee vile vile
Kuna wamasai halisi na wale wa Kilosa wanaoitwa wakwavi, na wao wanavaa mashuka mekundu pia lakini wana tofauti na wale original.
Hali ipo hivyo kwenye suala la waisrael kwa maana wayahudi. Kuna wale asilia haswa, ndio wenye kufanana na waethiopia halafu kuna hawa wayahudi fake wayahudi wakwavi, ndio hawa wanaotoka ulaya mashariki na kuhamia Israel katika miaka ya sasa.
Hawa ni sehemu tu ya siasa za kizayuni, siasa za kibaguzi zenye madhara sawa na yale tuliyoyapinga kule afrika ya kusini, siasa zilizojaa uonevu, ubaguzi na ushenzi kwa ujumla.
Awe mwarabu...?? 🤔🤔🤔Njoo nkusilimishe
Wazungu wenyewe waliotuletea Ukristo, hata makanisani hawaendi na Wayahudi alikozaliwa Yesu, nao wamekataa kumpokea Yesu kama mwana wa Mungu. Je, mpaka hapa huoni kuna shida tena kubwa tu??Sasa wewe inakuhusu nini? Fanya yako kwenye dini yako muache mtu aamini anachokiamini
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo.
Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unatahiili kuombewa.
Hata hivyo, cha kushangaza ni sisi sisi tunaodai Israel ni Taifa telule la Mungu huku Wayahudi wakiwa hawamkubali Yesu na wengi wa hao Wayahudi wameukaa kristo. Ajabu sana!
Kwa kifupi, jambo hili linaweza kuwa ni ushahidi tosha kuwa katika hizi dini, kuna mambo ya kutunga katika hivi tunavyovitta vitabu vitakatifu na huenda ni maandiko/aya zote ni uongo au baadhi ya maandiko/aya ndio za uongo .
Pia, nawaza,Tulia watanzania wengi hawamkubali, lakini huko nje ya nchi wamemkubali na kumpa cheo kikubwa tu. Je, ndio yale yale ya Wayahudi kumkataa Yesu na sisi huku kumkubali kama Mwana wa Mungu?
Hakika maswali ni mengi kuliko majibu.
Biblia inayo majibu ya maswali yako yote.
Wamebarikiwa halafu wanaishi katika vita isiyoisha?!Israle ni taifa teule, maandiko hayajadanganya, ndio maana limebarikiwa kwenye kila nyanja, wapo mbele kwa vingi, hii sio bahati mbaya, Mungu aliweka kitu maalum kwenye vichwa vya wale jamaa, hili sina shaka nalo.
Enyi mlioamini! Msiwafanye mayahudi na wakirsto kuwa marafiki – wao kwa wao ni marafiki – na yeyote atakayewafanya marafiki basi yeye ni katika wao. Hakika Allaah haongoi watu madhalimu.” (05:51)Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo.
Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unatahiili kuombewa.
Hata hivyo, cha kushangaza ni sisi sisi tunaodai Israel ni Taifa telule la Mungu huku Wayahudi wakiwa hawamkubali Yesu na wengi wa hao Wayahudi wameukaa kristo. Ajabu sana!
Kwa kifupi, jambo hili linaweza kuwa ni ushahidi tosha kuwa katika hizi dini, kuna mambo ya kutunga katika hivi tunavyovitta vitabu vitakatifu na huenda ni maandiko/aya zote ni uongo au baadhi ya maandiko/aya ndio za uongo .
Pia, nawaza,Tulia watanzania wengi hawamkubali, lakini huko nje ya nchi wamemkubali na kumpa cheo kikubwa tu. Je, ndio yale yale ya Wayahudi kumkataa Yesu na sisi huku kumkubali kama Mwana wa Mungu?
Hakika maswali ni mengi kuliko majibu.
Hahahaha, yaani sisi waafrika tumekumbatia dini na umaskini, wenzetu wamekumbatia dini na utajiri, hovyo sana sisi.Dini hizi ni utapeli mtupu!
Zimelifanya bara la Africa kuwa bara la hovyo kuliko yote na watu wake hovyo zaidi.
Biblia inayo majibu ya maswali yako yote.
🤨Acha upotoshaji, Waisrael ni wasabato kwahiyo wasabato wanampiga Yesu? hayo ni maneno ya mtaani.
Mkuu hapo kwenye 'kuamini' ndipo penye mushkeli! Hapo ndipo unapo muingiza mwenzio kwenye chaka na tope ulilozama wewe!Una maswali fikirishi na magumu
Unachotakiwa ni kuamini tu Israel ni Taifa teule bila kijali kuwa sio wakristo na hawamkubali Yesu
Imani inafanya watu wasihoji, na ndio maana hata Wafuasi wa Kibwetere hawakuhoji matokeo yake wakaangamia.